Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Ndio manvyomwokoa?....inawasaidia nini sasa?Democrasia si asili yenu..ila ndio inayowalinda bila hivyo mngekuwa mmefutwa ktk dunia.Wachezea kanuni km nyie.Brother Mohamed Said usibishane na huyu Nicholas si stahiki kabisa yako wala yetu sote, haeleweki , hana lugha nzuri , ni mvurugaji tu , unajua mara zote kwenye mijadala kama hii ya kujifunza hakuna sababu za kutukana , inachotakiwa ni kukubali au kupinga. wengi tumechangia mada hii kwa kuiipinga na wengine wapo wana support lakini huyu kijana ana matatizo makubwa sana , na sio kwenye mada hii tu bali nyingi huwa haeleweki , sio mstaarabu kabisa. ningeshauri asijibiwe anachoandika kwani ukimjibu anakuja na matusi zaid na kuandika kisicho eleweka. bora kujibu wale wanaojadili kwa adabu na ustaarabu kwa lengo la kujifunza na kujadiliana . sio kila mwenye access na internet ya vijana wengi kuwa ana sifa ya millennials japo amezaliwa katika generation hio. Wengi wameathirika na matatizo au side effects yatokanayo nyakati hizi
Last edited by a moderator: