Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Ooooho kwanza nikutake radhi kwa kukukwaza mzee wangu,

Wanajamvi,

Naomba mtambue na kufahamu kuwa, baada ya uchaguzi wa octobar 25 jumapili ya mwaka 1954 pale Anautoglo ukumbi wa mnazi mmoja leo pale, kilichofuata ni kubadili jina la chama cha TAA na filosofia yake ya chama cha walevi na kuwa TANU na filosofia ya ukombozi.

Kisha tarehe 05/03/1955 safari ya KWANZA ya Mwalimu Nyerere ilifanywa ambapo pamoja na mambo yote shamrashamra za makomredi wa TANU, tiketi ya kwenda na kurudi iligharimiwa na kanisa KATOLIKI kupitia shirika la Maryknol Sister Marekani.

Safari ya Pili hiyo iligharimiwa na wanatanu mchango mkubwa ukitoka kwa JOHN RUPIA.


Wazee wengi waliohudumu katika nyakati zile wanafahamu, Padre Art Will anafahamu vema,

Pia someni CIA cables ipo wazi sio yalificho,

Msidanganywe na mzee huyu anayeamini Tanganyika ni Kariakoo na misikiti yake tu,

Yericko,
Hujanikwaza bali unanivunjia adabu.
Tena baada ya kujua mimi ni mzee na unaniita hivyo, mtu mzima badala ya kuweka staha unanitusi.

Unataka radhi kisha unarudia kutukana upya.
Hutaki kukisikia kisa cha Rashid Ally Meli?

Kinakutisha?
 
Yericko,
Ikiwa utakuja na staili hii ya kila ukiandika unaandika kejeli na kebehi
mnakasha utakufa.

Post#174 nimekuwekea vipi TANU ilihangaika kupata tiketi ya kumpeleka
Nyerere UNO.

Nimeeleza mengi.

Kisha nikasema kuna mkasa wa Rashid Ally Meli katika jitihada hizo za
kutafuta tiketi ikiwa mtapenda nitakileta kisa hicho hapa Majlis.

Nilitegemea baada ya kusoma angalau utajibu hayo yaliyomo humo na
pengine utataka kumjua Rashid Ally Meli alikuwa nani katika TANU.

Badala yake unakuja na lugha za kifedhuli.

Hata hivyo nitakueleza nini ulikuwa msimamo wa Abdul Sykes kuhusu
historia ya TANU baada ya uhuru kupatikana mwaka 1961:

[TABLE="width: 601"]
[TR]
[TD]"Abdulwahid was asked by Julius Nyerere, then Prime Minister of the country, to record the history of the struggle of the Africans of Tanganyika against the British.

This, in essence, was to be the history of TANU.

To assist him in the research was the late Dr. Wilbert Kleruu, recently returned from studies in the United States.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Abdulwahid occupied his former office at the TANU headquarters; the one which he had occupied in the 1950s when he was TAA President.

Abdulwahid’s personal files, dairies and his late father’s papers dating back to the days of the formation of African Association in 1929 were made available to researchers for the first time as primary sources of information.

Abdulwahid’s version, analysis, presentation of facts and interpretation of forces at play which led to the rise of nationalism were, however, not acceptable to the TANU leadership.

We shall see in the following pages reasons why Abdulwahid’s version of history could not be allowed to flourish.

Abdulwahid abandoned the assignment after being convinced that the new leadership in TANU was not really interested in documenting an authenticated history of Tanganyika but was interested in merely creating a personality cult for President Nyerere.

Dr. Kleruu went ahead with the research and completed the work.

This manuscript remains unpublished, at least in its original form.

The manuscript disappeared from Party archives and was published for the first time in 1971 under a different name after changes had been done by the ‘author’ on the original manuscript to prevent detection by the Party.

After the book was published, the Party silently tried to stop the second edition of the book from being published but failed.

The work has now been published several times. The approach, style and analysis of the subject is not very much different from the book on TANU published in 1981 by the Party ideological college."
(Kutoka "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika," Minerva Press London 1998).

Yericko,
Nadhani utakuwa umejifunza jambo katika kisa hicho hapo juu na utakuwa umepata jibu
TANU ni ya nani ikiwa TANU ilikuwa na mwanyewe.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Wanamajlis,
Kwa yule atakae kusoma zaidi kuhusu utata katika historia ya TANU basi ingie hapa:
KUTOKA JF: AFRICA EVENTS NA MISUKOSUKO YAKE - Mohamed Said
Mohamed,
Ningependa kuona hiyo published history of TANU iliyochapishwa 1971 bila jina la mwandishi.
 
Mohamed,
Ningependa kuona hiyo published history of TANU iliyochapishwa 1971 bila jina la mwandishi.

Jasusi,
Nilifanya staha ya kuacha kuweka jina la mwandishi kwa kuwa alichokifanya
kilikuwa ni wizi.

Nilipata tabu sana na "publisher," kukubali nitumie neno kuwa mswada "uliibiwa."
Yeye alisema niandike mswada "ulitoweka."

Yeye akanionya kusema kuwa itaweza kutuletea matatizo pale tutakapoombwa
ushahidi.

Aliyefanya kazi ile ya kuchukua mswada ule akaugeuza kuwa wake ni Ulotu A
Ulotu
.

Kitabu jina lake ni Historia ya TANU, Kilimanjaro Publications, 1971.
 
Yericko,
Hujanikwaza bali unanivunjia adabu.
Tena baada ya kujua mimi ni mzee na unaniita hivyo, mtu mzima badala ya kuweka staha unanitusi.

Unataka radhi kisha unarudia kutukana upya.
Hutaki kukisikia kisa cha Rashid Ally Meli?

Kinakutisha?

Japo ni lugha kali lakini ina mafunzo mabwa,

Heri kijana mwenye hekima kuliko mzee mpumbavu,

Ikiwa safari ya Julius Nyerere ya 05/03/1955 ilichangwa na Wazee wako wa kariakoo chini ya Abdul Sykis,

Je Safari ya Pili ya 1957 nani aligharamia?
 
Wanajamvi,

Naomba mtambue na kufahamu kuwa, baada ya uchaguzi wa octobar 25 jumatatu ya mwaka 1954 pale Anautoglo ukumbi wa mnazi mmoja leo pale, kilichofuata ni kubadili jina la chama cha TAA na filosofia yake ya chama cha walevi na kuwa TANU na filosofia ya ukombozi.

Kisha tarehe 05/03/1955 safari ya KWANZA ya Mwalimu Nyerere ilifanywa ambapo pamoja na mambo yote shamrashamra za makomredi wa TANU, tiketi ya kwenda na kurudi iligharimiwa na kanisa KATOLIKI kupitia shirika la Maryknol Sister Marekani.

Safari ya Pili hiyo iligharimiwa na wanatanu mchango mkubwa ukitoka kwa JOHN RUPIA, Katika kuonyesha TANU imejiandaa, ilifanyika dhifa ya Kumuaga Nyerere Kwenda UNO safari hii ya pili ya 22/04/ 1957, alisindikizwa na kina John Rupia mpaka uwanja wa ndege.


Wazee wengi waliohudumu katika nyakati zile wanafahamu, Padre Art Will anafahamu vema,

Pia someni CIA cables ipo wazi sio yalificho,

Msidanganywe na mzee huyu anayeamini Tanganyika ni Kariakoo na misikiti yake tu,
 
Aha..umejifunza wapi...?mpuuzi mkubwa wewe.Hizo ndizo kampeni alizoeneza Ghaddafi bila ibu waandishi wetu nao wakaleta umbea huo kwa hila za kiarabu zilizonunua Kitengo cha polotical science akina Shivji,na Haroub othma na wengine km MS..wakawabadili makatili wauza watumwa akina kinjekiltile,Mushrii,Miambo,Mkwawa na wengine kuwa mashujaa...kumbe ni mujahideen...ndio maana akina Kitila Mkumbo na wengine pale UDSM wamellaniwa sana.Sasa wapo na ACT wanalilia Democrasia kumbe wanalilia udictator....Kinjekitile na wayao wamalawi wanwajua,Mkwawa na vita za kipuuzi km za alashabaab zilikuwa na malengo ya kuvunja himaya z machief wengine na kuwachukua km watumwa kwa sababu za kipuuzi km alshabaam..waliwashika kwa vile waliwaita makafiri...walipopita wamissionary kuwaleimisha watu,kuweka shule etc Mkwawa na waarabu wakaamua waweka kundi moja wakoloni Mapepari na Wamissionary..na mara zote alikuwa akiwapiga vita za kidini kuliko za kisecular...Leo hii wahehe wanavalishwa mavazi ya kitumwa na bado wanadanganywa kuwa ndio jadi yao na Misomi yote inacheka...bado hizi tabia kwa kuliisha unafiki watu wanaendekeza.Zinaandikwa na uzao wauza watumwa wa Dar na miji mingine ya Pwani..hadi leo akili za pwani ni kwamba Bara ni watumwa wao..na wao ni mamwinyi ,madalali wa baishara za watumwa..waliofulia na kuinshi ktk laana za damu za watu..wamanyema na wayao ndio wapo busy ktk ubadili hiztoria,ndio waow anakimbizana kutengeneza makundi ya wazee ya kichawi na kishirikina na kibaguzi ili walinde uharamu

Nadhani una matatizo makubwa ya funza wa kichwa, amekula sehemu ya ubongo wako . Tafuta mshaurri nasaha kabla hali haijakuwa mbaya , seriously una ugonjwa wa funza akili
 
sikati kuandika zaidi hapa maana wewe na yericko mnafanana katika uelewa. mkumbushe tu huyo jamaa kuwa alichofanya ni plagiarism. angekuwa nchi za wenzetu sasa hivi angekuwa lupango.

Taratibu zipi hizo wewe kilaza unazodhani MS alizipitia ambazo zinazidi za Yericko?Hao wazee wake aliwahoji wakiwa ktk dhiki,waiwa ktk kipindi cha mashaka ktk maisha ,kipindi cha watu kuwa wameathiriwa zaidi na waliowafuata kuliko wao walivyoweza waadhiri au kuwafunza.MS km Ayatoullah wa ACT ni rahisi sana kuabuse mapenzi ya walezi,na watu waliokupa nafsi kujifunza kwa kuanza waingizia fikra ambazo zinaweza wafanya kuwa na mashaka na historia haswa wanapoogopa usomi hewa wa majigambo km wa Ayatoullah kwa kiasi cha kukubali fikra zeo kuwa edited.Aina ya MS hata uulizaji wao wa maswali ni elekezi...nani hamjui humu.Labda misukule yake iliyomezwa na mihemko ya kidini inayowaongoza kuunganisha kila kiu na dini na kinachofuatia ni kufunika lolote wasilopenda.Yericko ana records za zilizoandikwa na si kuhadithiwa na waliokuwa akipanga agenda.
 
Haha....haha nilijua sana utaumia kwa usichokijua....research question nyingine hazipo at first place na huwa zina kuja baadae,ngoma inabidi ianze na basic observations.Simple assuptions.Unless unataka PHD..ila km unataka ugunduzi wa unknown...hizi Research confirmatory zinaweza hata lazimishwa kufikia conclusion inayotokana na hypotheses zako.
nyie ndo walewale mnaokopi kazi za wengine na kujimilikisha. mshukuru Mungu mpo Tz. mngekuwa nchi za watu leo hii mngesahaulika. halafu eti mnajiita wasomi. maajabu haya.
 
Japo ni lugha kali lakini ina mafunzo mabwa,

Heri kijana mwenye hekima kuliko mzee mpumbavu,

Ikiwa safari ya Julius Nyerere ya 05/03/1955 ilichangwa na Wazee wako wa kariakoo chini ya Abdul Sykis,

Je Safari ya Pili ya 1957 nani aligharamia?

Yericko,
Maryknoll waliingia kusaidia katika safari ya pili na si kama TANU waliwaachia
mzigo wote wao.

nyerere_departing_for_UNO.jpg


SAFARI YA KWANZA YA NYERERE UNO 1955
Kushoto: Rashid Sisso, Robert Makange, Zuberi Mtemvu, Idd Faiz Mafongo, Julius Nyerere, John Rupia na Bi. Titi Mohamed

DSC03585+%25281%2529.JPG


Kushoto: Dossa Dossa Aziz, Julius Nyerere, Abdul Sykes na Lawi Sijaona,
Ukumbi wa Arnatouglo Tafija ya Kumuuga Nyerere
Safari ya Pili UNO
 
Yericko,
Maryknoll waliingia kusaidia katika safari ya pili na si kama TANU waliwaachia
mzigo wote wao.

nyerere_departing_for_UNO.jpg


SAFARI YA KWANZA YA NYERERE UNO 1955
Kushoto: Rashid Sisso, Robert Makange, Zuberi Mtemvu, Idd Faiz Mafongo, Julius Nyerere, John Rupia na Bi. Titi Mohamed

DSC03585+%25281%2529.JPG


Kushoto: Dossa Dossa Aziz, Julius Nyerere, Abdul Sykes na Lawi Sijaona,
Ukumbi wa Arnatouglo Tafija ya Kumuuga Nyerere
Safari ya Pili UNO

Mzee Mohamed Said,

Unaingia huku umefumba uso,

Ulianza kwakupinga mchanga wa kanisa, lakini sasa unakubali kwakuhamisha magoli,

Nikusaidie, picha hizo zote ni tukio la aina moja tu yaani la safari ya 22/04/1957.

Picha ya kwanza juu ni Uwanja wa ndege wakimsindikiza Julius kwenda UNO.

Picha ya Pili chini ni ukumbini Anautoglo wakimfanyia tafrija ya kumuaga Julius Nyerere kuelekea UNO 1957.

Pinda mgongo mzee usake ukweli
 
Last edited by a moderator:
Mzee Mohamed Said,

Unaingia huku umefumba uso,

Ulianza kwakupinga mchanga wa kanisa, lakini sasa unakubali kwakuhamisha magoli,

Nikusaidie, picha hizo zote ni tukio la aina moja tu yaani la safari ya 22/04/1957.

Picha ya kwanza juu ni Uwanja wa ndege wakimsindikiza Julius kwenda UNO.

Picha ya Pili chini ni ukumbini Anautoglo wakimfanyia tafrija ya kumuaga Julius Nyerere kuelekea UNO 1957.

Pinda mgongo mzee usake ukweli
'
Yericko,
Hizo ni picha mbili tofauti kama nilivyoeleza.
Sihitaji kujipinda kuhusu historia ya TANU.

Historia hii na haya unayoandika hii leo wewe mengi umeyasikia kwa
mara ya kwanza kutoka kwangu.

Hebu jiulize kwa nini TANU ilipoandika historia yake haya yote waliyaacha?

Jiulize tena hali ingekuwaje endapo mimi nisingeliandika historia hii ambayo
takriban sasa miaka mitatu imekuwa mashuhuri hapa JF?

Lakini kama nisemavyo simlazimishi mtu kuniamini.
Akipenda anaweza kuamini historia hii yako na ile ya Kivukoni.

Ikiwa unataka kusema kuwa hawakuwapo akina Idd Faiz Mafongo wala
Mwalimu Kihere wala Rashid Ally Meli katika kutafuta fedha za safari ya
Nyerere UNO yote sawa kwani ilipoandikwa historia ya TANU haya yote
hayakuwapo.

Niko radhi kabisa kuitwa muongo na mzushi.
Naamini wasomaji wana akili na uwezo wa kupima.

Wanajua nani anasema kweli na nani mbabasihaji.
 
sikati kuandika zaidi hapa maana wewe na yericko mnafanana katika uelewa. mkumbushe tu huyo jamaa kuwa alichofanya ni plagiarism. angekuwa nchi za wenzetu sasa hivi angekuwa lupango.
haina shobo..wewe usieyfanana unaandika vitu vya kuwaita wengine hawajui,sijui nini na nini wala hona hoja ya kusapoti uharo wako.
 
Yericko, Maryknoll waliingia kusaidia katika safari ya pili na si kama TANU waliwaachia mzigo wote wao.
nyerere_departing_for_UNO.jpg
SAFARI YA KWANZA YA NYERERE UNO 1955 Kushoto: Rashid Sisso, Robert Makange, Zuberi Mtemvu, Idd Faiz Mafongo, Julius Nyerere, John Rupia na Bi. Titi Mohamed
DSC03585+%25281%2529.JPG
Kushoto: Dossa Dossa Aziz, Julius Nyerere, Abdul Sykes na Lawi Sijaona, Ukumbi wa Arnatouglo Tafija ya Kumuuga NyerereSafari ya Pili UNO
Shida yako na akili yako ni kupenda jidanganya na kudanganya ktk KILE MNACHOKIITA TAKHYA Uongo Mtakatifu...ndio maana unapata sana shida hapa.HIzo picha ndio zimeleta watu wote waliokuwepo hata wale waliofika kwa meriti ya uanachama,meriti ya uongozi, na wengine hata kuwa wana usalama,na wengine ni wafanyakazi wa hayo maeneo..ungetumia akili ungekuwa umesthukia hizo picha haziwakilishi wachagiani ila wasindikizaji...tutataofautiana km mbinugu na nchi.
 
hiana shobo..wewe usieyfanana unaandika vitu vya kuwaita wengine hawajui,sijui nini na nini wala hona hoja ya kusapoti uharo wako.

Wanamajlis,
Mnakasha unavurugika kwa matusi.
Najitahidi kuweka "links" lakini sioni dalili kama watu wanasoma.

Huenda labda simu ni tabu kuingia katika hizi "links" nimeona nizishushe hapa
labda Wanamajlis wakisoma akili zitarudi katika manakasha:

Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

By FaizaFoxy
You had better be sorry, you are the one who came in here so shallow, of all the history poured here by Al Alama Mohamed Said, you have come up with the magazine African Events? and what was it about? attack the magazine because it has Muslims contributors?. The likes of you are simply cheap and bogus. Know you know not.

Ni bora ukacheze na vijukuu vyako, maana huna cha maana unachokileta hapa. Hata unachokipinga wewe mwenyewe hukijui ni nini? sasa wewe unalipinga jarida la African Events? hilo ndio liliandika Historia hii ya Tanganyika? wewe usilete vichekesho. Unaambiwa jarida zima lilinuliwa likachomwa moto kwa kuandikwa tu kipande cha historia ya Abdul Wahid Sykes, pinga na hilo.

Unachokipinga ni nini? kuwa Abdul Wahid Sykes hakuwapo?


FF,
Baada ya kushuhudia lile gazeti lote limekusanywa na kuchomwa moto hapo
ndipo nikajiuliza.

Kinachoogopwa hapa ni nini?

Nikarudi nyuma nikajiuliza tena kwa nini historia iliyoandikwa na Kivukoni nayo
pia haikumtaja Abdulwahid Sykes wakati yeye ni muhimu katika kumleta
Nyerere TAA na katika kuasisi TANU?

Nikajiuliza swali lingine.
Hivi Nyerere anaridhika na hali hii ya kupotoshwa kwa historia?

Nikawa najiuliza hii historia si ndiyo historia yake mwenyewe katika siasa ya
kudai uhuru wa Tanganyika iweje leo hii inavurugwa na yeye kakaa kimya?

Pana nini hapa kinachoogopwa?

Turudi Afrika Events.

Baada ya ile makala ya ''In Praise of Ancestors,'' majibu yalikuja kutoka
CCM Dodoma.

Majibu yaliyokuja ni kejeli, vitisho na dharau.

Wanajamvi,
Hebu someni kile nilichoandika katika kitabu changu na nini wale
wasiotaka historia ile walisema:​

[TABLE="width: 615"]
[TR]
[TD]
''In 1985, President Nyerere, while conferring an honorary degree
on Basil Davidson, challenged the University of Dar es Salaam to
write a correct history of Tanzania. In 1988, while commemorating
thirty years of the Tabora Declaration, Nyerere in reference to
early TANU members and as a tribute to them Nyerere asked the
Party to take stock of those who joined TANU between 1954 and
1958.

Nyerere said: "That was the most trying period in the history of our
Party and few people were courageous enough to join and work for
the Party." [1]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
In supporting Nyerere for his recent call and taking up the challenge
to record a correct history which he had for the first advanced in
1974 and again in 1985 the present author published an article in
African Events [2] in which Abdulwahid and other forgotten TANU
pioneers received prominence.

In that article the author did what no other scholar had done before.
He mentioned the fact that Muslims were in the forefront during the
struggle for independence. It was at that time taboo to associate
Islam or Muslims with the independence movement. The author
received sharp rebuke from a Party historian, Dr Mayanja Kiwanuka,
a leading member of the panel whichwrote the Party book Historia ya
Chama Cha TANU 1954-1977
, the official history of the Party. The
Party historian had this to say:

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
''(the)... article...argues that although Muslims in Tanzania played
a crucial role in the struggle for independence, there is a deliberate
effort to downplay their contribution. Consequently, the entire article
contains half-baked fairy tales to sustain his argument, more so by
mentioning names of several TANU stalwarts who happened to be
Muslims...The greatness of TANU, indeed that of its founder-leader,
Mwalimu Nyerere, is that, in so short a time since its inception,
it managed to weave together into a formidable, relatively homogeneous
nationalist movement, a people so ethnically, culturally and religiously
diverse... Said's major goal is to sow seeds of discord, and at any
price, truth to him is a matter to be ignored.'' [3]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
This was the reaction from Kiwanuka, who supervised the research
on the official history of the party, reducing a research article to
whathe called a ‘fairy tale'. The author was also accused of lying.
Kiwanuka, not deviating from the Party stand, emphasised ‘the
greatness of the party and its founder-leader'. Kiwanuka was at
that time the Assistant Secretary in the Department of Political
Propaganda and Mass Mobilisation of the Chama Cha Mapinduzi.
Kiwanuka had as an undergraduate student at University of
Dar es Salaam, written on post-independence Muslim-Christian
relations. [4]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



[1] Daily News, 6 th October, 1988.

[2] See M. Said, ‘In Praise of Ancestors' Africa Events, London,
March/April 1988, pp. 37-41.

[3] See Africa Events, May, 1988, letter by Dr K. Mayanja Kiwanuka.

[4] K. Mayanja Kiwanuka, The Politics of Islam in Bukoba District
(1973),
B.A. Thesis, University of Dar es Salaam.

Wanajamvi,
Mtu aliyemfanya Nyerere atoe mwito pale Tabora kuwa wale
walioingia TANU mwaka 1954 waheshimiwe alikuwa Ramadhani
Singo
.

Huyu Singo wakati wa harakati za kudai uhuru pale Tabora yeye
alihusika sana na usalama katika TANU na Nyerere alipokwenda
Tabora katika ule mkutano wa Kura Tatu mwaka 1958, Singo ndiye
alikuwa mlinzi wake akilalanje ya nyumba alipofikia Nyerere kumlinda
hadi asubuhi.

Katika utafiti wa kitabu nilimhoji Mzee Singo (sasa ni marehemu)
na alinambia:

''Ilikuwa katika mkutano wa hadhara ndipo nilipomkabili Nyerere na
kumuuliza kwanza kama ananikumbuka kisha nikamwambia atutazame
sisi sote tuliopigania uhuru na aone hali zetu. Wazee wote tulikuwa
toka pale karibu ya jukwa na Nyerere alitutazama. Hali zetu zilikuwa
taaban.''

Turudi tena Africa Events.
Siku zile kulikuwa na masharti magumu sana ya fedha za kigeni.

Benki Kuu ikakataa kupeleka fedha Uingereza ilizokuwa zinapatikana
Tanzania kutokana na mauzo ya gazeti lile.

Africa Events likiuzwa takriban Afrika nzima lakini wasomaji wake
wengi sana walikuwa hapa Tanzania.

Hii iliathiri sana utendaji wa gazeti lile.

Ghafla katika kipindi nikaona makala zangu hazichapwi tena na gazeti
na ni katika kipindi hiki Mohamed Mlamali Adam akatoka katika
Africa Events kama Mhariri na nafasi yake akachukua Msudani,
Abdulwahb Afande na kisha akaja Ahmed Yahya Saleh.

Zikanifikia taarifa kuwa Mlamali kaondolewa katika gazeti na makala
zangu pia hazichapishwi kutokana na makubaliano katika ya uongozi
wa Africa Events na ''wakubwa,'' na watakachopata Africa Events ni
fedha zao zilizokuwa zimezuiwa na Benki Kuu.

Juu ya haya ukweli ni kuwa makala zangu zilikuwa zinauza sana gazeti.
Africa Events baada ya miaka 3 wakaja na mbinu mpya ya kuchapa
makala zangu.

Ghafla ''byline'' ikabadilika kutoka jina langu na kuwa ''Special Correspondent.''
Malipo yakawa hayaji tena kwa hundi bali mtu ananipigia simu tunakutana
mahali ananikabidhi fedha zangu.

Mambo ya ki-James Bond 007.

Yapo mengi.
Lakini kwa leo haya yanatosha.
Last edited by Mohamed Said; Today at 07:20.

Wanamajlis,
Nimepambana na mengi katika uandishi wa historia ya TANU.

Namwekea Yericko haya yote lakini huku hagusi, panamtisha kama
palivyowatisha wengi kabla yake.​
 
Shida yako na akili yako ni kupenda jidanganya na kudanganya ktk KILE MNACHOKIITA TAKHYA Uongo Mtakatifu...ndio maana unapata sana shida hapa.HIzo picha ndio zimeleta watu wote waliokuwepo hata wale waliofika kwa meriti ya uanachama,meriti ya uongozi, na wengine hata kuwa wana usalama,na wengine ni wafanyakazi wa hayo maeneo..ungetumia akili ungekuwa umesthukia hizo picha haziwakilishi wachagiani ila wasindikizaji...tutataofautiana km mbinugu na nchi.

Nicholas,
Kwa hisani yako hebu niandikie tena kwa lugha nyepesi.
 
nyie ndo walewale mnaokopi kazi za wengine na kujimilikisha. mshukuru Mungu mpo Tz. mngekuwa nchi za watu leo hii mngesahaulika. halafu eti mnajiita wasomi. maajabu haya.
Ahaaa....nyie msio copy mnabuni vyenu?Historia huwa haibuniwi...Ni maelezo ya kitu kilichotokea.Naona umejisahau unathibitisha.Akili za njiwa haziwezi jisitiri zinapohamishwa ktk fikra mbalimbalia haraka sana.Ndio maana mnapwaya hamjui mmepwaya wapi.Endeleeni buni hadhithi zenu
 
Nyepesi ndio ipi..lugha inaweza kuwa nyepesi ila kinachosemwa ndio kigumu kwako.

Brother Mohamed Said usibishane na huyu Nicholas si stahiki kabisa yako wala yetu sote, haeleweki , hana lugha nzuri , ni mvurugaji tu ,
unajua mara zote kwenye mijadala kama hii ya kujifunza hakuna sababu za kutukana , inachotakiwa ni kukubali au kupinga. wengi tumechangia mada hii kwa kuiipinga na wengine wapo wana support lakini huyu kijana ana matatizo makubwa sana , na sio kwenye mada hii tu bali nyingi huwa haeleweki , sio mstaarabu kabisa. ningeshauri asijibiwe anachoandika kwani ukimjibu anakuja na matusi zaid na kuandika kisicho eleweka. bora kujibu wale wanaojadili kwa adabu na ustaarabu kwa lengo la kujifunza na kujadiliana .
sio kila mwenye access na internet ya vijana wengi kuwa ana sifa ya millennials japo amezaliwa katika generation hio. Wengi wameathirika na matatizo au side effects yatokanayo nyakati hizi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom