Siri ya Furaha ya ndoa ni kuishi wanandoa kama marafiki (washkaji) wawili

Mkiwa marafiki ni raha sana. Kimbembe pale unadate na mtu umri sawa na baba ako urafiki sijui utaanzia wapi
Mwingine kakuzid tu miaka mitano lakin sasa ni kauzu hata ufanyeje yaan hata uweke jitihada gani muwe washikaji inashindikana sababu ndivyo alivyo, basi unabaki kujitesekea[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] lakin kuoa/kuolewa na rafikiako ni muhimu sana maana kuna wakati mapenzi huisha mnabaki kama marafiki tu
 
Hapo sasa na mlipokutania panachangia [emoji23][emoji23][emoji23]
Na mkiwa marafiki ndio ule msemo wa kinachoniumiza ni mazoea
 
Baada ya mume Kuwa Na hela Za kutosha huo urafiki ndo wawezekana!

Hahahaaa uttoh2002 sasa unawekaje urafiki na mtu kakutoa kwenu unakula vizuri halafu anakuja kukutesa na njaa lakini?

Hapo ndio utajua mahari kabla ya ndoa ni moja ya vipimo vya kujua kama muoaji ana muwezo wa kutunza mke😂😂😂
 

Uko kwenye mahusiano wewe!?
 
Kwakweli mheshimiwa umeongea point bila kupepesa macho,ukweli mchungu Nikua mwanaume binafsi inahitajika uwe stable financiallly,Ktk kutimiza majukumu yakifamilia,kuna jamaa flani ktk mtaaa,mkewe kaugua akashindwa kumuhudumia Hadi akamuambia mkewe aende kwao,akatibiwe ,baada yakupona ameeenda kumchukua,Jct cellulitis ktk mguu!
 

Mke kuhudumiwa na ndugu zake au wazazi wake kwa sababu wewe umeshindwa ni fedheha.
Tupambane tuu heshma ya mume ibaki mahala pake maana heshma kwa mwanaume ndio nguvu yake, na hiyo heshma haipatikani kwa kuzaa watoto ila inapatikana kwa uwezo wa kutunza hao watoto
 
Haya mambo mkipatana aisee ni matamu sana. Ila mkipatikana sasaaaaa[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
Hiyo sentensi ya mwisho imenichekesha sana...

Kweli kabisa unapoishi na mwenzi wako kirafiki unakuwa huru sana hata kuachia ushuzi mnapokuwa pamoja faraghani wala si issue kabisa.. yani mnaishia kuchekana tu
 
Ndoa ni unnatural. Ipo against nature ya binadamu lakini acha nikae kimya na upendo feki wa wanandoa utamalaki kwenye hili jukwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…