Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Brother Mohamed Said usibishane na huyu Nicholas si stahiki kabisa yako wala yetu sote, haeleweki , hana lugha nzuri , ni mvurugaji tu , unajua mara zote kwenye mijadala kama hii ya kujifunza hakuna sababu za kutukana , inachotakiwa ni kukubali au kupinga. wengi tumechangia mada hii kwa kuiipinga na wengine wapo wana support lakini huyu kijana ana matatizo makubwa sana , na sio kwenye mada hii tu bali nyingi huwa haeleweki , sio mstaarabu kabisa. ningeshauri asijibiwe anachoandika kwani ukimjibu anakuja na matusi zaid na kuandika kisicho eleweka. bora kujibu wale wanaojadili kwa adabu na ustaarabu kwa lengo la kujifunza na kujadiliana . sio kila mwenye access na internet ya vijana wengi kuwa ana sifa ya millennials japo amezaliwa katika generation hio. Wengi wameathirika na matatizo au side effects yatokanayo nyakati hizi
Ndio manvyomwokoa?....inawasaidia nini sasa?Democrasia si asili yenu..ila ndio inayowalinda bila hivyo mngekuwa mmefutwa ktk dunia.Wachezea kanuni km nyie.
 
Last edited by a moderator:
Brother Mohamed Said usibishane na huyu Nicholas si stahiki kabisa yako wala yetu sote, haeleweki , hana lugha nzuri , ni mvurugaji tu ,
unajua mara zote kwenye mijadala kama hii ya kujifunza hakuna sababu za kutukana , inachotakiwa ni kukubali au kupinga. wengi tumechangia mada hii kwa kuiipinga na wengine wapo wana support lakini huyu kijana ana matatizo makubwa sana , na sio kwenye mada hii tu bali nyingi huwa haeleweki , sio mstaarabu kabisa. ningeshauri asijibiwe anachoandika kwani ukimjibu anakuja na matusi zaid na kuandika kisicho eleweka. bora kujibu wale wanaojadili kwa adabu na ustaarabu kwa lengo la kujifunza na kujadiliana .
sio kila mwenye access na internet ya vijana wengi kuwa ana sifa ya millennials japo amezaliwa katika generation hio. Wengi wameathirika na matatizo au side effects yatokanayo nyakati hizi

Crabat,
Ahsante kwa ushauri wako.

Haya usemayo niliyaona toka mwanzo lakini nilidhani ningeweza kumweka
sawa tukafanya mnakasha.

Namwepuka kwa salama.
 
Jasusi,
Nilifanya staha ya kuacha kuweka jina la mwandishi kwa kuwa alichokifanya
kilikuwa ni wizi.

Nilipata tabu sana na "publisher," kukubali nitumie neno kuwa mswada "uliibiwa."
Yeye alisema niandike mswada "ulitoweka."

Yeye akanionya kusema kuwa itaweza kutuletea matatizo pale tutakapoombwa
ushahidi.

Aliyefanya kazi ile ya kuchukua mswada ule akaugeuza kuwa wake ni Ulotu A
Ulotu
.

Kitabu jina lake ni Historia ya TANU, Kilimanjaro Publications, 1971.

Jasusi,
Mbona umekuwa kimya?
Au unatafakari?

Sikutaka kukuchosha na taarifa ndefu.
Yapo mengi katika mkasa wa Ulotu.

Kuna kitabu alitusomesha Maalim Haruna katika madras yetu utotoni kuhusu
"adab."

Alikuwa anasema usiseme jambo kama hujaulizwa.
Hiki ni kitabu cha kujifunza heshima ya usomi.

Hata kama jambo unalijua basi liseme pale tu utakapoulizwa.
Nakusubiri unidodose.
 
Mzee Mohamed Said,

Unaingia huku umefumba uso,

Ulianza kwakupinga mchanga wa kanisa, lakini sasa unakubali kwakuhamisha magoli,

Nikusaidie, picha hizo zote ni tukio la aina moja tu yaani la safari ya 22/04/1957.

Picha ya kwanza juu ni Uwanja wa ndege wakimsindikiza Julius kwenda UNO.

Picha ya Pili chini ni ukumbini Anautoglo wakimfanyia tafrija ya kumuaga Julius Nyerere kuelekea UNO 1957.

Pinda mgongo mzee usake ukweli

Wanamajlis,
Nakuombeni muwe waamuzi kati yangu na Yericko kuhusu picha hizi mbili hapa chini:

DSCN1621.JPG

Hii picha nimeitoa kwenye kitabu, "Nyerere of Tanzania."
Naomba msome "caption" ya picha hii inasemaje.

Inaonyesha picha alopiga Nyerere na akina Bi. Titi Mohamed na Bi Tatu biti Mzee
Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam 1955 wakimsindikiza Nyerere safari ya UNO.

Sasa tazameni na hii picha hapa chini na angalieni nguo alizovaa Nyerere na nguo
alizovaa Bi. Titi.

Hizo nguo zinaonyesha kuwa ni picha iliyopigwa siku hiyo hiyo Uwanja wa Ndege
mwaka 1955.

Hii ndiyo ilikuwa safari ya Nyerere ya kwanza kwenda UNO.
Yericko anasema hii picha ni ya safari ya pili 1957.

Yericko ni wazi haijui historia ya TANU.
Mimi namshauri apunguze kibri, kejeli na mzaha ikiwa anataka kusoma bado ni kijana
wakati wa kujisomea bado anao.

Ajitulize asikilize darsa zangu ataijua historia hii na In Sha Allah atakuwa na uwezo
wa kuisomesha kwa wengine.

nyerere_departing_for_UNO.jpg
 
imebidi niache kufuatilia huu uzi sababu ya watu mnao quote post ndefu kama hii yani ilatia uvivu mnaharibu tu uzi wa mdau hapo
 
Wanamajlis,
Nakuombeni muwe waamuzi kati yangu na Yericko kuhusu picha hizi mbili hapa chini:

DSCN1621.JPG

Hii picha nimeitoa kwenye kitabu, "Nyerere of Tanzania."
Naomba msome "caption" ya picha hii inasemaje.

Inaonyesha picha alopiga Nyerere na akina Bi. Titi Mohamed na Bi Tatu biti Mzee
Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam 1955 wakimsindikiza Nyerere safari ya UNO.

Sasa tazameni na hii picha hapa chini na angalieni nguo alizovaa Nyerere na nguo
alizovaa Bi. Titi.

Hizo nguo zinaonyesha kuwa ni picha iliyopigwa siku hiyo hiyo Uwanja wa Ndege
mwaka 1955.

Hii ndiyo ilikuwa safari ya Nyerere ya kwanza kwenda UNO.
Yericko anasema hii picha ni ya safari ya pili 1957.

Yericko ni wazi haijui historia ya TANU.
Mimi namshauri apunguze kibri, kejeli na mzaha ikiwa anataka kusoma bado ni kijana
wakati wa kujisomea bado anao.

Ajitulize asikilize darsa zangu ataijua historia hii na In Sha Allah atakuwa na uwezo
wa kuisomesha kwa wengine.

nyerere_departing_for_UNO.jpg

Mohamed Said bado hutaki kukubali ukweli,

Picha hizo ulizoleta zinatofauti, yani ni safari mbili tofauti. Picha ya juu kwenye kitabu ni safari ya 1954 katika picha ya pamoja kati ya Julius Nyerere na Wanawake wa TANU, haijulishi walipigiw wapi lakini ilikuwa ni kwenye tukio la kumsindikiza Julius UNO, safari hii iligharimiwa na Kanisa Katoliki.

Picha ya pili ni Uwanja wa Ndege makomred wa TANU wakimsindikiza Julius UNO, hii ni safari ya 22/04/1957, na safari hii kwa kiwango kikubwa ilifadhiriwa na mfanyabiashara mkubwa wa nyakati hizo John Lupia
 
Last edited by a moderator:
'
Yericko,
Hizo ni picha mbili tofauti kama nilivyoeleza.
Sihitaji kujipinda kuhusu historia ya TANU.

Historia hii na haya unayoandika hii leo wewe mengi umeyasikia kwa
mara ya kwanza kutoka kwangu.

Hebu jiulize kwa nini TANU ilipoandika historia yake haya yote waliyaacha?

Jiulize tena hali ingekuwaje endapo mimi nisingeliandika historia hii ambayo
takriban sasa miaka mitatu imekuwa mashuhuri hapa JF?

Lakini kama nisemavyo simlazimishi mtu kuniamini.
Akipenda anaweza kuamini historia hii yako na ile ya Kivukoni.

Ikiwa unataka kusema kuwa hawakuwapo akina Idd Faiz Mafongo wala
Mwalimu Kihere wala Rashid Ally Meli katika kutafuta fedha za safari ya
Nyerere UNO yote sawa kwani ilipoandikwa historia ya TANU haya yote
hayakuwapo.

Niko radhi kabisa kuitwa muongo na mzushi.
Naamini wasomaji wana akili na uwezo wa kupima.

Wanajua nani anasema kweli na nani mbabasihaji.

Nikweli nimesoma vitabu vyako, nimesoma ili niweze kupingana na wewe kwa kile nilichokiona katika vitabu vyako sio kuambiwa,

Nikiri wazi katika vitabu vyako, yapo mambo mabaya na machafu ambayo jamii haipaswi kuyaona wala kujifunza, lakini yapo mambo machache yana mafaa kwa taifa, na hilo ninakupongeza hasaa!

Mengi niyajuayo katika Uhuru, hukuyajua popote, nimekuwa msaada mkuu kwako kaputoa gizani kuwa Historia ya Tanganyika haianzii kariakoo nakuishia viunga vya misikiti yake,
 
Yericko,
Nimewaomba Wanamajlis ndiyo watuamue.
Wewe kwa sasa kaa kimya tusubiri tuone watu wengine watasemaje kuhusu hizi picha mbili.
 
Yericko,
Kuwa na subra.
Subiri JF itoe uamuzi.

Wewe hujakuwa na elimu ya kunisomesha mimi.
 
Yericko,
Kuwa na subra.
Subiri JF itoe uamuzi.

Wewe hujakuwa na elimu ya kunisomesha mimi.

Lakini wewe unayo elimu yakunisomesha, kwanini iwe mpaka uamuzi wa wasomaji na sio kwa ushahidi wa elimu yako maalimu?
 
Mohamed Said,

Naomba nikuulize swali kwakupitia mfano rahisi

Siku za usoni Chadema ikija kushika dola, Historia yake itakuja kuwataja Warid Kabour na Zitto kuwa waasisi wa Chadema?

Je vizazi vya Zitto na Warid si ndivyo vitakuja kuleta historia ya Chadema kama historia ya TANU ya Mohamed Said?
 
Last edited by a moderator:
Yericko,
Tusubiri matokeo.

Tuache JF iangalie hizo pi cha.

Zingatia, hoja ya msingi ipo katika picha hizi,

Yericko,
Maryknoll waliingia kusaidia katika safari ya pili na si kama TANU waliwaachia
mzigo wote wao.

nyerere_departing_for_UNO.jpg

SAFARI YA KWANZA YA NYERERE UNO 1955
Kushoto: Rashid Sisso, Robert Makange, Zuberi Mtemvu, Idd Faiz Mafongo, Julius Nyerere, John Rupia na Bi. Titi Mohamed

DSC03585+%25281%2529.JPG

Kushoto: Dossa Dossa Aziz, Julius Nyerere, Abdul Sykes na Lawi Sijaona,
Ukumbi wa Arnatouglo Tafija ya Kumuuga Nyerere
Safari ya Pili UNO

Mimi nimepinga maelezo yako kuwa ni picha za safari ya kwanza ya Julius kwenda UNO mwaka 1955,

Nikakufunza kuwa picha hizo zote ni za tukio la siku moja la 22/04/1957 katika safari ya Pili ya Julius kwenda UNO, safari iliyogharimiwa na John Lupia,

Picha ya juu ni uwanja wa ndege makomred wa TANU wakimuaga Julius Nyerere tayari kwakupaa kwenda UNO 1957.

Picha ya chini ni sherehe fupi ya kumuaga iliyofanyika ukumbi wa mnazimmoja Anautoglo

Kisha wewe umeleta picha nzuri ya kwenye kitabu ikimuonyesha Julius Nyerere akiwa na Wanawake wa TANU wakiongozwa na Bibi Titi Mohamed, Nikakufunza pia katika picha hiyo kuwa hiyo ndio safari ya kwanza 05/03/1955 ya Julius kwenda UNO safari iliyogharimiwa na Kanisa Katoliki

Wanamajlis,
Nakuombeni muwe waamuzi kati yangu na Yericko kuhusu picha hizi mbili hapa chini:

DSCN1621.JPG

Hii picha nimeitoa kwenye kitabu, "Nyerere of Tanzania."
Naomba msome "caption" ya picha hii inasemaje.

Inaonyesha picha alopiga Nyerere na akina Bi. Titi Mohamed na Bi Tatu biti Mzee
Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam 1955 wakimsindikiza Nyerere safari ya UNO.

Sasa tazameni na hii picha hapa chini na angalieni nguo alizovaa Nyerere na nguo
alizovaa Bi. Titi.

Hizo nguo zinaonyesha kuwa ni picha iliyopigwa siku hiyo hiyo Uwanja wa Ndege
mwaka 1955.

Hii ndiyo ilikuwa safari ya Nyerere ya kwanza kwenda UNO.
Yericko anasema hii picha ni ya safari ya pili 1957.

Yericko ni wazi haijui historia ya TANU.
Mimi namshauri apunguze kibri, kejeli na mzaha ikiwa anataka kusoma bado ni kijana
wakati wa kujisomea bado anao.

Ajitulize asikilize darsa zangu ataijua historia hii na In Sha Allah atakuwa na uwezo
wa kuisomesha kwa wengine.

nyerere_departing_for_UNO.jpg

Kibaya zaidi ulichokifanya mzee Mohamed Said nikuwa wakati wakujibu hoja yangu umenyofua picha ya hafla ya kumuaga Julius pale Anautoglo na kupachika picha nyingine ilimradi kujenga hoja yako ikubalike.
 
Last edited by a moderator:
Yericko,
Angalia vyema hakuna picha iliyotolewa zote zipo nimeongeza picha mpya tu ya akina Tatu biti Mzee na Nyerere.
 
Yericko,
Angalia vyema hakuna picha iliyotolewa zote zipo nimeongeza picha mpya tu ya akina Tatu biti Mzee na Nyerere.

Umeongeza picha katika majibu yako kwa hoja yangu, hivyo ukabadili maana ya jibu na hoja nzima
 
Narudia tena Bwana Yericko toa wasiwasi subiri JF iangalie hizo picha.

Wakitoa majibu tutarejea jamvini.

Nina mengi.
 
Narudia tena Bwana Yericko toa wasiwasi subiri JF iangalie hizo picha.

Wakitoa majibu tutarejea jamvini.

Nina mengi.
Sheikh Mohamed Said.

Nakuomba kwa hisani yako huyu Yericko siyo saizi yako kufanya naye minakasha kama hii ya historia ya Tanganyika.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom