Siri ya kwanini Lissu anaungwa mkono na Wanaharakati na siyo Mbowe

RIP chagadema MBOWE MUST GO
 
Hawa ndio wafuasi wa Lisu wanaodhani Lisu anaweza kupata Uenyekiti kwa kutukana watu au kuungwa mkono na keyboard warriors ambao si wapiga kura.
Wafuasi wa Lissu wanafanana kila kitu na mgombea wao huyo....
Hawa wafuasi hawakawii kuja na madumu ya PETROLI panapofuka moshi.....
 
Chadema bado sana hivi huyu ndo mlitaka awe Amiri jeshi mkuu wakati hata kuiongoza chadema tu hamumuamini?
 
Naamini umeisha wasikia watu wanaitwa snipers jeshini,polisi,na kule kwa wale jamaa zetu, hawa sio watu wa tactics,hawana kona kona wala chenga chenga,wako very straight,wao ni one gun,one shot, kazi yao ni ku lenga and pull the trigger to hit,and they never miss!。

Huyo ndie TL, ndie the only person Chadema has,who can knocks down mgombea wa CCM, with a single shot kama nilivyoeleza hapa Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Ila very unfortunately Chadema siku zote hawajui wanataka nini!Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini

Jana kamanda wao katangaza Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

P
 
Sasa kwanini tuwekewe vikwazo yeye Lisu anauhusiano gani na vikwazo. Mimi bado sijakuelewa.
 
Wapiga kura wangekuwa ni wanachadema wote nchi nzima Lissu
angeshinda kabla ya misa ya kwanza kuisha.Lissu haungwi mkono na wanaharakati.

Anaungwa mkono na wanachadema wengi wanaotaka chama kipate muelekeo mpya.Wengi wanakubali Mbowe amefanya kazi kubwa lakini ni wakati sasa wa kupata uongozi mpya kukivusha chama kuelekea uchaguzi mkuu mwakani.

Tatizo wapiga kura wa nafasi ya mwenyekiti wengi ni wa Mbowe.Wengi wameshafaidika naye kisiasa.Wengi ni wa kulinda status quo.Wengi wanafaidika kimaslahi kwa Mbowe kuwa mwenyekiti.Na wanajua hayo maslahi yatafutika akishinda Lissu.Kwahiyo watampigia shetani wao waendeleze ushetani aliouasisi.

Narudia tena kama wapiga kura wangekuwa ni wanachadema nchi nzima(sio hao wachumia tumbo) huyo Mbowe asingeweza hata kuthubutu kuingia ulingoni na Lissu.Chadema wengi wameshajua kuwa Mbowe ni mtu wa maslahi na hafai,lakini wanaangushwa na wachumia matumbo wachache wenye fursa ya kupiga kura.
 
George habari yako?
Wapiga ramli bado mpo? Wenzako wengine walikuwa wananiita Baba Samira.

Halafu for your information mimi siyo Chadema na wala sijawahi hata kufikiria kuwa mwanachama wa Chadema.
 
Atleast katika supporters wa Lisu humu ni wewe peke yako ndio unaelewa siasa ni namba na sayansi, na namba hazidanganyi, kwa kura za wajumbe Lisu anapigwa saa mbili asubuhi tu.
 
Matola wewe ni mchaga tunafahamu. Ukisema namuunga mkono Mbowe sababu ni wanyumbani kuna ubaya gani?

Acha kuokoteza vijisababu Lissu alipogombea urais hamkuyaona haya!!
Kaskazini kwanza, chama baadae.chagadena hoyeee...
 
Hizi issue za Lissu na Mboye zimekuja kuwafanya watu waliokuwa wanaheshimika na kuonekana ni watu wa hekima kuwa kituko sana.
 
Reactions: Tui
Kwahiyo wakati ambapo Mbowe alikuwa anaungwa mkono na hao watu hukuona shida? Maana wote walikuwa wanamuunga mkono kabla hawajamgeuka kutokana na ulaghai wake juu ya utekaji unaoendelea. Mbowe kwa sasa ni muhuni huwezi kumsafisha kwa mistari hiyo uliyoandika.
 
Lissu hafai kupewa chama, hana siasa za kuemdesha chama, yeye ni mwanaharqkati tu kama kina Maria.

Mbowe apumzike sasa, ila atafutwe mtu makini wa kukiongoza chama, Lissu hafai hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…