Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wakuu habari za Dominica,
Moja kwa moja na mimi nawiwa kuwamegea kile ambacho nimekigunduwa baada ya Mbowe kutangaza kugombea nilipita mitandaoni na siri ni hii, usifuate mkumbo.
Freeman Mbowe ni State Man, mwenye siasa za kistaarabu lakini anapambana na chama cha wahuni ccm, nilitamani wahuni wapambane na anayeweza kwenda mwendo uleule wa kihuni hapa Lisu ndio anafit kabisa pasi na shaka.
Mimi siyo oyaoya, ila wakati nazama deep mitandaoni kuangalia maoni ya Watanzania nimebaini Lisu anaungwa mkono sana na watu kama Maria Sarungi na Jasusi Chahali.
Hawa ni aina ya watu mambo mabaya yakitokea Tanzania kwao ni furaha na tukiwekewa vikwazo vya kiuchumi wao kwao ni furaha zaidi kuhalalisha status zao za kuishi nchi za wazungu wapate makaratasi.
Lisu pia ni aina ya hawa wanaharakati ambao wanaamini ili ajenda zao zifanikiwe Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi lakini Mbowe ni stateman hana misimamo hii, anajuwa wazi vikwazo vyovyote vya kiuchumi havitawaumiza kivyovyote viongozi wa ccm wala wa Chadema, nadhani wote tunamjuwa mzee wa tutashtakiwa MIGA mdomo wake hauna breki, akiachiwa chama na wanaharakati wenzake ccm haiwezi kukaa naye mezani jukumu wataachiwa Polisi na yeye atakimbilia Ubelgiji na kumtuma Amsterdam kufunguwa makesi.
Kwa kifupi Lisu anahitajika sana Chadema lakini siyo kuwa kiongozi mkuu wa chama kwahilo Lisu hana hiyo Charismatic, mdomo wake hauna breki.