Siri ya kwanini Lissu anaungwa mkono na Wanaharakati na siyo Mbowe

Freeman Mbowe ni State Man, mwenye siasa za kistaarabu lakini anapambana na chama cha wahuni ccm, nilitamani wahuni wapambane na anayeweza kwenda mwendo uleule wa kihuni hapa Lisu ndio anafit kabisa pasi na shaka.
Mbowe ana wafuasi wengi ndani ya CDM, siasa za uchaguzi zina divisions.

Lissu akishinda sio mtu wa kuunganisha watu hana leadership skills, ni mtu wa visasi.

Siasa Ina permanent interest not permanent enemies.

Lissu bado mchanga
 
Mbowe ni pandikizi la Tiss, yupo upinzani kwa 'kazi maalumu.'
Wala hiyo siyo issue, robo tatu ya Watanzania sisi wote ni maadkari, kwahiyo Mbowe kama ana mahusiano na Tiss hiyo ni habari njema kwangu maana yake anaaminika na mfumo.
 
Poor analysis.
 
Mbowe ni stateman hana misimamo hii, anajuwa wazi vikwazo vyovyote vya kiuchumi havitwaumiza kivyovyote viongozi wa ccm
Ateue mtu mwingine (damu changa) kwenye chama mwenye misimamo kama yake agombee hiyo nafasi, yeye abaki kuwa mshauri.
 
Sasa bora kipi
Kupata misaada, mikopo na kutokuwekewa vikwazo halafu pesa wanagawana kama njugu akina Bashite na Abdul huku wapinzani wakiuwawa au kuwekewa vikwazo vya kimataifa ili tubadilike tuishi kama binadamu wenye akili timamu?
 
Hao ni nyoka hatari, wamemgonga mzee Kibao, Ben Saa8, Mawazo, n.k
Bahati nzuri naijuwa vizuri mifumo ya nchi, tukio hata wakifanya Uvccm mtawasingizia Tiss, wengi hamjui oparesheni za Tiss mnaropokwa tu.
 
Lisu ni kama Trump

Mbowe ni kama Zelenesky

Dominica njema πŸ˜ƒ
 
Ateue mtu mwingine (damu changa) kwenye chama mwenye misimamo kama yake agombee hiyo nafasi, yeye abaki kuwa mshauri.
Mitano tena, huyo kijana ndio aandaliwe sasa au wajiamdae wenyewe kuanzia sasa, hii ni term yake ya mwisho Freeman Mbowe.

Mnaotaka mabadiriko mmepewa muda na fursa ya kujiandaa mapema msije kulialia tena kwamba Mbowe kastaafu kaweka pandikizi lake, andaeni hao vijana sasa for next five years siyo mbali.
 
Kwani vijana wa uvccm siyo tisi? πŸ˜‚
Hawa Uvccm na Tiss wapi na wapi? hao si green gurd? hata wakipelekwa kulinda kwenye migodi ya Jitegemee wanavalishwa kombat za JKT wanajifanya na wao ni wanajeshi wasengerema sana.
 
Hawa Uvccm na Tiss wapi na wapi? hao si green gurd? hata wakipelekwa kulinda kwenye migodi ya Jitegemee wanavalishwa kombat za JKT wanajifanya na wao ni wanajeshi wasengerema sana.
Steve Nyerere akikusikia atacheka sana πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Dominica njema 🌹
 
Sasa bora kipi
Kupata misaada, mikopo na kutokuwekewa vikwazo halafu pesa wanagawana kama njugu akina Bashite na Abdul huku wapinzani wakiuwawa au kuwekewa vikwazo vya kimataifa ili tubadilike tuishi kama binadamu wenye akili timamu?
Wakati tunakula unga wa Yanga, tunashona nguo midabwada na sukari ya mgao NMC ulikuwa umeshazaliwa?
 
Steve Nyerere akikusikia atacheka sana πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Dominica njema 🌹
Huyu mnyalukolo kulikana jina la Baba yake mzazi na kudandia jina la Nyerere wewe unadhani huyu ana akili kichwani?
 
Tusitegemee lolote jipya toka Chadema ndani ya miaka 5 ijayo!
 
Wanaharakati wengi ni wachumia tumbo
 
Attachments

  • 20241208_002449.jpg
    106.5 KB · Views: 2
Maoni yako ni dhahiri japo mimi si muumini wa siasa ni kweli kwamba TAL si mtulivu na mvumilivu katika siasa matokeo yake itapelekea yeye kuvuka taratibu na hatimaye atatumia muda mwingi kupambana na vyombo vya Dora, hali hiyo itadhoofisha harakati za kukipeleka chama mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…