Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Mkuu nipo hapa nacheka tu, umeamua kumwambia mzee aache uongo... na ile kwamba kwa kifupi chama ni cha ulevi...

Sijui ni nini dhumuni la kupindisha historia, kama kitu ni cha uongo, nachojiuliza pia kama ilikuwa ni chama cha kupigania uhuru iweje ngumi zilike ndani yake...

Inamaana walikuwa wakigombea kitu gani?! Hivi ni kwanini hawa jamaa hadi leo hii wenyewe na Nyerere tu?! Mohamed angetueleza mipango ya sasa ni ipi katika kurekebisha hayo ambayo anaona sio sawa...

Na kuna mabadiliko gani toka aanze kutoa paper kwa wasomi, pote kule alipozunguka?!

Hawa ndugu zetu hawapendi na hawapo tayari kusikia historia ya uhuru nje ya imani yao,

Hapa angeitoa historia hii mtu wao wala isingekuwa utata,
 
Kimenuka.

"kamata mwizi maaaaan".

Amebumburushwa anajikanyaga.

Bibi umejaa ushabiki usio na mbele wala nyuma,

Umeona nilivyomjibu mzee mwenzio hapa chini?

Acha uongo mzee wewe, unazee vibaya maalim,

Narudia kukuambia wewe na wanaukumbi kuwa, AA iliundwa 1927, na iliundwa kwamsaada wa Gavan Sir David Cameroun kikitambuliwa kama chama wa kuratibu shughuli za sherehe za waafrika,

Kuundwa AA kulikuja baada ya kuwepo kwa amri inayozuia watu weusi kuingia kwenye ukumbi wa starehe wa wazungu pale Karimjee ya zamani pale ilipo NBC makao makuu posta Baharini, hivyo kama hatua ya kuwasaidia watu hawa weusi wasiwe wanakwenda kuchunguliachungulia wakati wazungu wakila na kunywa, Gavana Sir Cameroun akawaundia chama chao cha kuratibu shughuli za weusi za starehe, kwamaneno mengine tunasema AA kilikuwa chama cha walevi.

AA chini Myao mwalimu Cesil Matola akiwa ndie rais wa kwanza, na katibu wake akawa ni yule mateka wa kivita mhamiaji haramu Klest Sykis, na mwekahazina akawa Ally Ramadhan mvuvi mashuhuri mzaramo wa kweli.

Mwaka 1933, Mwalimu Matola alifariki, hivyo nafasi ya urais wa AA ikakaimiwa na Klest mpaka alipokuja kupinduliwa kwa ngumi na mwanae wa kumzaa aitwae Abdul Sykis mwaka 1948. Huyu nae hakushika urais wa AA kwakuwa kichwani alikuwa mbugila yani sifuri, hivyo nafasi hiyo ikashikwa na Daktari msomi Vedasto Kyaruzi, Abdul akabaki kuwa katibu,

Dr Kyaruzi akakaa kudogo kwenye nafsi hiyo kisha kwa hila za gavana, akamhamishia Sengerema hivyo nafasi ya rais wa AA ikakaimiwa na Abdul Sykis mpaa alipokuja msomi mwingine Julius Kambarage Nyerere mwaka 1953 uchaguzi wa Anautoglo Mnazimmoja ya leo.

Ukoo wa Sykis haukuwahi kuchaguliwa kuwa rais ama mwenyekiti wa chama chochote TANGANYIKA mpa hivi leo, zaidi ya kukaimu tu nafasi hizo.

Mzee Said ngano zako za kariakoo walishe watoto wasiofahamu haya,

Nguruvi3 Mag3 Ngongoseke Mkuu wa chuo
 
Last edited by a moderator:
Bibi umejaa ushabiki usio na mbele wala nyuma,

Umefundishwa majina sahihi, umefundishwa miaka sahihi, bado tu unajibaraguza? hata haya huoni?

Nna uhakika utafanya editing kama nilipokubamba na "Elizath". ukafanya editing mbio mbio.

Kama huna huna tu.
 
Yupi wakunisahihisha? Wewe?

Ingekuwa aya za kuruan labda ungeweza,

Muite tena huyo mzee mwenzio aje nimfundishe asipindishe pindishe ukweli
 
Elizabeth Malkia wa Uingereza mbona siyo Mkatoliki?

Msingi wa ukombozi haikuwa dini, bali uhuru wa mtanganyika,

Mbona huulizi kama kwenye koloni la muingereza ukatoliki ulipigwa marufuku?
 
wasamehe hawa watoto wa kambo ulalamishi ni asili

Wanamajlis,
Hapo chini ni leo asubuhi nilifanya kipindi maalum cha Rais Abeid Amani Karume (1905 - 1972)
na AZAM TV.

Kipindi kilikuwa cha takriban saa moja na nilieleza maisha ya Karume kuanzia mwaka 1955
alipohudhurua mkutano wa kwanza wa TANU uliofanyika Ukumbi wa Hindu Mandal Dar es Salaam
ambako alikutana na Mwalimu Nyerere.

Nileleza pia hiyo haikuwa ndiyo mwanzo wa kukutana.
Walikutana kabla Zanzibar...

Mtangazaji wa AZAM TV Irene Kilenga alivutiwa sana na jina nililompa Mzee Karume - "The Mastermind,"
na alitaka kujua zaidi ni kipi kilinifanya mimi kumpa jina hilo.

Nilimpa kisa chake toka mwanzo 1955 hadi kumalizikia kifo chake 1972.

UR9PNM8EJ1FSLoowqPDbbW8LfnflF_OfZlCarUqRC8H9GUz-8NtKBNNf-EoVCeATVC12MmW2ChQetsJDIldG4Q=w1342-h539

RVb8wrPvVSEM00-UMWqUlSz9QKhIf1fTzXmcW1taK5ENtO9Xs5DU0GCbN6v7AxQfgP6E-FJtim6EdbxMf0ncog=w1342-h539

DSCN1585.JPG

IMG-20150407-WA0016.jpg

Picha hiyo hapo juu ni ya Humud kijana mwanajeshi aliyemuua Mzee Karume.
Hivi ndivyo ilivyokuwa ikifahamika kwa miaka mingi.

Kitabu cha Dr. Harith Ghassany, "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru," kikaja na
habari mpya kabisa chanzo kikiwa ni hao waliopanga njama ile kuwa aliyemuua
Karume kwa kufyatua risasi alikuwa Ahmada.

Picha hiyo hapo chini ni Sala ya Jeneza ya Mzee Karume.

Karume%2B-%2B1
 
Wanamajlis,
Hapo chini ni leo asubuhi nilifanya kipindi maalum cha Rais Abeid Amani Karume (1905 - 1972)
na AZAM TV.

Kipindi kilikuwa cha takriban saa moja na nilieleza maisha ya Karume kuanzia mwaka 1955
alipohudhurua mkutano wa kwanza wa TANU uliofanyika Ukumbi wa Hindu Mandal Dar es Salaam
ambako alikutana na Mwalimu Nyerere.

Nileleza pia hiyo haikuwa ndiyo mwanzo wa kukutana.
Walikutana kabla Zanzibar...

Mtangazaji wa AZAM TV Irene Kilenga alivutiwa sana na jina nililompa Mzee Karume - "The Mastermind,"
na alitaka kujua zaidi ni kipi kilinifanya mimi kumpa jina hilo.

Nilimpa kisa chake toka mwanzo 1955 hadi kumalizikia kifo chake 1972.

UR9PNM8EJ1FSLoowqPDbbW8LfnflF_OfZlCarUqRC8H9GUz-8NtKBNNf-EoVCeATVC12MmW2ChQetsJDIldG4Q=w1342-h539

RVb8wrPvVSEM00-UMWqUlSz9QKhIf1fTzXmcW1taK5ENtO9Xs5DU0GCbN6v7AxQfgP6E-FJtim6EdbxMf0ncog=w1342-h539

DSCN1585.JPG

Jambo jema kwakufanya kipindi, hoja ya msingi ni usharika wa Malkia Elizabeth, Kanisa Katoliki na Julius Nyerere katika Uhuru wa Tanganyika.
 
Yericko,
Hiyo hoja tunayo hapana shida na Wanamajlis wametoa mawazo yao. Nilipenda tu kufahamisha barza kuwa nilialikwa kwenye majlis nyingine kueleza historia ya Mzee Abeid Amani Karume. Nilifanya vipindi viwili. Kimoja kilikuwa mubashara yaani "live," asubuhi na kingine walinirekodi wakatia kwenye taarifa ya habari usiku.
 
hivi unaelewa hata unachokichangia humu kwenye hizi posts zako?

Unachanganya mboga kwa jinsi roho inakuuma.Mohamed Said si huwa anaandika mengi huwa mnamuuliza uthibitisho?Kwani mlishwahi uliza uthibitisho km kweli Mkwawa alikuwa mkombozi wa waafrica na si kibaraka wa waarabu dhidi ya waafrica na wamissionary waliokuwa wakipinga utumwa na vita za kishenzi mkwawa ili ateke watu.

Murua,makini haipepesi macho..inayotofautisha na kutofautisha tofauti tulizo nazo ktk fikra,ktk kujenga na si kubomoa,ktk kusaidia na si kusaidiwa,ktk kuweka akiba na si kugombania kugawana akiba.

Inanikumbusha thread iliyorushwa baada ya kelele nyingi sana kuhusu Mabomu ya Olasiti na haswa Pale Soweto Arusha.Kwa muda mfupi sana ile thread ilikata ukimya.Ile thread ilifanya mioyoyo ya watu ikatikisika na pumzi kubadilika.Hii thread ikiachwa na Mods mohamded Said na akina Ritz hawana pa kutokea zaidi ya kudai references.Wakati zao zina jikuuu zenyewe na stori za kijinga sijui nilimuuliza yeye,sijui nilikaa nae, sijui nini na nini...Mohamed Said ni km mwandishi anayekwenda mhoji msajii mchovu au mcheza soka aliyefulia atakvyojidai enzi zao walikuwa wanajua mpira,sijui walikuwa na uzalendo..halfu ukiwauliza walifanikiwa au kulifikisha taifa wapi majibu hutapata..ila usipowauliza utaandika habari yao km ushahidi wa ubora a ukweli wao.
 
Mwl. Said nikukumbushe kidogo. pamoja na kuwa hii mada inachosha lakini siyo yake pia. yericko hana uwezo wa kufanya utafiti wowote. Kufanya utafiti kuna taratibu zake kuanzia ku-identify gap, ku-identify research questions, ku-formulate hypotheses, ku-creat objectives na hatimaye kuifanya hiyo research tena ikiwa na varified methodology. huyo technician (fundi mchundo) yericko hana sifa hizo. sote tunafahamu sifa/kazi za fundi mchundo. (kutumwa sites).
na kubwa zaidi ni kuwa kwenye hili bandiko analojinasibisha kulifanyia utafiti hapa amelikopy somewhere kama lilivyo na kujimilikisha kuwa ni lake. Namshukuru sana dada yangu Faiza kalifuma na kuliweka humu.
kwa hiyo sio kwamba linachosha tu bali pia sio lake. ingekuwa nchi za wenzetu angeshitakiwa kwa plagiarism. kwa sisi tuliobahatika kusoma huko ng'ambo hata proposal tu wanaiweka kwenye software kutrace kama umekopy kazi ya mtu. kwa lugha ingine huyu yericko ni wakupuuzwa tu.

Hivi wewe una nini cha kushindana na Alama Mohamed Said? hebu tuoneshe japo paper yako moja iliyotolewa hata shule ya kata wacha chuo kikuu chochote kile.

Ushahidi huu hapa wewe ume kopi na kuja pesti huku na hata kuonesha chanzo umeshindwa, unajifnya eti ni wee ulioleta huu utumbo:

Mwandishi wa makala hii, Anna Julia Mwansasu, ni msomaji wa Gazeti la Jamhuri. Amepata kufanya kazi ofisi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Mjue vizuri Mwalimu Julius Kambarage Nyerere | Gazeti la Jamhuri

cc Mkirindi

Italazimika nikufunze mambo machache ya kimandiki katika uandishi wewe bibi,

Historia ni mkusanyiko wa kumbukumbu za matukio kwa nyia ya maandishi au vitu, ninapoandika historia ya mwalimu inamaana nakusanya maandiko ya kila pembe na kuyaunganisha pamoja ili kuleta mtiririko ninaokusudia hii lazima ningeweka vyanzo vya kila niliposoma na kupata neno, kwakuwa sio uandishi wa historia halisi bali maudhui ya mada ni tofauti.

Ningekaa na kutaka kuandika rasmi historia ya Mwalimu Nyerere basi hakika ungeona vielelezo vingi sana na vyanzo vingi sana,

Historia ni tofauti na utafiti wa kitabibu, ama ya kiroho.

Na hizi utasema za nani?

TAFAKURI YETU: HISTORIA YA MAISHA YA MWALIMU NYERERE

Kilimanjaro Official Blog: HUYU NDIYE MWALIMU J.K NYERERE USIYEMFAHAMU...,

Mjue vizuri Mwalimu Julius Kambarage Nyerere | Gazeti la Jamhuri

Yericko,
Umesema kweli.

Mimi ni bingwa wa historia ya wazee wangu ndiyo maana walipotaka
kuiharibu historia ya Dar es Salaam nilisimama kurekebisha.

Mada yako inachosha ndiyo maana siji kuchangia.
 
Jambo jema kwakufanya kipindi, hoja ya msingi ni usharika wa Malkia Elizabeth, Kanisa Katoliki na Julius Nyerere katika Uhuru wa Tanganyika.

Wanamajlis,
Kuna mtu kanambia nisichoke kutoa darsa kwani katika kusomesha kwangu
toka nilipoingia JF wengi wamefaidika.

Sheikh Mohamed Ayub wa TAMTA Tanga alikuwa akisema, "Elimu ni amana
ya Allah kwa mja. Aliyonayo na akafanya khiyana anakuwa kadhulumu."

Naweka hapa kile nilichoandika katika kitabu cha Abdul Sykes kuhusu safari
ya Nyerere UNO mwaka 1955:

February 1955
[TABLE="width: 601"]
[TR]
[TD]"TANU needed about twelve thousand shillings to enable Nyerere to travel to the United Nations, New York. The committee of Abdu Kandoro, Japhet Kirilo and Abbas Sykes had collected some funds from the provinces which were used on Ally and Phombeah's abortive trip to the Pan African Congress in Lusaka. What was left was not enough. Funds had to be sought from the people to enable Nyerere make the trip. John Rupia contributed more than one third of the amount. Other staunch members contributed generously, but in that formative stage TANU was poor and the amount was still beyond its ability to raise. Realizing the deficit in the funds for Nyerere's trip, Idd Faiz was requested to travel to Tanga and get more funds from there. Mwalimu Kihere had already collected the money and was only waiting for it to be collected and to be delivered to the headquarters. At the same time TANU received information that whoever traveled to Tanga to get the money for Nyerere's trip would be arrested on his way back. Before departure Oscar Kambona TANU General Secretary and John Rupia TANU Vice-President went to see Idd Faiz at his house at Ilala for a briefing and to wish him luck.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The journey to Tanga was uneventful but on the return leg the bus on which Idd Faiz was traveling was waylaid by the Special Branch at Turiani. Idd Faiz was arrested, stripped naked and searched, but no money was found on him. This baffled the Special Branch arresting officer because they had information that Idd Faiz [1] had actually picked up the money from Mwalimu Kihere in Tanga. Idd Faiz was therefore taken to Dar es Salaam under armed escort for interrogation and was later released. The money for Nyerere's trip to New York reached Dar es SalaamTANU headquarters safely. The money was carried by a young girl who was a passenger on the bus. On 17 th February, 1955 Nyerere left for New York to address the Trusteeship Council of the United Nations. He had been sent by TANU with the following message:[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]...to see the elective principle established and Africans securing a majority on all representative bodies of a public nature... This we believe, is in accordance with the terms of the Trusteeship Agreement and Article 76 of the United Nations Charter. [2][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]At the United Nations, TANU was not articulating anything new; these were the very recommendations of the memorandum which the TAA Political Subcommittee had prepared and submitted to the Constitutional Development Committee of Governor Edward Twining in 1950. Governor Twining ignored TAA recommendations and instead pursued a multiracial representation in the Legislative Council. To keep up with its stand, the government sent a multiracial delegation composed of I.C. Chopra an Asian, Sir Charles Phillips a European, and Liwali Yustino Mponda, an African member of the Legislative Council for Newala to oppose TANU at the United Nations.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nyerere came back from New York on Saturday, 19 th March, 1955 and was met at the airport by a huge crowd. Dossa Aziz remembers that at the airport he was allowed to drive his car on to the tarmac to make it easy for Nyerere to get into the vehicle without much hustle. Dossa Aziz says that if it was not for this courtesy by the airport authorities Nyerere would have been mobbed by the crowd. People were everywhere shoving and pushing trying to get a glimpse of Nyerere. In unison they were singing and dancing to mganda, a Zaramo ngoma, singing: 'Baba kabwela yuno' meaning, ‘Father of the poor has come back from UNO'. No one had ever heard that song before and no one knew when it was composed. Dossa Aziz's car carrying Nyerere was pushed from the airport to Nyerere's house in Magomeni Majumba Sita.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The following day, which was a Sunday, TANU held a public rally at Mnazi Mmoja which was attended by the biggest crowd that was ever seen assembled in one place. It was estimated that more than 40,000 people out of a population of no more than 250,000 came from every corner of Dar es Salaam to listen to Nyerere. And no one enjoyed reporting about the meeting and Nyerere's historic trip to the United Nations than Mashado Plantan in his paper Zuhra. Mashado's press at Ndanda Street, Mission Quarters churned out extra copies of the paper and the whole edition was sold out."[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

0

Kutoka Kushoto:Idd Faiz Mafongo, Sheikh Mohamed Ramiya, Julius Nyerere,
Saadan Abdu Kandoro na Haruna Taratibu Dodoma Railway Station 1956

[2] J.K. Nyerere, Freedom and Unity, Dar es Salaam, 1966, p.36.

Wanamajlis,
Hebu tizameni majina ya wazalendo waliokuwa wanaitafuta tiketi ya Nyerere na
fananisheni na habari tunayoelezwa hapa kuwa tiketi ilitoka New York.

Sitomalizia hapa nitayaleta majina hayo hapo juu myaone historia yake kuangalia
walitoka wapi na TANU na Nyerere:

August 1954
"The TANU inaugural meeting was attended by a small crowd of about twenty people, among them Julius Nyerere, Abdulwahid and Ally Sykes, Dossa Aziz, John Rupia, Mshume Kiyate, Makisi Mbwana, Jumbe Tambaza, Juma Waziri, Clement Mtamila, Rajab Diwani, Schneider Plantan, Marsha Bilali, Rashidi Ally Meli, Frederick Njiliwa, Idd Faiz Mafongo, Idd Tulio, Denis Phombeah and others. Abdulwahid, Ally, Dossa Aziz and Rupia were the main financiers of the movement in Dar es Salaam..."

Haya majina katika rangi nyekundu 1954 katika mkutano wa kwanza wa TANU ndiyo 1955 yanayonekana katika harakati za
kumpeleka Nyerere UNO mwaka huo.

Wanamajlis,
Hii ndiyo historia ya TANU niijuayo mie.

Ikiwa mnataka zaidi nielezeni nije na kisa cha kusisimua cha Rashid Ally Meli mmoja wa wanachama wa mwanzo wa TANU.
Nini Rashid Ally Meli alifanya kupata fedha za tiketi ya Nyerere kwenda UNO.
 
naona kinyesi tu humu. Mwl. anaweka references wewe unaongozwa na viroba. weka references tukuelewe.

Acha uongo mzee wewe, unazee vibaya maalim,

Narudia kukuambia wewe na wanaukumbi kuwa, AA iliundwa 1927, na iliundwa kwamsaada wa Gavan Sir David Cameroun kikitambuliwa kama chama wa kuratibu shughuli za sherehe za waafrika,

Kuundwa AA kulikuja baada ya kuwepo kwa amri inayozuia watu weusi kuingia kwenye ukumbi wa starehe wa wazungu pale Karimjee ya zamani pale ilipo NBC makao makuu posta Baharini, hivyo kama hatua ya kuwasaidia watu hawa weusi wasiwe wanakwenda kuchunguliachungulia wakati wazungu wakila na kunywa, Gavana Sir Cameroun akawaundia chama chao cha kuratibu shughuli za weusi za starehe, kwamaneno mengine tunasema AA kilikuwa chama cha walevi.

AA chini Myao mwalimu Cesil Matola akiwa ndie rais wa kwanza, na katibu wake akawa ni yule mateka wa kivita mhamiaji haramu Klest Sykis, na mwekahazina akawa Ally Ramadhan mvuvi mashuhuri mzaramo wa kweli.

Mwaka 1933, Mwalimu Matola alifariki, hivyo nafasi ya urais wa AA ikakaimiwa na Klest mpaka alipokuja kupinduliwa kwa ngumi na mwanae wa kumzaa aitwae Abdul Sykis mwaka 1948. Huyu nae hakushika urais wa AA kwakuwa kichwani alikuwa mbugila yani sifuri, hivyo nafasi hiyo ikashikwa na Daktari msomi Vedasto Kyaruzi, Abdul akabaki kuwa katibu,

Dr Kyaruzi akakaa kudogo kwenye nafsi hiyo kisha kwa hila za gavana, akamhamishia Sengerema hivyo nafasi ya rais wa AA ikakaimiwa na Abdul Sykis mpaa alipokuja msomi mwingine Julius Kambarage Nyerere mwaka 1953 uchaguzi wa Anautoglo Mnazimmoja ya leo.

Ukoo wa Sykis haukuwahi kuchaguliwa kuwa rais ama mwenyekiti wa chama chochote TANGANYIKA mpa hivi leo, zaidi ya kukaimu tu nafasi hizo.

Mzee Said ngano zako za kariakoo walishe watoto wasiofahamu haya,

Nguruvi3 Mag3 Ngongoseke Mkuu wa chuo
 
Mwl. Said nikukumbushe kidogo. pamoja na kuwa hii mada inachosha lakini siyo yake pia. yericko hana uwezo wa kufanya utafiti wowote. Kufanya utafiti kuna taratibu zake kuanzia ku-identify gap, ku-identify research questions, ku-formulate hypotheses, ku-creat objectives na hatimaye kuifanya hiyo research tena ikiwa na varified methodology. huyo technician (fundi mchundo) yericko hana sifa hizo. sote tunafahamu sifa/kazi za fundi mchundo. (kutumwa sites).
na kubwa zaidi ni kuwa kwenye hili bandiko analojinasibisha kulifanyia utafiti hapa amelikopy somewhere kama lilivyo na kujimilikisha kuwa ni lake. Namshukuru sana dada yangu Faiza kalifuma na kuliweka humu.
kwa hiyo sio kwamba linachosha tu bali pia sio lake. ingekuwa nchi za wenzetu angeshitakiwa kwa plagiarism. kwa sisi tuliobahatika kusoma huko ng'ambo hata proposal tu wanaiweka kwenye software kutrace kama umekopy kazi ya mtu. kwa lugha ingine huyu yericko ni wakupuuzwa tu.

Nimekusoma.
 
Nimekusoma.

Maalim Faiza na Abunuas,
Najua fika kuwa Yericko si makamu yangu na yeye ndani ya nafsi yake analijua
hilo.

Katika fikra yangu nawatazama wasikilizaji waliopo humu Majlis.
Hapo ndipo inaponijua hamu ya kudarsisha.

Ni hilo tu ndugu zangu.
Hamu ya kutoa elimu.
 
Mwl. Said nikukumbushe kidogo. pamoja na kuwa hii mada inachosha lakini siyo yake pia. yericko hana uwezo wa kufanya utafiti wowote. Kufanya utafiti kuna taratibu zake kuanzia ku-identify gap, ku-identify research questions, ku-formulate hypotheses, ku-creat objectives na hatimaye kuifanya hiyo research tena ikiwa na varified methodology. huyo technician (fundi mchundo) yericko hana sifa hizo. sote tunafahamu sifa/kazi za fundi mchundo. (kutumwa sites). na kubwa zaidi ni kuwa kwenye hili bandiko analojinasibisha kulifanyia utafiti hapa amelikopy somewhere kama lilivyo na kujimilikisha kuwa ni lake. Namshukuru sana dada yangu Faiza kalifuma na kuliweka humu. kwa hiyo sio kwamba linachosha tu bali pia sio lake. ingekuwa nchi za wenzetu angeshitakiwa kwa plagiarism. kwa sisi tuliobahatika kusoma huko ng'ambo hata proposal tu wanaiweka kwenye software kutrace kama umekopy kazi ya mtu. kwa lugha ingine huyu yericko ni wakupuuzwa tu.
Taratibu zipi hizo wewe kilaza unazodhani MS alizipitia ambazo zinazidi za Yericko?Hao wazee wake aliwahoji wakiwa ktk dhiki,waiwa ktk kipindi cha mashaka ktk maisha ,kipindi cha watu kuwa wameathiriwa zaidi na waliowafuata kuliko wao walivyoweza waadhiri au kuwafunza.MS km Ayatoullah wa ACT ni rahisi sana kuabuse mapenzi ya walezi,na watu waliokupa nafsi kujifunza kwa kuanza waingizia fikra ambazo zinaweza wafanya kuwa na mashaka na historia haswa wanapoogopa usomi hewa wa majigambo km wa Ayatoullah kwa kiasi cha kukubali fikra zeo kuwa edited.Aina ya MS hata uulizaji wao wa maswali ni elekezi...nani hamjui humu.Labda misukule yake iliyomezwa na mihemko ya kidini inayowaongoza kuunganisha kila kiu na dini na kinachofuatia ni kufunika lolote wasilopenda.Yericko ana records za zilizoandikwa na si kuhadithiwa na waliokuwa akipanga agenda.
 
Mwl. Said nikukumbushe kidogo. pamoja na kuwa hii mada inachosha lakini siyo yake pia. yericko hana uwezo wa kufanya utafiti wowote. Kufanya utafiti kuna taratibu zake kuanzia ku-identify gap, ku-identify research questions, ku-formulate hypotheses, ku-creat objectives na hatimaye kuifanya hiyo research tena ikiwa na varified methodology. huyo technician (fundi mchundo) yericko hana sifa hizo. sote tunafahamu sifa/kazi za fundi mchundo. (kutumwa sites). na kubwa zaidi ni kuwa kwenye hili bandiko analojinasibisha kulifanyia utafiti hapa amelikopy somewhere kama lilivyo na kujimilikisha kuwa ni lake. Namshukuru sana dada yangu Faiza kalifuma na kuliweka humu. kwa hiyo sio kwamba linachosha tu bali pia sio lake. ingekuwa nchi za wenzetu angeshitakiwa kwa plagiarism. kwa sisi tuliobahatika kusoma huko ng'ambo hata proposal tu wanaiweka kwenye software kutrace kama umekopy kazi ya mtu. kwa lugha ingine huyu yericko ni wakupuuzwa tu.
Haha....haha nilijua sana utaumia kwa usichokijua....research question nyingine hazipo at first place na huwa zina kuja baadae,ngoma inabidi ianze na basic observations.Simple assuptions.Unless unataka PHD..ila km unataka ugunduzi wa unknown...hizi Research confirmatory zinaweza hata lazimishwa kufikia conclusion inayotokana na hypotheses zako.
 
Nicholas,
Abunuas hajaumia isipokuwa anastaajabishwa na hiki alichokujanacho Yericko.
Yericko anasema tiketi ya safari ya Nyerere imetoka New York...

Abunuas anajua kuwa hiyo si kweli hata kidogo.

Tiketi ya safari ya New York ilichangwa na wanachaa wa TANU na moja ya taasisi
iliyochanga ni Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Union of Tanganyika)
na mweka hazina wake alikuwa Idd Faiz Mafongo.

Huyu Idd Faiz Mafongo pia alikuwa ndiyo mwekahazina wa TANU HQ pale New
Street.

Fedha nyingine zilichangwa Tanga na Mwalimu Kihere na ni Idd Faiz Mafongo
ndiye aliyezifata Tanga kuzileta TANU HQ Dar es Salaam.

Mzee Rupia alitoa fedha nyingi pia.

Haya yote nimeeleza kwenye bandiko langu #174 na kwenye kitabu cha Abdul Sykes.

Rejea hapo utayaona hayo yote na hao wote niliowataja humo wana historia ndefu
katika TAA, TANU na katika kuupigania uhuru wa Tanganyika.

Katika bandiko langu hilo hapo juu nimeweka picha ya Nyerere akiwa na Idd Faiz
Mafongo, Sheikh Mohamed Ramia, Saadan Abdu Kandoro na Haruna Taratibu.

Abunuas hajaumizwa na chochote.
Wanaoungua nyoyo wanajulikana.

Lugha zao huwa kali na wakati mwingine hutukana khasa.

Historia ya TANU ni maarufu kwetu sisi watoto na hivi sasa ndiyo tunawarithisha wanetu
historia hii ili watambue mchango wa babu zao katika kuikomboa Tanganyika.

Yericko angekuja na historia inayoingia akilini sisi tungemsikiliza.
Tatizo anataka kubandika historia hiyo yake juu ya vichwa na migongo ya wazee wetu.

Hapa ndipo lilipo tatizo.
 
Back
Top Bottom