Siri ya mkoa wa Geita kuwa na matukio ya ovyo na ya ajabu hii hapa

umeniudhi ulipoandika wakiristo hizi ni dharau sana
 
Sehemu kukiwa na madini na wakazi hao wakawa ni wapumbavu wanaoamini uchawi ni hatari sana. Mauaji mengi ya ajabu ni ya kishirikina ili wapate madini. Wasukuma wengi bado wajinga sana.
Mpendwa wetu alie tangulia mbele ya haki nae alikuwa .mtu wa geita vipi nae alikuwa na chuki kwa watu wenye mali kuliko yeye?
 
Waangalie hiyo mercury inayotumika kuchenjua madini inaathiri ubongo vibaya sana!
 
Sababu wala siyo hzo eti chuki pale kuna ushirikina mkali kuanziaa kahama had katoro kote huko utoboi kizembe Kama huna chalee kotoka utosini Hadi kwenye nyayoo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Rudi tena uwanjani ukafanye utafiti

Ingekuwa wanachuki ya maendeleo wangekuwa wanauawa matajiri tu

Kakae mgodini jichanganye na wachimbaji alafu utajua sababu ni nini ya hayo matukio wala hakuna mwenye chuki na mwenzake

Kingine ukitoa ushauri wa kujenga hospital maeneo ya migodi shauri kujengwa hosptal ya kutibu majeruh wa ajali za migodini na vitengo imara vya uokoaji kuanzishwa hospital inayoshughulikia wagonjwa wa afya ya akili inatosha ya Dodoma

NB:wanatafuta utajiri ndio maana unasikia hayo matukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…