Siri ya kwanini Lissu anaungwa mkono na Wanaharakati na siyo Mbowe

Exellent.
 
..kwa kuongezea kwa yaliyompata Lisu ni km amejitoa rehani na hajali maumivu yanayowapata wengine kutokana na msimamo wake..ni mtu ambaye hajali hata familia yake mwenyewe, binadamu tuna mipaka..huwezi kuwa km loose dog halafu utarajie amani, itoke wapi..hao unaowajeruhi miili yao ina maji? Mungu ndie anafahamu kiwango ambacho binadamu anapaswa kujipambania yanayobaki yeye anamalizia..siasa za harakati Mandela zilimfikisha wapi? Je siasa za ubaguzi ziliisha sababu ya harakati za Mandela? Lkn wakati ulipofika bila hata ya uwepo wa Mandela barabarani ubaguzi ulifikia kikomo! Lisu hawezi kufanya lolote peke yake..mangapi amefanya Lisu akafanikiwa..
 
Lisu anarudia kosa lilelile la Magufuli kuamini ni yeye tu ndio muarobaini wa jambo fulani.

In future tense Lisu ni awaiting Dictator.
 
Msigwa kuwa ndio anamshauri Lissu,hii pekee imenionesha picha yake halisi
 
Ni ngumu sana kwa hawa wafuata mkumbo wa wanaharakati kuelewa ulichoandika hapa.

Hata Tiss hawawezi kumkubali Tundu Lisu kuwa kwenye nafasi ya juu, kuropoka siyo haiba ya kiongozi wa juu au kiongozi mkuu.
Wafuata MKUMBO hawataki kujitafakarisha juu ya GHARAMA HASI ya uropokaji.....

TL hafai kuwa KIONGOZI WA MWISHO.....
 
Yote usemayo sio lazima yawe ya kweli,Maria ni mdogo wangu nimesoma nae shule moja, nimemtangulia madarasa primary,ni mzalendo wa kweli wa nchi hii kuliko wengi wetu!。

Kwenye kugombea kitu kama lengo ni ushindi,team ina sharp shooter mmoja tuu,lakini hana pumzi,ili afunge mabao ni lazima apelekewe mipira kwenye 18,yeye kazi yake ni kubutua tuu na kuingiza mpira, kimiani, huyo ndio TL Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
P
 
Ni ngumu sana kwa hawa wafuata mkumbo wa wanaharakati kuelewa ulichoandika hapa.

Hata Tiss hawawezi kumkubali Tundu Lisu kuwa kwenye nafasi ya juu, kuropoka siyo haiba ya kiongozi wa juu au kiongozi mkuu.
Hivi kuna kiongozi anaropoka kama mama Abdul!!!na bado Hao Tiss wanamkumbatia,Acheni basi aaaa
 
George habari yako?
 
Mbowe ni pandikizi la Tiss, yupo upinzani kwa 'kazi maalumu.'

Tundu Lissu ni mpinzani wa kweli, ni vyema akaondoka Chadema, nyoka yupo ameingia ndani mwao
Kama Lissu anaona Mbowe anamchelewesha aondoke akaanzishe chama chake kama ni rahisi! Hatuwezi kukubali kuua chama kwa mambo ya kijinga! Lissu hana sifa za kuwa kiongozi mkuu wa CHADEMA!
 
Ndugu Lissu hana sifa za UONGOZI...

Ni mwanaharakati "roporopo"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…