Siri ya kibaiolojia katika mwili wa mwanamke ambayo wengi hawaifahamu

Siri ya kibaiolojia katika mwili wa mwanamke ambayo wengi hawaifahamu

Kuna binti mmoja ana kama 22 yrs alizalishwa akiwa first year, ni ka mchepu kangu, alishasemaga hawezagi kuwa na wanaume wawili kwa pamoja...

Huwa tunakutana angalau kwa mwezi mara 1, msisimuko wake huwa sio wa nchi hii, mechi huwa kali balaa, ni mwendo wa kuloanisha shuka tu.
Watu hawajui siri za kibaiolojia 😂😂😂
 
Ukiona umeingia katika uzi then ukaona maudhui yake yanakukwaza ama yanakukera then jua umekosea Forum. Ni sawa na kwenda kwa mama ntilie ukataka uhudumiwe huduma za Bar au Pub utahisi wanakukosea kumbe umekosea l
Uzoeshe ubongo kuandika vitu vya msingi mkuu
 
Hapo Kwa watu wazima unawafundisha nin?? Siwez elimika na jambo kama Hilo kamwe
Huu sasa ndio ubinafsi. Umezungukwa na watoto wa kike wangapi,wewe hauna ndugu zako wenye watoto wa kike,wewe binafsi hauna mtoto wa kike?

Ukitafakari nilichoandika hapa utakosa busara au hekima ya kumfunda binti mdogo kuheshimu mwili wake na kuutunza kwasababu ya hiki nilichokielimisha leo hapo?

Kwamba wewe kwasababu umeshapita huku chini na umeshakuwa mtu mzima baada ya kuharibu enzi za usichana wako hauoni umuhimu wa hii elimu hapa katika kuwasaidia mabinti kujitambua na kujitunza?

Kwamba kesho utakaa na binti yako au mtoto wa kike na hautataka ajue chochote kuhusu hii elimu ya kimwili?🤔
 
Hapo Kwa watu wazima unawafundisha nin?? Siwez elimika na jambo kama Hilo kamwe
Huu sasa ndio ubinafsi. Umezungukwa na watoto wa kike wangapi,wewe hauna ndugu zako wenye watoto wa kike,wewe binafsi hauna mtoto wa kike?

Ukitafakari nilichoandika hapa utakosa busara au hekima ya kumfunda binti mdogo kuheshimu mwili wake na kuutunza kwasababu ya hiki nilichokielimisha leo hapo?

Kwamba wewe kwasababu umeshapita huku chini na umeshakuwa mtu mzima baada ya kuharibu enzi za usichana wako hauoni umuhimu wa hii elimu hapa katika kuwasaidia mabinti kujitambua na kujitunza?

Kwamba kesho utakaa na binti yako au mtoto wa kike na hautataka ajue chochote kuhusu hii elimu ya kimwili?
Uzoeshe ubongo kuandika vitu vya msingi mkuu
 
Uzoeshe ubongo kuandika vitu vya msingi mkuu
Msingi wa ghorofa na msingi wa nyumba ya chini ni tofauti. Pengine mimi najenga ghorofa wewe umezoea ujenzi wa nyumba za chini so umekuja hapa kunambia nakosea kumbe ujenzi wangu na wako ni watofauti sana.

Jifunze utofauti wa mitazamo utaelewa namna ya kunavigate kwenye mijadala bila kupanic.
 
Huu sasa ndio ubinafsi. Umezungukwa na watoto wa kike wangapi,wewe hauna ndugu zako wenye watoto wa kike,wewe binafsi hauna mtoto wa kike?

Ukitafakari nilichoandika hapa utakosa busara au hekima ya kumfunda binti mdogo kuheshimu mwili wake na kuutunza kwasababu ya hiki nilichokielimisha leo hapo?

Kwamba wewe kwasababu umeshapita huku chini na umeshakuwa mtu mzima baada ya kuharibu enzi za usichana wako hauoni umuhimu wa hii elimu hapa katika kuwasaidia mabinti kujitambua na kujitunza?

Kwamba kesho utakaa na binti yako au mtoto wa kike na hautataka ajue chochote kuhusu hii elimu ya kimwili?
Katika vitu ambavyo namshukuru mungu ni kwamba usichana wangu niliujenga vizur hakuna majuto niliyopata kingine sio tu wadogo Nina mtoto wa kike na mtoto wangu atafata nyayo zangu nilizopita Hilo nimeshaweka dhahiri lakin sitokuja mfundisha vitu kama kilichoandikwa hapo Kuna mambo yakumfundisha na ataelewa sio lazma nijieleze had ambavyo hapaswi kusikia Kwa Sasa

Kipenzi sijaona busara Wala hekima yoyote kwakile kilichoandikwa kama unahisi Sina busara kisa kukosoa hayo mandiko Soo sorry
 
Umeanndika kimapokeo sana.

Lakini andiko lako linaashiria mantiki ya kisayansi, hivyo basi uaweza kuweka mambo sawa kwa kuleta uthibitisho.

Usipoleta ama ukazua ubishi basi mtu yeyote mwenye akili timamu lazima atapuuza hili andiko.
 
Katika mwili wa mwanamke kuna hormones ambazo haumsaidia katika kuujenga mwili wake na kumfanya kuwa mwanamke imara kibaiolojia.

Kuna kitu kipo very common kati ya binti bikra ambaye hajaingiliwa kabisa na mwanaume, House girl ambaye anaweza kukaa hata miaka 3 akiwa kazini bila kufanya mapenzi,na mke wa mtu ambaye halali na mtu mwingine nje ya mumewe tu.

Hawa watu watatu wanajambo moja ambalo wanafanana. Miili yao huwa inaachia aina fulani ya jasho ambalo ni nadra sana kulipata kwa mwanamke anayefanya mapenzi kila mara na kuingiliwa na wanaume tofauti.

Mwanamke hajaumbiwa mwili wake kuguswa guswa na kila anaeutamani. Ndio maana ukitazama kwa wenzetu Waarabu na wahindi mwanamke huwa hashikwi na mtu zaidi ya mume wake na kuguswa na mtu mwingine ni offense kubwa sana inayoweza leta shida.

Mwanamke wa aina hii ambaye mwili wake hauguswi na mtu nje ya mumewe huwa unakuwa na msisimko unaokaribia ule wa binti ambaye ni bikra. Mwili unaposisimka huwa unasababisha mapigo ya moyo kupanda na kuongeza kasi ya mzunguko wa damu na kupelekea mwanamke kutokwa na jasho safi,ndani ya hili jasho ndipo hiyo hormone maalumu hutolewa kutokea kwenye mfumo wa hormones na damu.

Hii harufu ya jasho safi huwa ni very addictive na mwanaume anapoinusa humpa utulivu wa akili ( mithiri ya mtu aliyekuwa na maumivu makali ya kichwa kisha akapewa painkiller inayofanya kazi haraka sana kutibu maumivu) na imani kuwa mwanamke huyu ni msafi wa mwili na roho na hufanya mwili wake kuamsha hormone ya kiume inayompa utayari wa kuingiliana na huyo mwanamke hata kama hakuwa na hamu wala wazo la kufanya mapenzi.

Wanaume ambao katika maisha yao wameshawahi kuwa kimahusiano na mabinti bikra watanielewa vizuri sana bila kutumia nguvu nyingi ya akili sababu wanalijua hili jambo.

Jiulize ni kwann wanaume wapo obsessed sana na mabinti wa shule ambao wapo katika rika la kuvunja uongo au mabikra na ma'house girl hata kama huyo house girl anaweza asiwe anamfikia mkewe kwa uzuri?

Pia kuna hormone ambayo huwajibika na kuusisimua mwili especially eneo la uke na kuipa misuli ya ukeni nguvu ya kuubana uume mara tu unapoingia eneo lake na kutengeneza msisimko wa ajabu kwa mwanaume na mwanamke.

Hii hali ni ngumu sana kuiona miaka hii ambayo watoto wa kike wanaanza kuingiliwa wakiwa wadogo na walala na wanaume wengi kwa wakati m'moja lakini pia wanawake ambao wanasaliti ndoa zao kila kukicha,huko makazini wanashikwa shikwa viuno na wanaume mara watekenywe mbavu mara wakumbatiwe kwa nyuma ni ngumu kuruhusu mwili kutengeneza hizo hormones maalumu ambazo hufanya tendo la ndoa kuwa tiba ya asili ya stress.

Ni ngumu sana kwa wanaume wa sasa kuelewa nilichoandika sababu ya kukutana na wanawake wakiwa tayari ni wa baridi,wameshatumika na hawana tena jasho lenye hizi hormones maalumu. Wengi wanajasho chafu ambalo mwanaume akilinusa halina mating effect yoyote zaidi ya kumkera.

Mwili wa mwanamke ukitunzwa na kutoguswa na wanaume zaidi ya yule m'moja tu huwa unatuma body signals nyingi sana kwa mwanaume kumwambia kuwa huyu mwanamke ni muaminifu na hana mtu mwingine anayegusa wala kumuingilia. Mwanaume anaweza kuwa na mashaka kwenye kauli zake ila akili yake itamwambia mambo tofauti kutoka ana anachokipata kila akigusana na mwili wa mwanamke wake ambaye hauguswi na mtu mwingine.

Kuna sababu kwann vitabu na mafundisho vinaelekeza mwanamke kuolewa akiwa bikra na pia hatakiwi kusogelea hata kuthubutu kuwa na mazoea na mwanaume mwingine nje ya yule aliye nae.
Hormorn zina majina yanayoeleweka. Hebu tujuze majina ya hizo hormones ili tuzijue kwa uhakika.
 
Mahangaiko ni mengi ila mwisho ni ule ule. Kuzaana na kufa.
 
Msingi wa ghorofa na msingi wa nyumba ya chini ni tofauti. Pengine mimi najenga ghorofa wewe umezoea ujenzi wa nyumba za chini so umekuja hapa kunambia nakosea kumbe ujenzi wangu na wako ni watofauti sana.

Jifunze utofauti wa mitazamo utaelewa namna ya kunavigate kwenye mijadala bila kupanic.
Nonsense
 
Waarabu issue yao na wanawake ni controlling tuu, na wanawake wao utakuta wana bikira lakini marinda hakuna
 
Katika vitu ambavyo namshukuru mungu ni kwamba usichana wangu niliujenga vizur hakuna majuto niliyopata kingine sio tu wadogo Nina mtoto wa kike na mtoto wangu atafata nyayo zangu nilizopita Hilo nimeshaweka dhahiri lakin sitokuja mfundisha vitu kama kilichoandikwa hapo Kuna mambo yakumfundisha na ataelewa sio lazma nijieleze had ambavyo hapaswi kusikia Kwa Sasa

Kipenzi sijaona busara Wala hekima yoyote kwakile kilichoandikwa kama unahisi Sina busara kisa kukosoa hayo mandiko Soo sorry
We si huwa unasema haujaolewa,watoto umetoa wapi sasa?🤔
 
Back
Top Bottom