Siri ya kwanini Lissu anaungwa mkono na Wanaharakati na siyo Mbowe

Mbowe ni pandikizi la Tiss, yupo upinzani kwa 'kazi maalumu.'

Tundu Lissu ni mpinzani wa kweli, ni vyema akaondoka Chadema, nyoka yupo ameingia ndani mwao
Mbowe anafanya biashara ya siasa wala hana nia ya kushika dola
 
Lisu anarudia kosa lilelile la Magufuli kuamini ni yeye tu ndio muarobaini wa jambo fulani.

In future tense Lisu ni awaiting Dictator.
Ni Lissu au Mbowe? Mbona unajichanganya sana
 
Hawa watukanaji mitandaoni ndio wafuasi wa Lisu, lakini wapiga kura ni wafuasi wa Mbowe.

Ndio mtajuwa tofauti ya mwanasiasa na mwanaharakati, Mbowe ameweka base kwenye chama, nyinyi endeleeni kutukana watu sanduku la kura litawajibu.
Kuna mwanachadema anayetukana watu hovyo kumzidi Martin Masese, kama hukujua basi nakujuza Martin Masese ni chawa kindakindaki wa Freeman Mbowe na bingwa wa kutukana watu hovyo kama kuku aliyekatwa kichwa.
 
Itoshe Kusema wewe ni MPUMBAVU SABA
Watu kama ninyi mnampenda Lissu kwa uanaharakati wake, lakini siku akitangaza maandamano mtampamba kweri kweri na mwisho wa siku atajikuta yuko Ubeleji na nyie nyuma key boards mkikiwasha JF, lakini mtaani hampo? Wajinga sana ninyi!
 
Yule mzee wa machame apumzike bwana, wale wapiga kura nawaombea sana mumchague TL, mimi napenda mabadiliko. Mbona upande wa pili walimchagua Magu na walisema hana sifa za kuwa rais kipindi alipokuwa waziri.
 
Siasa za saizi zimebadilika zinawahitaji akina Lissu.
Fuatilia hata chaguzi za Ulaya +USA +etc
Utaona watu wanataka viongozi wa aina gani????
 
Wapiga ramli bado mpo? Wenzako wengine walikuwa wananiita Baba Samira.

Halafu for your information mimi siyo Chadema na wala sijawahi hata kufikiria kuwa mwanachama wa Chadema.
Nimekujua kwa sababu kale ka-barmaid unakochukuwaga kalikuona una-post kwenye simu yako.
 
Well said,,, 👏 kudos!
Lissu haeleweki,,,, kama akili zake hazichaji vzr,,,, ! Leo anasema hiki kesho anakuja kusema hiki,,,! Huyo hachelewi kuwakimbia na kuwaachia chama chenu mraruane wenyewe endapo uchaguz umeenda fyongo,,,,
 
Yule mzee wa machame apumzike bwana, wale wapiga kura nawaombea sana mumchague TL, mimi napenda mabadiliko. Mbona upande wa pili walimchagua Magu na walisema hana sifa za kuwa rais kipindi alipokuwa waziri.
Kundi la Lowasa ndio lilimpigia kura Magufuli kumkomowa Kikwete, fuatilieni vizuri siasa mzielewe.

Ndio maana Magufuli alifanya juu chini ilibLowasa arudi ccm kwa sababu alikuwa na watu, mtu mwenye watu kwenye siasa ni hatari sana niblazina uende naye sawa.


Kwa mfano kwa sasa mtu kama Mwamposa lazima serikali iende naye sawa kwa sababu ana watu wengi, akikubadilikia ni big threat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…