Tetesi: Siri ya Matokeo ya Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar yaja juu

Tetesi: Siri ya Matokeo ya Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar yaja juu

Yes u r wright , in Tanzania we create wonders every minute, including rumours, lies and dis Information. I hope one would ask himself how come the owner of this post has all these inner circle info., while the opposition parties and the newspapers who will pay for these info., don't have them and they have never raised them . Also it's a wonder how in Tanzania ppl like yourself without questioning and analysing the info you blindly support the lies.

Ask yourself among the registered voters how many of them are ccm members?
My dear the same pipo who did those fake things come out and expose the malpractice which were done by the Evil pipo in the system I know you are one of the beneficiary of the system
 
Jecha alitangaza kura za Rais moja kwa moja badala ya utaratibu wa kutangaza matokeo ya majimbo.
Sasa ndio wana panga matokeo kwa majimbo na yatata tangazwa baadae.

Waziri wa fedha Zanzibar ndie mtaalamu wa kupanga matokeo

Kura zilo pigwa 2015 ni 349756
Kura zilo pigwa 2016 ni 341865 difference of 7891 na hawa ndio waliogoma ?
Mgombea CCM kapata 299,982 kwa hivyo kura 41883 ndio zimemkataa
Ha ha ha haaaa! Ama Kweli njia ya muongo Ni fupi! Tena sana! Yaani Jamaa wanafanya michezo ya Ajabu sana! Wanatuona wote ni mazuzu.
 
Kwa mujibu wa moja ya wafanyakazi wa tume ya uchaguzi zanzibar ZEC jina tunalihifadhi kwa usalama wake anasema kuwa idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa marudio visiwani humo ni 58,732 hii ni sawa na asilimia 10% tu ya wapiga kura wote waliojiandikisha 2015..Na katika kura hizo Dr shein alipata kura 48,175. (hii ni aibu kwa dr.shein)

Ishu ikawa je tutamtangazaje shein kuwa mshindi kwa kura elfu 48?..Katika mjadala huo na ndipo mwenyekiti wa ZEC jecha akataka kupewa muda awasiliane na Dr shein baada ya dakika 18 alirejea na kusema kuwa ameshauliana na dr.shein kuwa ZEC wafanye liwezekanalo lakini shein asipate kura chini ya laki 2 (hii inaitwa kupanga matokeo ya mechi).

Baada ya hapo mwenyekiti wa tume jecha akawaita maafisa watatu wa tume na kwenda nao chemba na kukaa huko kwa takribani saa 1 na walivyorudi kwenye kikao walirudi na kura za shein 299,982 ambazo hazikujulikana zilitoka wapi..Na jecha akasisitiza kuwa kwa kilichofanyika pale kiwe siri sana.
C&p
Hivi Sheria ya Makosa ya Mtandao ilishafutwa?
 
According to you:
Total voters registered 503,580
Those who voted for Shein 299,982
Those who did not vote for Shein 28,345
Those who did not vote all 161,715

CCM wana penda number lakini hawajui hesabu

Jecha alitangaza kura za Rais moja kwa moja badala ya utaratibu wa kutangaza matokeo ya majimbo.
Sasa ndio wana panga matokeo kwa majimbo na yatata tangazwa baadae.

Waziri wa fedha Zanzibar ndie mtaalamu wa kupanga matokeo

Kura zilo pigwa 2015 ni 349756
Kura zilo pigwa 2016 ni 341865 difference of 7891 na hawa ndio waliogoma ?
Mgombea CCM kapata 299,982 kwa hivyo kura 41883 ndio zimemkataa

Turn out: ------------------- Shein alivyopata

Unguja------270708--------kapata 239776

Pemba------71157 ---------kapata 60206

Jumla ------341865 -------kapata 299982
 
Nashangaa why Wazanzibari hawajitokezi kudai muungano ufe?
 
Mkuu Maneno mazito sana, Pole sana ila usikate tamaa kwani kila linalopangwa chemba au gizani jambo hilo huwa na tabia ya kuwaumbua wale walilolipanga.tuvute subira kidogo wataanza kusema sio mimi alikuwa fulani.
umenena mkuu
 
Kura za rais zinatangazwa kwa majimbo .na hata NEC ndivo walivokua wanafanya ila huyu jecha yeye jatangaza kwa pamoja .sijui matokeo yale ameyapatajebkwa haraka .hata hiyo siku ambayo maalim seif wanavodai alijitangaza alitoa matokeobya kila jimbo navbaadae ndio akatoa ya jumla
 
Kwa mujibu wa moja ya wafanyakazi wa tume ya uchaguzi zanzibar ZEC jina tunalihifadhi kwa usalama wake anasema kuwa idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa marudio visiwani humo ni 58,732 hii ni sawa na asilimia 10% tu ya wapiga kura wote waliojiandikisha 2015..Na katika kura hizo Dr shein alipata kura 48,175. (hii ni aibu kwa dr.shein)

Ishu ikawa je tutamtangazaje shein kuwa mshindi kwa kura elfu 48?..Katika mjadala huo na ndipo mwenyekiti wa ZEC jecha akataka kupewa muda awasiliane na Dr shein baada ya dakika 18 alirejea na kusema kuwa ameshauliana na dr.shein kuwa ZEC wafanye liwezekanalo lakini shein asipate kura chini ya laki 2 (hii inaitwa kupanga matokeo ya mechi).

Baada ya hapo mwenyekiti wa tume jecha akawaita maafisa watatu wa tume na kwenda nao chemba na kukaa huko kwa takribani saa 1 na walivyorudi kwenye kikao walirudi na kura za shein 299,982 ambazo hazikujulikana zilitoka wapi..Na jecha akasisitiza kuwa kwa kilichofanyika pale kiwe siri sana.
C&p
Shit
 
mtu anaekuja hapa na kuitetea CCM huwa namshangaa hadi nashindwa kushangaa hadi najikuta najishangaa!
 
Nimechekaaa huku naliaaaaa...Mimi toka SAA 1,nilikuwa macho ITV nayoo machoo vituoni..maandishi anahojii mbona watu hawajii anajibiwa..wewe hujuii walikujaa asubui wengi Na watarudi baadae...Tanzania is a very wonderful Country in the World.
 
Kipima joto:Unaweza kulinganisha uchaguzi huu wa marudio Zanzibar na ule wa Burundi ( Nkurunzinza?).In any means tunahitaji muungano wetu udumu
 
kama ni kweli basi sheni ameuza heshima yake yote na atakuwa hana tena thamani kama binadamu
 
Shame! Shame! Shame!
Aina hii ya watu baada ya mamlaka yao kuisha wanakuwa wapweke, wenye msongo wa mawazo, wasioheshimiwa na watu wao.
 
Wacha uwongo huu

Wacha uwongo huu umeenda kaskazini unguja au kusini unguja na wilaya ya magharibi yaani nyinyi watu mna matatizo.. Hivi umesoma Gazeti na lipashe la jana.. Jina matokeo ya wawakilishi.
Pemba watu wote waliojiandikisha kura ni laki moja na arobaini something sasa kupata kura 48,1175 kwa hivyo inaonyesha amepata kura Zaidi ya 25% kutoka Pemba.

Upemba na Uunguja umenza Pemba na unaendelezwa nawapemba tangu mwaka 1985.. Baada ya seif kupitwa na kwa kura saba na mzee Idrissa na akahamaki kwa uroho wa madaraka akenda Pemba na kuanza kupiga kampeni za wazi kabisa ya kuwa Idrissa asipewe kura na Yeye Seif hakuchaguliwa kwa Sababu ni mpemba...Na kuanzia hapo akaanza kuhubiri upemba wake kuwa mission ya kumfanya kuingia ikulu....

Na angalia kama CUF siku itakayomchagua muunguja kugombea uraisi kama wapemba hawatompinga wazi wazi kabisa
sasa huyu shein kwani ni muunguja
 
CCM wana penda number lakini hawajui hesabu

Turn out: ------------------- Shein alivyopata

Unguja------270708--------kapata 239776

Pemba------71157 ---------kapata 60206

Jumla ------341865 -------kapata 299982
48175 ndo namba
 
Back
Top Bottom