Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

kuna kipindi nilikua naota kua nko kwenye gari ila hilo gari halinitoshi! yaani nikikaa hapanitoshi humo ndani, au wakati mwingine naota nkiwa ndani sioni mbele[emoji848] sometime naota niko helpless kiasi siwezi kuliendesha!

ndoto nyingine ni kua naota napaa, mwanzo nlikua naweza kuota nmepaa ila baada ya mda naanguka, sometime naota napaa mpaka juu zaidi! na kuna wakati naota napaa ila kuna mtu(kitu) kinanivuta! kama miezi mi2 iliyopita nkaota napaa ila navutwa nkatumia nguvu nyingi kugeuka kuona nani ananivuta, ila uso wake ulikua umefunikwa japo niliweza kung'amua ni mwanamke! nlipojaribu kuufunua sikua na nguvu kabisa!

mtarimbo
 
Code ya kanisani ni kipi huwavuta watu na kukusanyika pamoja na kuimba kwa imani moja?jibu ni michezo mfano mpira ,hivyo punguza kuangalia sana michezo au usiwe miongoni mwa wenye kufuatilia sana michezo itakusaidia
Mkuu kuna huyu anataka nimuombee!!
Crop_1628495060296.jpg
 
Jana nimeota, nimekutana na rafiki yangu, kanionesha kitita cha pesa, nikamuomba pesa ndogo, lakini jamaa akanipa nyingi bila yeye kukusudia.

Nilipo pewa ile pesa nikaamua kwenda nyumbani, kabla kufika home nika pita saloon flani ya kike, nikaomba ndoo ya maji nioge wakanipa, kipindi nabadili nguo, nikabaki uchi na kati ya wale wanawake wa saloon akawa kauona uchi wangu.

Ghafra wakaja rafiki zangu, hapa ikaonekana wale wanawake mmoja wapo anataka kuniplania pesa zangu, maana rafiki zangu wakawa kama wananicheka kimtindo.

Ghafla nikashtuka.
Naomba kuelewa ndoto hii ina maana gani?
 
Lengo la kuchimba nikuzika, nakuzika jambo lolote nikulisahau hivyo wakati huko mzima sasa usisahau kuwa kuna mema wapaswa kumtendea marehemu mf. kama alikuwa na familia tafadhali ijali na utoe msaada au kama akuwa na familia mtembelee japo kaburini kwake kumjulia hali.
Nashukuru saana Mkuu wa Tafsiri.
Hakuwa na Familia, ila Naenda mara moja moja makaburini.
 
Niliota wakati nimelala na mke wangu,mara akaja mtu ambaye alikuwa na nia na mimi maana aliuliza fulani yuko wapi(mimi)? Kisha nikamuuliza ukimuona utamjua? Kilichojiri ni kupigana nae na nilikurupuka na maumivu makali maana nilipiga ukuta kwa goti,na damu zinatoka gotini nikaangalia muda ilikuwa usiku sana kisha nikalala tena cha ajabu asubuhi sina hata jeraha kwenye goti.

la pili naota sana naongea kingereza au kiarabu hasa nikiwa katika ndoto tata mfano wa swali la kwanza hapo juu

ufafanuzi please.
 
Kwanza nianze kwa kuelezea ndoto maana yake,

Ndoto ni mkusanyiko wa matukio ambayo binadamu huyaweka kichwani kwake ambayo humjia bila zuio (involuntary) kwenye ubongo wakati akiwa amelala,matukio haya huwa hayaeleweki na saa nyingine huwa kinadharia zaidi mfano kuota unapaa wakati kiualisia haiwezekani.

Kiujumla sayansi imeshindwa kuja na jibu kamili kuhusu ndoto ,na matokeo yake wameishia kutoa tafsiri hiyo .

Ukija kwenye dini ndoto huwa ndio njia maalumu ambayo ulimwengu wa Roho hutumia kuwasiliana na binadamu, hapa sasa ndio nataka tuanze.

Kibibilia Mungu hutumia matukio tuliyoyaifadhi au kumbukumbu za vitu tulivyoifadhi moyoni ,ili kutengeneza codes za mawasiliano kati yake yeye na sisi .

Sasa kuna mambo kadhaa ambayo huwa ukiota lazima ujue kufungua hizo codes ,ni maarifa rahisi ila inahitaji uwe mcha Mungu na mwerevu.

Mfano
1:Ukiota unapaa angani
Ndoto ya namna hii ukitaka kuifahamu lazima ujue kwa nini Mungu katumia anga,anga maana yake ni ulimwengu wa nuru ,ardhi ni ulimwengu wa giza ,hivyo ukiota unapaa ni taadhari kutoka kwa Mungu kwamba uache kutembea kwenye ulimwengu wa giza ,hamia ulimwengu wa nuru, nikuhakikishie ukifanya hivyo hutakaa uote tena kupaa sure.

2: Kuota unafanya mapenzi
Codes za ndoto hii ni mbili kulingana na mazingira yako,mfano ukiota unafanya mapenzi na ukiamka unajihisi mchovu na mara nyingine kama mwanaume unahisi umemaliza ,basis ujue kuna pepo wachafu wanakuchezea.

Ila ukiota unafanya mapenzi na ukiamka hakuna ishara yoyote nikimaanisha uchovu au uchafu basi ndoto hii huwa ni njema code ya mapenzi ni pesa maana ni kipi kinapendwa zaidi ya mapenzi kama si pesa hivyo ukiota unafanya mapenzi ni ishara ya kupata pesa, kama unayefanya naye humjui basi utapata pesa kwenye vyanzo usivyotarajia.

Kama umeota unafanya mapenzi na mtu unayemjua basi ujue utapata pesa zaidi kwenye vyanzo vyako vya kiuchumi unavyovijua.

3;Kuota uko darasani ,na kufanya mitihani
Hii ndoto code yake ni hivi jiulize ni nini hukupa wasiwasi kama kama kipindi uko shule hasa wakati wa mitihani kama kukosa pesa wakati wa matatizo, hivyo ndoto hii ukiota ni onyo kutoka ulimwengu wa roho kwamba kuna matatizo makubwa yatakujia na yanahitaji pesa hivyo unahitaji kuweka akiba ya pesa ,upunguze matumizi la sivyo hilo tatizo litakuaibisha.

4;Kuota kusalitiwa kimapenzi
Code yake ni hivi ni nini huumiza moyo na kuuvunja moyo kama usaliti wa kimapenzi? jibu ni msiba.

Hivyo kama umeota mwenzi wako anakusaliti na kiuhalisia si kweli basi ni ujumbe wa kifo kwa huyo uliyemuota either yeye, familia yake watakumbwa na tukio la msiba hivyo muombee huenda bado ulimwengu wa roho haujaidhinisha hilo janga.

Itaendelea kesho, pia ukumbuke somo la ndoto lilikuwapo tangu zamani Yusuph alisoma kupitia vitabu alivyoiba mama yake RHaheli wakati anatoka kwa baba yake aliyekua mganga na mtabiri alijulikana kama Laban, Danieli alisomea huko uajemi enzi za utumwa.

Na binadamu huota zaid ya ndoto 20 kwa siku ,ndoto yenye ujumbe huwa unaikumbuka vema na huwa inaushtua moyo.

Nyingine huwezi kuzikumbuka maana huwa kazi yake ni kuufanya ubongo ufanye kazi vizuri ,hivyo siyo ndoto zote ni ujumbe unatakiwa uwe mwerevu wa kusoma mazingira na hali yako.
Mkuu umepotea.......au umeenda kula kitabu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoto ni vitu vya ajabu sana [emoji28][emoji28][emoji28] ndio maana wanaita ndoto!! Maana matukio mengine hata hayaelezeki wala kueleweka, ndoto chache sana zina maana nazo huwaga ziko serious hata unapoota..

Kwa mfano mimi leo nmeota nmeamua kujilipua kutafuta maisha nikakutana na wachimba madini bwana, tukaenda kuupasua mwamba na kitu kama bomu, tukakuta kitu cha kizamani kama rula iliyotengenezwa na madini ya rangi ya blue bahari,kikawa kimepasuka na mlipuko basi tukagawana vipamde vipande na wenzangu bwana, nilivyolipata nikampa kaka angu nikamwambia kauze utapata hela nyingi sana kampe mama kabadilishe mazingira ya home kwetu, akaondoka mimi kazi ikendelea..
sasa fikiria sijui kuhusu madini wala sijawahi kufikiria [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jana nimeota, nimekutana na rafiki yangu, kanionesha kitita cha pesa, nikamuomba pesa ndogo, lakini jamaa akanipa nyingi bila yeye kukusudia.

Nilipo pewa ile pesa nikaamua kwenda nyumbani, kabla kufika home nika pita saloon flani ya kike, nikaomba ndoo ya maji nioge wakanipa, kipindi nabadili nguo, nikabaki uchi na kati ya wale wanawake wa saloon akawa kauona uchi wangu.

Ghafra wakaja rafiki zangu, hapa ikaonekana wale wanawake mmoja wapo anataka kuniplania pesa zangu, maana rafiki zangu wakawa kama wananicheka kimtindo.

Ghafla nikashtuka.
Naomba kuelewa ndoto hii ina maana gani?

Utakutana na jambo lenye kutia fedheha kutokana na vitendo vyako vya uovu hivyo badili mienendo yako.
( codes;kuoga-kujisafisha/kuwa msafi, uchi-aibu,kuplaniwa- nia ovu yataka kukuvaa,kuchekwa/kung'ong'wa na marafiki-hali ya kutengwa na tafsiri yke ni kuwa mchuma baya hula mwenyewe)
 
Niliota wakati nimelala na mke wangu,mara akaja mtu ambaye alikuwa na nia na mimi maana aliuliza fulani yuko wapi(mimi)? Kisha nikamuuliza ukimuona utamjua? Kilichojiri ni kupigana nae na nilikurupuka na maumivu makali maana nilipiga ukuta kwa goti,na damu zinatoka gotini nikaangalia muda ilikuwa usiku sana kisha nikalala tena cha ajabu asubuhi sina hata jeraha kwenye goti.

la pili naota sana naongea kingereza au kiarabu hasa nikiwa katika ndoto tata mfano wa swali la kwanza hapo juu

ufafanuzi please.

Hizi ni ndoto tu za hisia utokea mara nyingi ukiwa katika hali ya fahamu isiyo halisi,ni kweli waweza hamka mpk ukathibitisha tukio kuwa umeumia lakin kumbe ukawa bado umelala vile vile na pale utakapo hamka katika utambuzi kamili utagundua vyote ulivyoota na kile ulichokioona siyo halisia,
Punguza kuwazia mambo ya mapigano, kuangalia sinema na vitu vya kutisha maana vinaathiri consciousness yako na kuhusu kuongea lugha pia ni yale yale matamanio yako uliyonayo ndani ya sub conscious mind ndo ujirudi ukiwa umelala unaota kama unaongea ngeli na kiarabu.

Kwa tafsiri rahisi ndoto zako hazina madhara yeyote kama hauziitaji njia rahisi nikubadili fikra zako.
 
Mambo vp mkuu juzi nliota kuna nguo nlizokua napenda kuzivaa sana nlitaka kuzivaa wakati bado nmelala nachambua begi langu kwenye ndoto kikatokea kivuli changu au naweza sema nafsi yangu imevaa zile nguo imependeza ikafungua mlango ikanifata kitandan na kunishika mabega mm nkawa nasema Yesu nisaidie nkastuka nmeshindwa kuelewa,
Pili nliota juzi nko na hela nyingi za noti dogo mmoja akawa ameniomba nimnunulie daftar moyon nkasema ntamnunulia japo kwa kujiuliza maswali ilikua jumamosi cha kushangaza jpili nlivyotoka kanisani nlikua na mawazo jinsi ya kupata hela gafla naokota hela wakati naweka elfu mbili nlorudishiwa chench kwa waleti angu kitu kikanambia angalia chinii naona elfu5 na mbele angu kuna walopita hawakuiona nmejiuliza sana nakosa majibu.

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
 
Na Leo nmeota kuna wenzangu wanafanya mtihani ila mm sikua na karatasi za kujibia nkabidi nakazifate nyumbani ila nlitoka na ule mtihani ukiwa umeandikwa na una majibu nkiwa njiani naelekea nyumbani nkawa nimebeba majani ya ngombe cc wachaga tunaita "makocha" yalikua mazito sana nkayadondosha chini shemeji angu mmoja nae mfaham akanambia usiyadondoshe kwa nguvu tena maana nkifanya hvyo mpz angu(npo single) anajisikia vibaya nijikaze nifikishe hayo majan salama naomba ufafanuz mkuu.

Mimi Kuna hii ndoto hujirudia mara nyingi mpaka naogopa.

kuwa Kuna mwanamke hunikasirikia na kunifatilia hata nikiwa kwenye mkutano na waheshimiwa huja kutaka kuniharibia ila huumbuka, basi recently I had a dream kuwa my dress jipya lipo shimoni ila shimo liko wazi na dress liko kwenye cover yake jipya basi, over sudden lile gauni ghafla nikaona kuna mwanamke na bintiye wamelichukua wavae gauni halikuwatosha.

Hii ndoto what does it mean zimekuwa zinanisumbua mno.
Naam, nafsi yake inakaribia shimoni, Na uhai wake unakaribia waangamizi.

Ayubu 33:22

Ila Soma zaidi hiyo Ayubu 33. Halafu muombe Mungu akupe ujumbe ulio kwenye ndoto zako. Mungu atakupa ufahamu na nini cha kufanya baada ya huo ujumbe. Pia kitendo Cha ndoto kurudia unapewa msisitizo ya kuwa Hilo Jambo Ni muhimu sana

14 Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali.
Ayubu 33:14

15 Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitandani;
Ayubu 33:15

16 Ndipo huyafunua masikio ya watu, Na kuyatia muhuri mafundisho yao,
Ayubu 33:16

17 Ili amwondoe mtu katika makusudio yake, Na kumfichia mtu kiburi;
Ayubu 33:17

18 Yeye huizuia nafsi yake isiende shimoni, Na uhai wake usiangamie kwa upanga.
Ayubu 33:18
 
Asante kwa hili neno kuna ndoto hujirudia nimesali wee nothing is changing had nimechoka sasa loh
 
Na Leo nmeota kuna wenzangu wanafanya mtihani ila mm sikua na karatasi za kujibia nkabidi nakazifate nyumbani ila nlitoka na ule mtihani ukiwa umeandikwa na una majibu nkiwa njiani naelekea nyumbani nkawa nimebeba majani ya ngombe cc wachaga tunaita "makocha" yalikua mazito sana nkayadondosha chini shemeji angu mmoja nae mfaham akanambia usiyadondoshe kwa nguvu tena maana nkifanya hvyo mpz angu(npo single) anajisikia vibaya nijikaze nifikishe hayo majan salama naomba ufafanuz mkuu.

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app

Fanya mazoezi mara kwa mara na jitahidi kujikeep bussy na kuwa positive hizi ni dalili za kawaida kwa idle mind.
 
Kwanza nianze kwa kuelezea ndoto maana yake,

Ndoto ni mkusanyiko wa matukio ambayo binadamu huyaweka kichwani kwake ambayo humjia bila zuio (involuntary) kwenye ubongo wakati akiwa amelala,matukio haya huwa hayaeleweki na saa nyingine huwa kinadharia zaidi mfano kuota unapaa wakati kiualisia haiwezekani.

Kiujumla sayansi imeshindwa kuja na jibu kamili kuhusu ndoto ,na matokeo yake wameishia kutoa tafsiri hiyo .

Ukija kwenye dini ndoto huwa ndio njia maalumu ambayo ulimwengu wa Roho hutumia kuwasiliana na binadamu, hapa sasa ndio nataka tuanze.

Kibibilia Mungu hutumia matukio tuliyoyaifadhi au kumbukumbu za vitu tulivyoifadhi moyoni ,ili kutengeneza codes za mawasiliano kati yake yeye na sisi .

Sasa kuna mambo kadhaa ambayo huwa ukiota lazima ujue kufungua hizo codes ,ni maarifa rahisi ila inahitaji uwe mcha Mungu na mwerevu.

Mfano
1:Ukiota unapaa angani
Ndoto ya namna hii ukitaka kuifahamu lazima ujue kwa nini Mungu katumia anga,anga maana yake ni ulimwengu wa nuru ,ardhi ni ulimwengu wa giza ,hivyo ukiota unapaa ni taadhari kutoka kwa Mungu kwamba uache kutembea kwenye ulimwengu wa giza ,hamia ulimwengu wa nuru, nikuhakikishie ukifanya hivyo hutakaa uote tena kupaa sure.

2: Kuota unafanya mapenzi
Codes za ndoto hii ni mbili kulingana na mazingira yako,mfano ukiota unafanya mapenzi na ukiamka unajihisi mchovu na mara nyingine kama mwanaume unahisi umemaliza ,basis ujue kuna pepo wachafu wanakuchezea.

Ila ukiota unafanya mapenzi na ukiamka hakuna ishara yoyote nikimaanisha uchovu au uchafu basi ndoto hii huwa ni njema code ya mapenzi ni pesa maana ni kipi kinapendwa zaidi ya mapenzi kama si pesa hivyo ukiota unafanya mapenzi ni ishara ya kupata pesa, kama unayefanya naye humjui basi utapata pesa kwenye vyanzo usivyotarajia.

Kama umeota unafanya mapenzi na mtu unayemjua basi ujue utapata pesa zaidi kwenye vyanzo vyako vya kiuchumi unavyovijua.

3;Kuota uko darasani ,na kufanya mitihani
Hii ndoto code yake ni hivi jiulize ni nini hukupa wasiwasi kama kama kipindi uko shule hasa wakati wa mitihani kama kukosa pesa wakati wa matatizo, hivyo ndoto hii ukiota ni onyo kutoka ulimwengu wa roho kwamba kuna matatizo makubwa yatakujia na yanahitaji pesa hivyo unahitaji kuweka akiba ya pesa ,upunguze matumizi la sivyo hilo tatizo litakuaibisha.

4;Kuota kusalitiwa kimapenzi
Code yake ni hivi ni nini huumiza moyo na kuuvunja moyo kama usaliti wa kimapenzi? jibu ni msiba.

Hivyo kama umeota mwenzi wako anakusaliti na kiuhalisia si kweli basi ni ujumbe wa kifo kwa huyo uliyemuota either yeye, familia yake watakumbwa na tukio la msiba hivyo muombee huenda bado ulimwengu wa roho haujaidhinisha hilo janga.

Itaendelea kesho, pia ukumbuke somo la ndoto lilikuwapo tangu zamani Yusuph alisoma kupitia vitabu alivyoiba mama yake RHaheli wakati anatoka kwa baba yake aliyekua mganga na mtabiri alijulikana kama Laban, Danieli alisomea huko uajemi enzi za utumwa.

Na binadamu huota zaid ya ndoto 20 kwa siku ,ndoto yenye ujumbe huwa unaikumbuka vema na huwa inaushtua moyo.

Nyingine huwezi kuzikumbuka maana huwa kazi yake ni kuufanya ubongo ufanye kazi vizuri ,hivyo siyo ndoto zote ni ujumbe unatakiwa uwe mwerevu wa kusoma mazingira na hali yako.
Niliota nipo shule Kama mwanafunzi na boyfriend wangu ni Kati ya walimu wanaosahihisha mitihani.

Wakati wa usiku kulala wenzangu wote wapo mabwenini, Mimi nikawa nimewekewa godoro nje nilale na yule boyfriend.

Kelele za wenzangu zisema nje ni hatari Kuna wadudu na wanyama, ingia ndani huku boyfriend ananishawishi tulale usiku umeingia then nikashtuka, mpaka leo sijaelewa maana ya hii ndoto.
 
Hizi ni ndoto tu za hisia utokea mara nyingi ukiwa katika hali ya fahamu isiyo halisi,ni kweli waweza hamka mpk ukathibitisha tukio kuwa umeumia lakin kumbe ukawa bado umelala vile vile na pale utakapo hamka katika utambuzi kamili utagundua vyote ulivyoota na kile ulichokioona siyo halisia,
Punguza kuwazia mambo ya mapigano, kuangalia sinema na vitu vya kutisha maana vinaathiri consciousness yako na kuhusu kuongea lugha pia ni yale yale matamanio yako uliyonayo ndani ya sub conscious mind ndo ujirudi ukiwa umelala unaota kama unaongea ngeli na kiarabu.

Kwa tafsiri rahisi ndoto zako hazina madhara yeyote kama hauziitaji njia rahisi nikubadili fikra zako.
Shukrani
 
Ndoto ni vitu vya ajabu sana [emoji28][emoji28][emoji28] ndio maana wanaita ndoto!! Maana matukio mengine hata hayaelezeki wala kueleweka, ndoto chache sana zina maana nazo huwaga ziko serious hata unapoota..

Kwa mfano mimi leo nmeota nmeamua kujilipua kutafuta maisha nikakutana na wachimba madini bwana, tukaenda kuupasua mwamba na kitu kama bomu, tukakuta kitu cha kizamani kama rula iliyotengenezwa na madini ya rangi ya blue bahari,kikawa kimepasuka na mlipuko basi tukagawana vipamde vipande na wenzangu bwana, nilivyolipata nikampa kaka angu nikamwambia kauze utapata hela nyingi sana kampe mama kabadilishe mazingira ya home kwetu, akaondoka mimi kazi ikendelea..
sasa fikiria sijui kuhusu madini wala sijawahi kufikiria [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣 🤣 🤣 Upo sahihi sana-Kiufupi ndoto nyingi ni ubatili na ujinga mtupu kama sehemu ya maandiko matakatifu yanavyosema.Na MUNGU akitaka kusema jambo na mtu kuna uzito lazima ataiongezea hiyo ndoto-Na pale tafsiri ya ndoto inapokuwa ngumu,inabd umrudie MUNGU akusaidie kuielewa.Sasa leo unakuta vitini kabisa watu wameeka tafsiri ya aina za ndoto na watu wanavitumia kwa kuamin 100 percent katika kuvitumia pasipo kujua ndoto moja inaweza kuwa na maana tofauti tofauti kwendana na ujumbe anaoufikishiwa mlengwa kutoka kwa MUNGU.
 
Back
Top Bottom