yaani mimi ndio mkurugenzi nimeangaika kuwapigania hao madiwani kwa kura za wizi na ujanja ujanja hadi wamefika hapo then wanataka kunipata kichwani iseee....USINIONEEE TUTAONESHANA...Kuna wakurugenzi wana-behave kama maDC, wengine kama mameya, wengine kama maDAS, wengine kama wenyeviti wa CCM wilaya.
Hii makala umeiandika kama Boniface Jacob!
Hii makala umeiandika kama Boniface Jacob!
Huyu Mkurugenzi ametokea wapi? Upigaji kwenye Tamisemi ni agenda ya wazi inayojulikana. Ndio maana Jafo aliwekwa pembeni ili kuiangalia Tamisemi kwa karibu zaidi😂😂😂
Ova
Huko ni shida upigaji ni agenda yao kuuHuyu Mkurugenzi ametokea wapi? Upigaji kwenye Tamisemi ni agenda ya wazi inayojulikana. Ndio maana Jafo aliwekwa pembeni ili kuiangalia Tamisemi kwa karibu zaidi
Udiwani wa Dar Es Salaam una fursa zake. Ndio hizo. Kula hela za wananchi kwa namna yoyote ile. Na hao viongozi wamekuwa sehemu ya mchakato huoHuko ni shida upigaji ni agenda yao kuu
Huko bila kupiga mambo hayaendi
Ova
Kula hela ndo Kazi maalum auYes, Pia ndiye aliiba kura kule kigoma wakati flani, huwa anapelekwa maeneo korofi kwa kazi maalum.
Takukuru wamefunikwa au wamejifunika?SIYO MAJUNGU, hizi ni habari za ndani kabisa ambazo akina paschal mayala walipaswa kuziibua, hii nchi imeoza sana na huyu mama alikuwa kiongozi mkuu wa kufundisha genge la wakurugenzi namna ya kuhujumu chaguzi, Msimtetee.
Sipora Liana atakuja kupata mwisho mbaya sana.huyo mama mkurugenzi ni tatizo sana na hajielewi kabisa ni vyema mama SSH akampuunzisha
Yaani kila anapokwenda kufanya kazi anagombana na madiwani ukifuatilia historia yake
kila anapokwenda kufanya kazi lazima ataleta mgogoro
Du..........huyo bibie DED ni wa kupelekwa Chato.RC Amos Makalla amewakutanisha Meya wa manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wake Sipora Liana. Vyombo vya habari vikaripoti kuwa mgogoro umeisha 🤣...
Mbona huoneshi popote Kama andiko hili umekopi kwa Malisa?RC Amos Makalla amewakutanisha Meya wa manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wake Sipora Liana. Vyombo vya habari vikaripoti kuwa mgogoro umeisha [emoji1787]....
Daah mwendazake aende salama.Huyo Mama ni Tatizo sana Anajisahau kuwa huyo Meya wa Kinondoni hapo Manispaa ndio kwao Mkurugenzi ataondoka Meya atabaki alimwonea Mwita kwa nguvu ya Mwendazake
Hata mimi nashangaa..yani jamaa amekopi na kupaste halafu ameshindwa hata kuonesha kuwa ametoa hii taarifa kwa MalisaMbona huoneshi popote Kama andiko hili umekopi kwa Malisa?
Halmashauri ya Kinondoni iajiri Mkurugenzi? Wataajiri muuza madawa ya kulevya mwenzao!!! Utaratibu huu ni mzuri ili mradi madiwani wachaguliwe kwa haki na wananchi!! Matatizo yanakuja pale madiwani wote ni waccm na wanajuana wizi wao hivyo wanashindana!!!
Wako wengi wa aina ya Liana. Ni muda muafaka sasa Mama kuwashughulikia. Vinginevyo kuna siku ngumi zitapigwa kwenye vikao vya Halmashauri/Majiji Nchini.Magufuli aliharibu kila kitu.Haya hayakuwepo, Wacha Mungu atende kazi yake. Tungelikuwa wapi kama Mungu asingelite da kazi yake. Liana aliwatesa sana wapinzani. Sukuma gang, naye atapigwa chinni, tusubiri uteuzi
Nakubaliana na wewe, madiwani ajira za halmashauri walikuwa wanaajiri kiukabila, yaani ukipeleka vyeti vyako kusaka ajira halmashauri lazima wakuulize kabila......madiwani wanawasumbua na kuwatisha wakuu wa idara kwa sababu ya maslahi yao binafsi, nafikiri huu utaratibu ambao rais au serikali kuu inaweza kuingilia utendaji wa halmashauri hasa kuhusu mambo ya kisera na matumizi na uwajibikaji kwenye pesa za umma uendelee hadi pale halmashauri zitakapokuwa tayari kujisimamia badala ya madiwani kusimamia maslahi yao binafsi.....Haya ulibandika kuhusu eneo la ushauri ni maoni mazuri ila nina wasiwasi kidogo. Madiwani wana changamoto nyingi sana na changamoto yao kubwa ni eneo la masilahi binafsi. Kama Mkurugenzi atasailiwa na baraza la madiwani na wao wakawa ndiyo mamlaka ya uteuzi Mkurugenzi hawezi kuwa stable kiutendaji. Halmashauri nazijua vizuri sana. Teua na tengua ndiyo itakuwa kazi pekee badala ya maendeleo.