Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Domo sana ndugu yetu huyo ha ha ha ha !Lisu shida kamdomo kamdo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Domo sana ndugu yetu huyo ha ha ha ha !Lisu shida kamdomo kamdo
Muulize hiyo PhD yake ya nini? Au phd ya kupiga nyeto?Itoshe Kusema wewe ni MPUMBAVU SABA
Yaani ana kamdomo sana hajui jishikiliaDomo sana ndugu yetu huyo ha ha ha ha !
Ha ha ha ha kiongozi aina ya TRUMP abaki hukohuko US...aina yake ni hatari sana huku Afrika....wafuata MKUMBO ni wengi sana.....Lisu ni kama Trump
Mbowe ni kama Zelenesky
Dominica njema 😃
RIP chagadema MBOWE MUST GOWakuu habari za Dominica,
Moja kwa moja na mimi nawiwa kuwamegea kile ambacho nimekigunduwa baada ya Mbowe kutangaza kugombea nilipita mitandaoni na siri ni hii, usifuate mkumbo.
Freeman Mbowe ni State Man, mwenye siasa za kistaarabu lakini anapambana na chama cha wahuni ccm, nilitamani wahuni wapambane na anayeweza kwenda mwendo uleule wa kihuni hapa Lisu ndio anafit kabisa pasi na shaka.
Mimi siyo oyaoya, ila wakati nazama deep mitandaoni kuangalia maoni ya Watanzania nimebaini Lisu anaungwa mkono sana na watu kama Maria Sarungi na Jasusi Chahali.
Hawa ni aina ya watu mambo mabaya yakitokea Tanzania kwao ni furaha na tukiwekewa vikwazo vya kiuchumi wao kwao ni furaha zaidi kuhalalisha status zao za kuishi nchi za wazungu wapate makaratasi.
Lisu pia ni aina ya hawa wanaharakati ambao wanaamini ili ajenda zao zifanikiwe Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi lakini Mbowe ni stateman hana misimamo hii, anajuwa wazi vikwazo vyovyote vya kiuchumi havitawaumiza kivyovyote viongozi wa ccm wala wa Chadema, nadhani wote tunamjuwa mzee wa tutashtakiwa MIGA mdomo wake hauna breki, akiachiwa chama na wanaharakati wenzake ccm haiwezi kukaa naye mezani jukumu wataachiwa Polisi na yeye atakimbilia Ubelgiji na kumtuma Amsterdam kufunguwa makesi.
Kwa kifupi Lisu anahitajika sana Chadema lakini siyo kuwa kiongozi mkuu wa chama kwahilo Lisu hana hiyo Charismatic, mdomo wake hauna breki.
Wafuasi wa Lissu wanafanana kila kitu na mgombea wao huyo....Hawa ndio wafuasi wa Lisu wanaodhani Lisu anaweza kupata Uenyekiti kwa kutukana watu au kuungwa mkono na keyboard warriors ambao si wapiga kura.
Familia tu ya watu wachache ikiwa na kiongozi "aila" ya ndugu Lissu ni hatari kwa familia hiyo....sembuse chama kikubwa kitegemewacho nchini ?!!Yaani ana kamdomo sana hajui jishikilia
Ha ha ha ha !Chadema bado sana hivi huyu ndo mlitaka awe Amiri jeshi mkuu wakati hata kuiongoza chadema tu hamumuamini?
Naamini umeisha wasikia watu wanaitwa snipers jeshini,polisi,na kule kwa wale jamaa zetu, hawa sio watu wa tactics,hawana kona kona wala chenga chenga,wako very straight,wao ni one gun,one shot, kazi yao ni ku lenga and pull the trigger to hit,and they never miss!。Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
Wanabodi, Leo nawaendeshea somo la kitu kinachoitwa assets and liabilities, kwenye siasa. Kwenye biashara assets ni mtaji na rasilimali na liabilities ni madeni, na hasara, biashara ikiwa nzuri, assets ni faida, biashara ikianguka, una dispose some of your assets into liabilities kuiokoa...www.jamiiforums.com
Mkuu Pascal Mayalla ameelezea vizuri.
Lissu angekuwa mtu sahihi, wa kuivaa CCM. Iła hana skills za kuongoza chama
Na kupitia campaign zake za awali za kuwania nafasi ya uenyekiti ameonyesha uwezo wake mdogo wa uongozi.
Hana sifa ya kuongoza chama, let alone a nation.
Kiongozi uwezi kuwa na ‘ułimi usio na brake’ huo ni utoto na wala uwezi ‘kukosa uvumilivu’ wa mitazamo tofauti na wanachama wenzako. Ndio maana leadership inataka democratic skills na patient.
Lissu hana sifa za uongozi.
Kwa mtazamo wa ‘Meredith Belbin’ team theory Lissu ni ‘shaper’ sio team leader.
Sasa kwanini tuwekewe vikwazo yeye Lisu anauhusiano gani na vikwazo. Mimi bado sijakuelewa.Wakuu habari za Dominica,
Moja kwa moja na mimi nawiwa kuwamegea kile ambacho nimekigunduwa baada ya Mbowe kutangaza kugombea nilipita mitandaoni na siri ni hii, usifuate mkumbo.
Freeman Mbowe ni State Man, mwenye siasa za kistaarabu lakini anapambana na chama cha wahuni ccm, nilitamani wahuni wapambane na anayeweza kwenda mwendo uleule wa kihuni hapa Lisu ndio anafit kabisa pasi na shaka.
Mimi siyo oyaoya, ila wakati nazama deep mitandaoni kuangalia maoni ya Watanzania nimebaini Lisu anaungwa mkono sana na watu kama Maria Sarungi na Jasusi Chahali.
Hawa ni aina ya watu mambo mabaya yakitokea Tanzania kwao ni furaha na tukiwekewa vikwazo vya kiuchumi wao kwao ni furaha zaidi kuhalalisha status zao za kuishi nchi za wazungu wapate makaratasi.
Lisu pia ni aina ya hawa wanaharakati ambao wanaamini ili ajenda zao zifanikiwe Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi lakini Mbowe ni stateman hana misimamo hii, anajuwa wazi vikwazo vyovyote vya kiuchumi havitawaumiza kivyovyote viongozi wa ccm wala wa Chadema, nadhani wote tunamjuwa mzee wa tutashtakiwa MIGA mdomo wake hauna breki, akiachiwa chama na wanaharakati wenzake ccm haiwezi kukaa naye mezani jukumu wataachiwa Polisi na yeye atakimbilia Ubelgiji na kumtuma Amsterdam kufunguwa makesi.
Kwa kifupi Lisu anahitajika sana Chadema lakini siyo kuwa kiongozi mkuu wa chama kwahilo Lisu hana hiyo Charismatic, mdomo wake hauna breki.
Arudi ubeligijiFamilia tu ya watu wachache ikiwa na kiongozi "aila" ya ndugu Lissu ni hatari kwa familia hiyo....sembuse chama kikubwa kitegemewacho nchini ?!!
Lissu ni "LOPOLOPO"...
Wapiga ramli bado mpo? Wenzako wengine walikuwa wananiita Baba Samira.George habari yako?
Atleast katika supporters wa Lisu humu ni wewe peke yako ndio unaelewa siasa ni namba na sayansi, na namba hazidanganyi, kwa kura za wajumbe Lisu anapigwa saa mbili asubuhi tu.Wapiga kura wangekuwa ni wanachadema wote nchi nzima Lissu
angeshinda kabla ya misa ya kwanza kuisha.Lissu haungwi mkono na wanaharakati.
Anaungwa mkono na wanachadema wengi wanaotaka chama kipate muelekeo mpya.Wengi wanakubali Mbowe amefanya kazi kubwa lakini ni wakati sasa wa kupata uongozi mpya kukivusha chama kuelekea uchaguzi mkuu mwakani.
Tatizo wapiga kura wa nafasi ya mwenyekiti wengi ni wa Mbowe.Wengi wameshafaidika naye kisiasa.Wengi ni wa kulinda status quo.Wengi wanafaidika kimaslahi kwa Mbowe kuwa mwenyekiti.Na wanajua hayo maslahi yatafutika akishinda Lissu.Kwahiyo watampigia shetani wao waendeleze ushetani aliouasisi.
Narudia tena kama wapiga kura wangekuwa ni wanachadema nchi nzima(sio hao wachumia tumbo) huyo Mbowe asingeweza hata kuthubutu kuingia ulingoni na Lissu.Chadema wengi wameshajua kuwa Mbowe ni mtu wa maslahi na hafai,lakini wanaangushwa na wachumia matumbo wachache wenye fursa ya kupiga kura.
Kaskazini kwanza, chama baadae.chagadena hoyeee...Matola wewe ni mchaga tunafahamu. Ukisema namuunga mkono Mbowe sababu ni wanyumbani kuna ubaya gani?
Acha kuokoteza vijisababu Lissu alipogombea urais hamkuyaona haya!!
Kwahiyo wakati ambapo Mbowe alikuwa anaungwa mkono na hao watu hukuona shida? Maana wote walikuwa wanamuunga mkono kabla hawajamgeuka kutokana na ulaghai wake juu ya utekaji unaoendelea. Mbowe kwa sasa ni muhuni huwezi kumsafisha kwa mistari hiyo uliyoandika.Wakuu habari za Dominica,