Tetesi: Siri ya Matokeo ya Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar yaja juu

Hahahaaaaa hii habari nilijua itafichuka tu sheni hakuna mzanzibari anaekutaka
 
Nami naomba kuhoji na kurejea baadhi ya kauli za Magufuli na Lubuva hapa juu ya tume za uchaguzi kuwa huru zisizopokea maagizo toka popote. Sasa, huyu Jecha ni kwanini ampigie simu Shein na siyo wagombea wote 12? Kwanini aonane na wajumbe wawili wa tume badala ya wote watano? Je, ni chombo kipi cha kisheria au mamlaka chenye kuweza kuhoji na kumchunguza Jecha na Shein? Nimshauri huyu Dr. Shein aachane na kuburuzwa na baadhi ya eatu katika ccm kwani wanamtanguliza kwa maslahi yao wao. Ajiuzulu ili kuilinda sehemu ya heshima iliyosalia nami nitamsifu kwa hilo. Ni muungwana sana na nikiri tu aliwahi kuwa mtendaji mzuri enzi akiwa bara. Asiziharibu sifa zake na heshima aliyojijengea huko nyuma. Jiuzulu uwaumbue wanaokupotosha.
 
Nimefurahi saana pale mleta uzi anapojisahau na uandishi huu kwa kuandika " Na jecha akasisitiza kuwa kwa kilichofanyika pale kiwe siri sana."

Wakubwa wamenielewa!!
 
Sasa hapa tukwamini vipi, mie mtu wa jikoni kabisa kaniambia hayo matokeo yamepunguzwa kwa asilimia mbili!
 
Ataamua kwenda Kanisani maana hamna namna!
 
NGOJA TUSUBIRI HIYO KESHO WATAKAOJITOKEZA KWENYE SHEREHE YA KUMUAPISHA , NATAMANI MABAROZI WAWAKILISHI WA NCHI Z NJE WASUSIE PIA.
Mtaishia kuwaita wasaliti, wenzenu wanatumia vichwa kufikiri, sio makalio. Subiri kesho.
 
Hivi mtu yuko mwenyewe na wafuasi wake kwa majina bandia ulitegemea watangaze nini? Lazima tuletewe takwimu anazozitaka yeye tu. Yuko peke yake kama mtu anavyokwenda msalani peke yake atakavyoamua kufanya akiwa ndani ni uamuzi wake sisi hatuna haja ya kumuuliza. Hata wakisema kachaguliwa na watu milioni 20, idadi ambayo ni kubwa kukiko wakazi wa visiwani shauri yake. Ndiyo maana wenye akili wamekataa kuwa waangalizi wa kimataifa toka nchi za wenye kujitambua wamegoma kwenda huko ili wasionekane vikatuni machoni pa wenye akili
 
Au matokeo yamejumlishwa na Yale waliyoiba October 25, 2015 Kwa ukimya wa vituoni kule Pemba na unguja hata kura laki moja haifiki Tanzania Kwa sarakasi hizi wanazijua walah
 
NGOJA TUSUBIRI HIYO KESHO WATAKAOJITOKEZA KWENYE SHEREHE YA KUMUAPISHA , NATAMANI MABAROZI WAWAKILISHI WA NCHI Z NJE WASUSIE PIA.
Wakisusa sisi tunakula yote sawa tu shein ni Rais wa zanzibar.
 
Ajabu hiyoo, Iliyotokea Chake.
Kunfaywa uchaguzi, Seifu asipatee!
 
Tungoje wanaharakati watayapata tu makaratasi ya idadi ya kura walizopata ccm
 


hii habar ingawa tamu endapo angalau nyaraka flan zingekuwepo kuipa nguvu zaid
 
Bado endeleeni kususa CUF mbona mnaanza kuutamani uchaguzi wakati umeshapita!!?
 
Uwazi na ukweli na isiwe udaku. Tunaomba uthibitisho wa takwimu hizo, na chanzo aminika.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…