Sijawahi ona watu wapumbavu kama hizi ngozi nyeusi, ni bora tutawaliwe tena kama ilivyokuwa ili tufunguke akili! apite tu Donald Trump! tumechoka kupelekwa kama makondoo
Naona bado mnaendelea kujifurahisha kwa uwongo wenu na amekuambia nani kama maalim seifi anaungwa mkono 95% naona hata kusema uwongo hamjui.. Maalim seif anaungwa mkono na wapemba tu.. Na huyo kwa unafiki wake amekuja eti wameshiriki watu 50 alfu na watu wazima wenye akili zao wanamuamini...Hivi hizi kauli zenu mbona zinabadilika...yaani kutaka kuwa convince watu mmekuja na kauli million moja na kila siku mnazuwa jipya na bahati mbaya Zaidi mnalozungumza leo basi linapingana na mlilozungumza jana...Sasa nasubiri kesho mtasema nini kwani mtaendelea kutapatapa tu...pengone kesho baada ya kuapisha mtakuja na kusema ZNZ kuvamiwa kijeshi... hahahahahaha...tumieni ubongo wenu kufikiri.Ninakuambia tena Dunia itakwisha Maalim Seif hatokuwa Rais ZNZ yaani bora wewe una nafasi kubwa sana ya kuwa Rais lakini yeye Hilo halitotokea milele..tulikuambieni kabla ya uchaguzi na tunakuambieno leo na kesho tunakuambieni tenanakala ya uzi huu imfikie mchumia tumbo anayeitwa Kizibao , mkazi wa maeneo ya mchambawima , unguja .
Hapo maalim kafungwa au kajifunga mwenyewe?
Hakuna mtu mnafiki na mpenda sifa kama baba mwenye nyumba...anaendesha nyumba kwa mizukaHapo maalim kafungwa au kajifunga mwenyewe?
Muulize refa!Hapo maalim kafungwa au kajifunga mwenyewe?
uongo utakusaidia nini ? kama maalim seif anapendwa na wapemba mbona amewagalagaza unguja ?Naona bado mnaendelea kujifurahisha kwa uwongo wenu na amekuambia nani kama maalim seifi anaungwa mkono 95% naona hata kusema uwongo hamjui.. Maalim seif anaungwa mkono na wapemba tu.. Na huyo kwa unafiki wake amekuja eti wameshiriki watu 50 alfu na watu wazima wenye akili zao wanamuamini...Hivi hizi kauli zenu mbona zinabadilika...yaani kutaka kuwa convince watu mmekuja na kauli million moja na kila siku mnazuwa jipya na bahati mbaya Zaidi mnalozungumza leo basi linapingana na mlilozungumza jana...Sasa nasubiri kesho mtasema nini kwani mtaendelea kutapatapa tu...pengone kesho baada ya kuapisha mtakuja na kusema ZNZ kuvamiwa kijeshi... hahahahahaha...tumieni ubongo wenu kufikiri.Ninakuambia tena Dunia itakwisha Maalim Seif hatokuwa Rais ZNZ yaani bora wewe una nafasi kubwa sana ya kuwa Rais lakini yeye Hilo halitotokea milele..tulikuambieni kabla ya uchaguzi na tunakuambieno leo na kesho tunakuambieni tena
Seif hajapatapo kuongoza kwa kura Unguja.. hata katika yale matokeo yenu Feki mliyoyatoa basi hakuongozauongo utakusaidia nini ? kama maalim seif anapendwa na wapemba mbona amewagalagaza unguja ?
ok kesho bila shaka mtaona jinsi uwanja utakavyojaa.mtasema wanapelekwa kwa nguvu uwanjani.NGOJA TUSUBIRI HIYO KESHO WATAKAOJITOKEZA KWENYE SHEREHE YA KUMUAPISHA , NATAMANI MABAROZI WAWAKILISHI WA NCHI Z NJE WASUSIE PIA.
wanajeshi wote wale watashindwaje kujaza uwanja ?ok kesho bila shaka mtaona jinsi uwanja utakavyojaa.mtasema wanapelekwa kwa nguvu uwanjani.
Naona bado mnaendelea kujifurahisha kwa uwongo wenu na amekuambia nani kama maalim seifi anaungwa mkono 95% naona hata kusema uwongo hamjui.. Maalim seif anaungwa mkono na wapemba tu.. Na huyo kwa unafiki wake amekuja eti wameshiriki watu 50 alfu na watu wazima wenye akili zao wanamuamini...Hivi hizi kauli zenu mbona zinabadilika...yaani kutaka kuwa convince watu mmekuja na kauli million moja na kila siku mnazuwa jipya na bahati mbaya Zaidi mnalozungumza leo basi linapingana na mlilozungumza jana...Sasa nasubiri kesho mtasema nini kwani mtaendelea kutapatapa tu...pengone kesho baada ya kuapisha mtakuja na kusema ZNZ kuvamiwa kijeshi... hahahahahaha...tumieni ubongo wenu kufikiri.Ninakuambia tena Dunia itakwisha Maalim Seif hatokuwa Rais ZNZ yaani bora wewe una nafasi kubwa sana ya kuwa Rais lakini yeye Hilo halitotokea milele..tulikuambieni kabla ya uchaguzi na tunakuambieno leo na kesho tunakuambieni tena
hii ina ukweli fulani kwa sababu Shein hajawahi kufikisha kura hala 180,000. Na kama walikuwa wakigawana nusu kwa nusu na Seif, na wapiga kura walikuwa asilimia 67, ukifanya cross multiplication, utakuta kura zake zingekuwa kama asilimia 70 ya waliopiga kura. Jecha ni PimbiKwa mujibu wa moja ya wafanyakazi wa tume ya uchaguzi zanzibar ZEC jina tunalihifadhi kwa usalama wake anasema kuwa idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa marudio visiwani humo ni 58,732 hii ni sawa na asilimia 10% tu ya wapiga kura wote waliojiandikisha 2015..Na katika kura hizo Dr shein alipata kura 48,175. (hii ni aibu kwa dr.shein)
Ishu ikawa je tutamtangazaje shein kuwa mshindi kwa kura elfu 48?..Katika mjadala huo na ndipo mwenyekiti wa ZEC jecha akataka kupewa muda awasiliane na Dr shein baada ya dakika 18 alirejea na kusema kuwa ameshauliana na dr.shein kuwa ZEC wafanye liwezekanalo lakini shein asipate kura chini ya laki 2 (hii inaitwa kupanga matokeo ya mechi).
Baada ya hapo mwenyekiti wa tume jecha akawaita maafisa watatu wa tume na kwenda nao chemba na kukaa huko kwa takribani saa 1 na walivyorudi kwenye kikao walirudi na kura za shein 299,982 ambazo hazikujulikana zilitoka wapi..Na jecha akasisitiza kuwa kwa kilichofanyika pale kiwe siri sana.
C&p
Hayo ya upemba ndio yaliyo fanya sheni kupata hizo 48,175. Tu suala hapa lipo wazi vituo vilikua vitupu kote unguja na pemba.
Ubaguzi wa kuwagawa wazanzibari ndio ujinga wa mwishi mlio nao. Cuf inaringa sana kwani imekuonesheni kuwa nani anaungwa mkono na wananchi
Hebu pitia ushindi wa wawakilishi ..mbona hautangazwi yana fichwa...lile jimbo moja alopata UPDP jimbo basi yeye kashinda kwa kura 277 na ccm 250 ...hizi ni kura za baraza lakini jimbo hilo hilo la ziwani Ccm wakampa sheni kura 3000+
Hata aibu hamna basi..ccm imekwisha kabisa unafikiri watu wanafurahia kuletewa ndani ya nchi yao majeshi na magari na maaskari kuleta fadhaa kwa raia ? Hata akiwa ccm basi anabadilika hawezi mzalendo kukubali ujinga huo hata siku moja...wananchi wapo kimya hawajafanya hata maandamano wamesikiliza viongoxi wao...nina uhakika zoezi hilo la kuleta majeshi na mapolisi sio wazo la ccm wote znz ...
Upemba na uunguja mwisho kisonge....sisi ni wazanzibari wacha tongo tongo
Jecha alitangaza kura za Rais moja kwa moja badala ya utaratibu wa kutangaza matokeo ya majimbo.CCM Ktk ubora wao! Licha ya figisufigusu Zote ndo wamepata hizo 48k tu??
His spirit of vengeance won't help the chap!Hili lazima hata Hamad Rashid analijua, sasa inakuwaje MTU mzina kama yule anasimama na kusema maneno kama Yale yakuunga mkono hadharani matokeo yale? Huyu ni mnafiki mkubwa sana, ccm wakiunga mkono hilo linaeleweka sasa yeye toka chama cha upinzani tumweleweje?
Huyo akae huko huko Zanzibar na unafiki wake asiulete Dar anakofanya makazi yake