Siri ya Meya Kinondoni kugombana na Mkurugenzi

Siri ya Meya Kinondoni kugombana na Mkurugenzi

Kuna wakurugenzi wana-behave kama maDC, wengine kama mameya, wengine kama maDAS, wengine kama wenyeviti wa CCM wilaya.
yaani mimi ndio mkurugenzi nimeangaika kuwapigania hao madiwani kwa kura za wizi na ujanja ujanja hadi wamefika hapo then wanataka kunipata kichwani iseee....USINIONEEE TUTAONESHANA...
 
Huyu Mkurugenzi ametokea wapi? Upigaji kwenye Tamisemi ni agenda ya wazi inayojulikana. Ndio maana Jafo aliwekwa pembeni ili kuiangalia Tamisemi kwa karibu zaidi
Huko ni shida upigaji ni agenda yao kuu
Huko bila kupiga mambo hayaendi

Ova
 
Huko ni shida upigaji ni agenda yao kuu
Huko bila kupiga mambo hayaendi

Ova
Udiwani wa Dar Es Salaam una fursa zake. Ndio hizo. Kula hela za wananchi kwa namna yoyote ile. Na hao viongozi wamekuwa sehemu ya mchakato huo
 
SIYO MAJUNGU, hizi ni habari za ndani kabisa ambazo akina paschal mayala walipaswa kuziibua, hii nchi imeoza sana na huyu mama alikuwa kiongozi mkuu wa kufundisha genge la wakurugenzi namna ya kuhujumu chaguzi, Msimtetee.
Takukuru wamefunikwa au wamejifunika?
 
huyo mama mkurugenzi ni tatizo sana na hajielewi kabisa ni vyema mama SSH akampuunzisha
Yaani kila anapokwenda kufanya kazi anagombana na madiwani ukifuatilia historia yake
kila anapokwenda kufanya kazi lazima ataleta mgogoro
Sipora Liana atakuja kupata mwisho mbaya sana.

Mwaka 2012 alimukamatisha kwa kubambikiza mbunge Omary Baduel wa Bahi kuwa ametaka rushwa ya Tsh 8. Milion ili apitishe mahesabu ya Halmashauri ya Mkuranga ambapo Sipora alikuwa DED.

Mwishowe Baduel alishinda kesi hiyo na ikatupwa.

Ninachokiona ni kwamba Sipora Liana anadhani yeye pekee ndiyo ana haki ya kupiga pesa. Ila iko siku yake naye atacheka tu
 
RC Amos Makalla amewakutanisha Meya wa manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wake Sipora Liana. Vyombo vya habari vikaripoti kuwa mgogoro umeisha 🤣...
Du..........huyo bibie DED ni wa kupelekwa Chato.
 
RC Amos Makalla amewakutanisha Meya wa manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wake Sipora Liana. Vyombo vya habari vikaripoti kuwa mgogoro umeisha [emoji1787]....
Mbona huoneshi popote Kama andiko hili umekopi kwa Malisa?
 
Tusiwafanye wananchi ni wajinga hawajui watu wanaowachagua na hawawezi kuwaondoa endapo hawatawatumikia kwa uadilifu.
Halmashauri ya Kinondoni iajiri Mkurugenzi? Wataajiri muuza madawa ya kulevya mwenzao!!! Utaratibu huu ni mzuri ili mradi madiwani wachaguliwe kwa haki na wananchi!! Matatizo yanakuja pale madiwani wote ni waccm na wanajuana wizi wao hivyo wanashindana!!!
 
Iliyeweka kuwe na cheo cha meya na mkurugenzi na meya ndiye wa kulaumiwa.
 
Haya ulibandika kuhusu eneo la ushauri ni maoni mazuri ila nina wasiwasi kidogo. Madiwani wana changamoto nyingi sana na changamoto yao kubwa ni eneo la masilahi binafsi. Kama Mkurugenzi atasailiwa na baraza la madiwani na wao wakawa ndiyo mamlaka ya uteuzi Mkurugenzi hawezi kuwa stable kiutendaji. Halmashauri nazijua vizuri sana. Teua na tengua ndiyo itakuwa kazi pekee badala ya maendeleo.
 
Magufuli aliharibu kila kitu.Haya hayakuwepo, Wacha Mungu atende kazi yake. Tungelikuwa wapi kama Mungu asingelite da kazi yake. Liana aliwatesa sana wapinzani. Sukuma gang, naye atapigwa chinni, tusubiri uteuzi
Wako wengi wa aina ya Liana. Ni muda muafaka sasa Mama kuwashughulikia. Vinginevyo kuna siku ngumi zitapigwa kwenye vikao vya Halmashauri/Majiji Nchini.
 
Haya ulibandika kuhusu eneo la ushauri ni maoni mazuri ila nina wasiwasi kidogo. Madiwani wana changamoto nyingi sana na changamoto yao kubwa ni eneo la masilahi binafsi. Kama Mkurugenzi atasailiwa na baraza la madiwani na wao wakawa ndiyo mamlaka ya uteuzi Mkurugenzi hawezi kuwa stable kiutendaji. Halmashauri nazijua vizuri sana. Teua na tengua ndiyo itakuwa kazi pekee badala ya maendeleo.
Nakubaliana na wewe, madiwani ajira za halmashauri walikuwa wanaajiri kiukabila, yaani ukipeleka vyeti vyako kusaka ajira halmashauri lazima wakuulize kabila......madiwani wanawasumbua na kuwatisha wakuu wa idara kwa sababu ya maslahi yao binafsi, nafikiri huu utaratibu ambao rais au serikali kuu inaweza kuingilia utendaji wa halmashauri hasa kuhusu mambo ya kisera na matumizi na uwajibikaji kwenye pesa za umma uendelee hadi pale halmashauri zitakapokuwa tayari kujisimamia badala ya madiwani kusimamia maslahi yao binafsi.....
 
Fukuza huyo DED ana kiburi,hata kama kuna wezi lakini lazima waheshimu mamlaka wanakofanyia Kazi,kama vipi waende huko huko kwenye maelekezo kutoka juu.

Serikalini haifanyi Kazi kwa njia ya sms
 
Back
Top Bottom