Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Tunaonmba reference la bandiko lako. Bila ya hivyo ni chai tu. Usitulazimishe kuamini ya kichwani mwako. Bila evidence huna credibility ha ha ha

Hata bila reference mkuu hii hadithi imetiwa chumvi nyingi ya Nyerere wa Kuchongwa.Mtoa hoja anachonga Nyerere asietenda dhambi,Nyerere Mtakatifu.Hii sio sawa kabisa.
 
Nyerere alipokwenda UNO alilakiwa kanisani! Ndiyo tunajua kuwa to date kanisa ndo lina tawala !!! Waislam hawatakiwi kuwapa vijana wao mafunzo juu ya dini yao, wakijaribu wataitwa magaidi ... Mfumo Kristo upo na sasa umejionyesha wazi ...
 
Watu bana... Sasa haya yote yanatusaidia nini Kama taifa?
 
Mi nnavyojua vita kuu ya pili ya dunia ndio iliyotupa Uhuru.
Moja ya makubaliano n kwamba waachie makoloni ili kila mtu awe huru kufanya business na nchi yoyote, hivyo walikuwa wanaachia makolon kidogo kidogo kadili nchi ilivyoonyesha uwezo wa kujitawala. Ndio maana Tanganyika ulikuwa rahisi kupata bila kupigana.
Kwa mimi nashukuru Adolf Hitler kwa kuanzisha vita ya pili ya dunia.
 
Tunaonmba reference la bandiko lako. Bila ya hivyo ni chai tu. Usitulazimishe kuamini ya kichwani mwako. Bila evidence huna credibility ha ha ha

Nimemwekea reference ya aliko likopi na kuja kupesti hapa akijidai kaandika yeye, kashushuka shu.
 
Yericko,
Umesema kweli.

Mimi ni bingwa wa historia ya wazee wangu ndiyo maana walipotaka
kuiharibu historia ya Dar es Salaam nilisimama kurekebisha.

Mada yako inachosha ndiyo maana siji kuchangia.

Badala ya kurekebisha uliharibu, hasa pale ulipowafanya hao wazee kuwa ndio "wao" waliopigania uhuru,
 
Mi nnavyojua vita kuu ya pili ya dunia ndio iliyotupa Uhuru.
Moja ya makubaliano n kwamba waachie makoloni ili kila mtu awe huru kufanya business na nchi yoyote, hivyo walikuwa wanaachia makolon kidogo kidogo kadili nchi ilivyoonyesha uwezo wa kujitawala. Ndio maana Tanganyika ulikuwa rahisi kupata bila kupigana.
Kwa mimi nashukuru Adolf Hitler kwa kuanzisha vita ya pili ya dunia.

Ni kweli, na Malkia aliambiwa aandae mtu aliyepevuka kisha ampe nchi, akatekeleza hilo kwa msaada wa wagalatia
 
Hata bila reference mkuu hii hadithi imetiwa chumvi nyingi ya Nyerere wa Kuchongwa.Mtoa hoja anachonga Nyerere asietenda dhambi,Nyerere Mtakatifu.Hii sio sawa kabisa.

Unamtaka Nyerere wa akina Mohamed Said?
 
Last edited by a moderator:
Hata bila reference mkuu hii hadithi imetiwa chumvi nyingi ya Nyerere wa Kuchongwa.Mtoa hoja anachonga Nyerere asietenda dhambi,Nyerere Mtakatifu.Hii sio sawa kabisa.
Unaumwa roho?Km unaumwa roho na sifa za mtu mwingine ambazo hazikupunguzii chochote.Kwanini usijekuwa mtu wa hovyo na mwenye kuleta umasikini ktk jamii yako.Wachawi wengi huwa wanaloga wanaofanikiwa na wao kubaki ktk hali duni.Badala ya kuacha wengine wafanikiwe ili angalau wafaidi shule nzuri, maduka mazuri, bar nzuri etc vitakavyoletwa na hao watu.
 
Una IQ ndogo sana kama nyumbu ewe bibi FaizaFoxy

Kwenye hizo link nilizokupa umeona zivyofanana lakini waandishi tofauti?

Historia ya Mwalimu inaweza kujaa chumba ikiwa itakusanywa toka kwa wasimulizi wote,

Vipi hii hapa chini nayo umeiona kwenye link hizo?

Sasa tuje kwenye uwanda wa harakati za ukombozi na ukweli wa mambo, nitaelezea kwa ufupi jinsi kanisa la Tanganyika lilivyoshiriki harakati za ukombozi wa Tanganyika na madhila liliyokumbana nayo. Ifahamike kuwa vyama vya harakati za ukombozi Tanganyika vilikuwa vingi sana, na vipo vilivyokuwa vikipingana vyenyewe kwa vyenyewe. Mwaka 1927 – 1929 kanisa Katoliki nchini chini Joseph Gabriel Zelger, lilibainika kuingiza siasa katika utendaji kazi zake, kitendo hiki kiliwakwaza wakuu wa mamlaka ya kikoloni na kupelekea majasusi wakikoloni wapendekeze aachishwe uongozi wa kanisa nchini. Ni kweli tarehe 12 februari 1929 Zelger alistaafu wadhifawake kwa lazima.

Kisa hiki kinasema, Kanisa lilianzisha mafundisho yenye kuchochea fikra za kimaasi, nalilifanikiwa kuandaa wakufunzi maalumu kwenda katika majimbo yote ya kihuduma Tanganyika, hilo lilipelekea kuleta mtafaruku na dola ya mkoloni wa kiingereza ambapo ilimgharimu kiongozi huyu wa kiroho kuachia madaraka yake. Alipoingia askofu Edger Aristide Maranta mwaka 1930, ikiwa kama vile mwendelezo wa mtangulizi wake, Askofu Maranda alianzisha harakati za kuwashawishi viongozi wengine wa majimbo kuendeleza kutoa mafundisho yenye kumfanya mtanganyika ajitambue na adai uhuru wake, Mfano: 23 mei 1938 wakati makanisa saba ya Kilutheri yakiwa kwenye hatua za mwanzo za mchakato wa kuungana,

Askofu maranda aliomba kuhudhuria kikao cha tarehe 8 mwezi wa sita kilichofanyika Mjini Arusha, Askofu Maranda aliudokeza mpango ule wa siri wa katoliki katika kikao hicho, japokuwa kulikuwa na hofu ya kutoaminiana, lakini uthabiti wa malengo hayo ulijipembua baadae na kuwa wamafaa. Juhudi za kanisa kupigania ukombozi ziliendelea kushika kasi huku zikiendeshwa kwa siri sana kwamfumo wa neno la kiroho, na ilipofikia miaka ya 1950+ kanisa sasa lilikuwa tayari linanguvu ya ushawishi kufuatia mafanikio ya harakati za kanisa katika nyanja za ukombozi barani afrika.

Mtihani mkubwa kwa kanisa ilikuwa ni namna gani linaweza kuingia rasmi kudai uhuru wa Tanganyika. Katika kipindi hiki tangu harakati za kanisa zianze, Askofu Maranta pamoja na mapadre wa baadhi ya mikoa, walikuwa tayari ameshafanya juhudi kadhaa za kukutana na Mashehe waliokuwa na ushawishi mkubwa, mfano 05/02/1948, Askofu Maranda alikutana Shehe Issa bin Amir kiongozi wa kiroho katika msikiti wa Ilala - mchikichini. Shehe Issa Bin Amir alizaliwa 1846 katika viunga vya mchikichini Mzizima na kuhudumu katika wadhifa wa shekhe katika msikiti uliokuwa hapohapo viwanja vya nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 34 tu, hiyo ni mwaka 1880 hadi 1953 Nje ya kuhudumu katika uislamu, alikuwa ni mvuvi aliyevua pamoja na Ally Ramadhan mwekahazina wa kwanza wa AA,

Shehe Issa Bin Amir kwa kabila alikuwa Mzaramo na akiishi hadi kifo chake Mchikichini pale nyuma ya kilipo kiwanda cha bia leo (TBL) Shehe Issa Bin Amir rafiki kipenzi wa Padre Maranta na mzee wa hekima za kilele za cha zama hizo, mtu aliyekuwa kiungo muhimu kati ya uislamu na ukristu, Mtu ambae Mwalimu Cesil Matola rais wa kwanza wa AA na Klest Sykes katibu mkuu wakwanza wa AA, na wanachama wengine waliokuwa AA walimheshimu sana kwa hekima zake! Mazungumzo yao yalihusu harakati za ukombozi, Shehe Issa alimshauri Askofu kuwa ikiwa makanisa na misikiti yanapigwa marufuku na mkoloni kujihusisha na siasa za ukombozi basi watafute baadhi ya vyama vya harakati za ukombozi na waviunge mkono, wazo hilo lilimvutia Askofu lakini akajenga hofu kama je ndani ya vyama hivyo watapata vijana wasomi?.

Siku chache baada ya makutano yake na Shehe Issa, Askofu Maranta aliletewa mapendekezo kutoka kwa Attilio Beltramino kassi wa katoliki aliyehudumu kule Iringa, mapendekezo ya kasisi huyu yalikuwa ni, Umishonari makao makuu uruhusu udurufu wa biblia zisomeke kwa makabila ya wahusika wa eneo, ndani ya biblia hizo yaongezwe mafundisho ya haki ya kujitambua na kujitawala wenyewe. Pendekezo hili lilimvutia sana Maranta hivyo akalipa baraka zake, kwa hakika lilifanikiwa na ndio lilizaa hisia kali za mwamko wa kudai uhuru, mfano biblia ya lugha ya kihehe ilikuwa inaeleza wazi athari za kutawaliwa.

Harakati za Ukombozi za Mwalimu Nyerere zililivutia kanisa na likaamua kumuunga mkono, mfano mwaka 1953 wakati TAA kikiwa chama chenye nguvu, Askofu Maranta alimwalika ofisini kwake Mwalimu Nyerere, walizungumza mengi lakini kubwa nikuwa alimsifu kwa juhudi za kujipambanua bila kuwaogopa wakoloni na akamweleza jinsi kanisa linavyounga mkono juhudi za ukombozi wa Tanganyika, kisha akamshauri kuwa ajaribu kuvishawishi baadhi ya vyama vya harakati za ukombozi viungane ili kuvipa nguvu ya kudai uhuru na kanisa litasaidia. Wazo la Askofu Maranta lilimkaa Mzee Nyerere na mwaka 1954, alianza juhudi za kuwaunganisha vijana wenzake wa kariakoo ambao walikuwa ndani ya TAA na wenye nguvu ya ushawishi lakini wakikabiliwa na matatizo makubwa mawili katika lengo lao ambayo ni Elimu, Woga.

Ikumbukwe kuwa mwaka 1953 baada ya harakati za ukombozi kupamba moto na kamata kamata ya wanaukombozi, Askofu Edger Aristide Maranta alihamishiwa Zanzibar na nafasi yake ikachukuliwa na Vicar Apostolic, lakini bado aliendelea kuwa mshauri imara wa Mwalimu Nyerere.
Jambo la kushangaza kama si kufurahisha, mwaka huohuo mwezi wa 8, Edger Aristide Maranta alirudishwa tena Dar es Saalam, na sasa mbinyo dhidi ya ukoloni ikahika mkondo wake. Mnamo tarehe 7/7/1954, Vijana (wazee wa kariakoo) wakiongozwa na Julius Kambarage Nyerere, walikubaliana wazo la kuhuisha chama kutoka TAA kwenda TANU, chini ya uratibu wa karibu wa kanisa Katoliki (Askofu Maranta) na Waislamu (Shehe Issa bin Amir) ijapokuwa alikuwa amefariki mwaka mmoja nyuma, lakini hekima za Shehe huyu zilisaidia! Na zaidi ni kuwa safari ya kwanza ya Mwalimu Nyerere ya kwenda UNO 05/03/1955 , Kanisa Katoliki lilitoa msaada kwa chama cha TANU wa tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi, lilifanya hivyo kupitia shirika lake la Maryknoll Sisters la New York Marekani,

Si hivyo tu bali katika moja ya utani wa Mwalimu wenye ukweli ndani yake aliwahi kusema kuwa Kasisi Art Wille wa Shirika la Maryknoll ni boss wake, akikumbuka malipo ya shilingi 600 kila mwezi angali ameacha kazi ya ualimu akiwa kijijini Butiama
 
Wanamajlis, Maalim F.
Kuna baadhi ya watu wananiomba nishichangie uzi wa Yericko kwa kuwa
wao wanaona sistahili kufanya hivyo kwa "hadhi" yangu.

Yericko anamzungumza Cecil Matola 1948 wakati Matoka kafa 1933.

1953 hapakuwa na kamata kamata yoyote.

Kamata ilikuja 1955 kwa kukamatwa Wakikuyu Tanganyika kwa kushukiwa
Mau Mau.

Dome Budohi na Martin walikamatwa hapa Dar es Salaam.
Budohi kadi yake ya TANU ni na. 6.

Wazalendo hawa walikuwa wakifika hadi nyumbani kwetu na nikitembelea
Budohi nyumbani kwake Ruiru Nairobi katika miaka ya 1970.

Dar es Salaam hapakuwapo na Shehe Issa bin Amir katika siasa za TAA.

Kulikuwa na Mufti Sheikh Hassan bin Amir ambae alikuwa katika TAA
Sub Committee pamoja na Abdul Sykes na Dr. Vedasto Kyaruzi 1950.

Naona nisimame hapa.

Yericko jasiri sana anasema Maalim Faiza ana IQ ndogo...
Hebu aulize kwanza kabla ya kusema...

Lakini atakae kujua siku za mwanzo za TANU na aingie hapa atajifunza
mengi:

https://8761483861369231788_4e1fa00...8C6dmZ4Q&postId=7397044646447076396&type=POST

Hapo chini itakae kumjua Mufti Sheikh Hassan bin Amir hii ni kutoka hapa Majlis:
http://www.mohammedsaid.com/2014/05/kutoka-jf-sheikh-hassan-bin-amir_30.html

Akiba ya maneno.

Ikiwa mwanamajlis yeyote ana chochote kuhusu huyu sheikh wa Yericko atuwekee
historia yake hapa barzani.
 
Wanamajlis, Maalim F.
Kuna baadhi ya watu wananiomba nishichangie uzi wa Yericko kwa kuwa
wao wanaona sistahili kufanya hivyo kwa "hadhi" yangu.

Yericko anamzungumza Cecil Matola 1948 wakati Matoka kafa 1934.

1953 hapakuwa na kamata kamata yoyote.

Kamata ilikuja 1955 kwa kukamatwa Wakikuyu Tanganyika kwa kushukiwa
Mau Mau.

Dome Budohi na Martin walikamatwa hapa Dar es Salaam.
Budohi kadi yake ya TANU ni na. 6.

Wazalendo hawa walikuwa wakifika hadi nyumbani kwetu na nikitembelea
Budohi nyumbani kwake Ruiru Nairobi katika miaka ya 1970.

Dar es Salaam hapakuwapo na Shehe Issa bin Amir katika siasa za TAA.

Kulikuwa na Mufti Sheikh Hassan bin Amir ambae alikuwa katika TAA
Sub Committee pamoja na Abdul Sykes na Dr. Vedasto Kyaruzi 1950.

Naona nisimame hapa.

Yericko jasiri sana anasema Maalim Faiza ana IQ ndogo...
Hebu aulize kwanza kabla ya kusema...

Lakini atakae kujua siku za mwanzo za TANU na aingie hapa atajifunza
mengi:

https://8761483861369231788_4e1fa00...8C6dmZ4Q&postId=7397044646447076396&type=POST

Hapo chini itakae kumjua Mufti Sheikh Hassan bin Amir hii ni kutoka hapa Majlis:
KUTOKA JF: SHEIKH HASSAN BIN AMIR ALIVYOIONGOZA TANU KUWA CHAMA CHA KISEKULA - Mohamed Said

Akiba ya maneno.

Ikiwa mwanamajlis yeyote ana chochote kuhusu huyu sheikh wa Yericko atuwekee
historia yake hapa barzani.

Mzee unapindisha nilichoandika kwafaida ya nani? Unanilisha maneno ili iweje?

AA iliundwa 1927 chini Myao mwalimu Cesil Matola akiwa ndie rais wa kwanza, na katibu wake akawa ni yule mateka wa kivita mhamiaji haramu Klest Sykis, na mwekahazina akawa Ally Ramadhan mvuvi mashuhuri mzaramo wa kweli.

Mwaka 1933, Mwalimu Matola alifariki, hivyo nafasi ya urais wa AA ikakaimiwa na Klest mpaka alipokuja kupinduliwa kwa ngumi na mwanae wa kumzaa aitwae Abdul Sykis mwaka 1948. Huyu nae hakushika urais wa AA kwakuwa kichwani alikuwa mbugila yani sifuri, hivyo nafasi hiyo ikashikwa na Daktari msomi Vedasto Kyaruzi, Abdul akabaki kuwa katibu,

Dr Kyaruzi akakaa kudogo kwenye nafsi hiyo kisha kwa hila za gavana, akamhamishia Sengerema hivyo nafasi ya rais wa AA ikakaimiwa na Abdul Sykis mpaa alipokuja msomi mwingine Julius Kambarage Nyerere mwaka 1953 uchaguzi wa Anautoglo Mnazimmoja ya leo.
 
Natamani nikupuuze lakini nafsi inanambia muongo muongoze.

African Association ilianzishwa 1929 siyo 1927.
Kleist hakuwa mhamiaji.

Kleist alizaliwa Pangani mwaka 1894.
Baba Mzulu na mama yake Mnyaturu.

Kleist Sykes hajapatapo kukaimu urais wa AA.

Mwaka wa 1933 palitokea ugomvi mkubwa kati ya Erika Fiah na
Kleist.

Rais wakati ule alikuwa Mzee bin Sudi.

Kleist akajiuzulu nafasi ya ukatibu.

Mzee bin Sudi alimuandikia Kleist barua ya kumuomba arejee
kwenye chama.

Haya yanatokea babu yangu yupo katika AA.

Unaweza kupata habari hizi katika, "Kleist Sykes The Townman,"
katika Iliffe (Ed), "Modern Tanzanians," (1973), Tanzania Publishing
House, Dar es Salaam.

Mwaka wa 1948 rais wa TAA alikuwa Mwalimu Thomas Sauti Plantan.
Dr. Kyaruzi hakuhamishiwa Sengerema bali Kingolwira kisha Nzega.

Abdul Sykes ni kati ya vijana wa Kidar es Salaam waliokuwa na akili
sana.

Siku zote alikuwa ni "A" student.

Abdul Sykes kasoma darasa moja na baba yangu hapo Muslim School
kisha Kitchwele.

Nimepokea mengi sana ya kipindi hicho kutoka kwa baba yangu.

1942 alikuwa kapasi kwenda Makerere lakini Waingereza wakamtia
katika jeshi la KAR akenda kupigana Burma WWII.

1953 akapata admission Princeton University, New Jersey lakini hakuenda.

Kinachonichekesha ni kuwa hayo unayojaribu kuandika humu ulisoma
kwanza kwangu hapa Majlis.

Historia hii haikuwa inajulikana na wengi kabla.
Mwisho.

Mbona sasa unawatukana wazee wetu?
Kwani huwezi kufanya mjadala bila ya matusi?

Hawa wazee si ndiyo walikuwa na baba yako wakati wa kuipigania
uhuru?

Ukiwatusi hawa ni sawa ya kumtusi baba yako.
Au wewe huoni hivyo?

Wanamajlis mnaweza kuingia hapa kwa habari zaidi:
http://www.mohammedsaid.com/2015/01/kleist-sykes-1894-1949-katika.html

facebook_1425848560953.jpg

Kleist Sykes (1894 - 1949)
 
KLEIST SYKES (1894 - 1949) KATIKA DICTIONARY OF AFRICAN BIOGRAPHY (DAB) OXFORD UNIVERSITY PRESS, NEW YORK - Mohamed Said

facebook_1425848560953.jpg

Kleist Sykes (1894 - 1949)

Acha uongo mzee wewe, unazee vibaya maalim,

Narudia kukuambia wewe na wanaukumbi kuwa, AA iliundwa 1927, na iliundwa kwamsaada wa Gavan Sir David Cameroun kikitambuliwa kama chama wa kuratibu shughuli za sherehe za waafrika,

Kuundwa AA kulikuja baada ya kuwepo kwa amri inayozuia watu weusi kuingia kwenye ukumbi wa starehe wa wazungu pale Karimjee ya zamani pale ilipo NBC makao makuu posta Baharini, hivyo kama hatua ya kuwasaidia watu hawa weusi wasiwe wanakwenda kuchunguliachungulia wakati wazungu wakila na kunywa, Gavana Sir Cameroun akawaundia chama chao cha kuratibu shughuli za weusi za starehe, kwamaneno mengine tunasema AA kilikuwa chama cha walevi.

AA chini Myao mwalimu Cesil Matola akiwa ndie rais wa kwanza, na katibu wake akawa ni yule mateka wa kivita mhamiaji haramu Klest Sykis, na mwekahazina akawa Ally Ramadhan mvuvi mashuhuri mzaramo wa kweli.

Mwaka 1933, Mwalimu Matola alifariki, hivyo nafasi ya urais wa AA ikakaimiwa na Klest mpaka alipokuja kupinduliwa kwa ngumi na mwanae wa kumzaa aitwae Abdul Sykis mwaka 1948. Huyu nae hakushika urais wa AA kwakuwa kichwani alikuwa mbugila yani sifuri, hivyo nafasi hiyo ikashikwa na Daktari msomi Vedasto Kyaruzi, Abdul akabaki kuwa katibu,

Dr Kyaruzi akakaa kudogo kwenye nafsi hiyo kisha kwa hila za gavana, akamhamishia Sengerema hivyo nafasi ya rais wa AA ikakaimiwa na Abdul Sykis mpaa alipokuja msomi mwingine Julius Kambarage Nyerere mwaka 1953 uchaguzi wa Anautoglo Mnazimmoja ya leo.

Ukoo wa Sykis haukuwahi kuchaguliwa kuwa rais ama mwenyekiti wa chama chochote TANGANYIKA mpa hivi leo, zaidi ya kukaimu tu nafasi hizo.

Mzee Said ngano zako za kariakoo walishe watoto wasiofahamu haya,

Nguruvi3 Mag3 Ngongoseke Mkuu wa chuo
 
Mkuu nipo hapa nacheka tu, umeamua kumwambia mzee aache uongo... na ile kwamba kwa kifupi chama ni cha ulevi...

Sijui ni nini dhumuni la kupindisha historia, kama kitu ni cha uongo, nachojiuliza pia kama ilikuwa ni chama cha kupigania uhuru iweje ngumi zilike ndani yake...

Inamaana walikuwa wakigombea kitu gani?! Hivi ni kwanini hawa jamaa hadi leo hii wenyewe na Nyerere tu?! Mohamed angetueleza mipango ya sasa ni ipi katika kurekebisha hayo ambayo anaona sio sawa...

Na kuna mabadiliko gani toka aanze kutoa paper kwa wasomi, pote kule alipozunguka?!
 
Last edited by a moderator:
Kimenuka.

"kamata mwizi maaaaan".

Amebumburushwa anajikanyaga.
 
Ewe punguani, ndiyo maanaa nikakwambi ku u finyu sanaa na hauna cha kushinda na Alama Mohamed Said, paper yako hata moja ya kihistoria iko wapi?

Umemkopi huyo mwandishi niliyewekaa link na kuja kumpesti hapa bila hata haya, hiyo inaitwa "plagiarism". Nchi zenye kufata "copy rights" unashitakiwa, ulipata "consent" yake huyo aliyeandika hayo kumkopi?

Onesha katika uliyoyaandika yako wewe ni yepi?

Waandishi wa historia hufanya research zao wenyewe pia ku interview watu na kupitia nyaraka mbali mbali tofauti na wanapochukuwa ya mwengine hufanya "citation", wewe umeingia mzima mzima kudanganya watu halafu unataka ushahidi?

Na hata wanapofanya "citation" amma huyakubali, amma huyapinga hayo wanayoyanukuu amma huyakosoa amma huyaboresha, wewe mwenzangu na mie na kuandikia historia wapi na wapi? jinsi unavyoandika nnauhakika hata essay huwezi andika wacha history.

Hivi toka mjuwe kuingia mtandaoni na kakutana na makanjanja na misukule wenzenu basi mnajiona mnaandika sana.

Soma kazi za watu wenye papers zao vyuoni na vitabu vyenye hadhi ya kimataifa, siyo hivyo vi kopi and pesti vyako vya mtandaoni kwa watu ambao ni kama wewe halafu unajiona umenadika historia.

Wewe uliingia library ipi duniani hata siku moja kufanya utafiti wako? au una paper ipi yako ya historia katika library ipi?

Hapo sasa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Kasoma madrasa nini????? Faiza ebu mpe ilimu kidogo
 
Back
Top Bottom