johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wamepeleka waliomba lift ya CCMumeona CHADEMA wamepeleka maoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepeleka waliomba lift ya CCMumeona CHADEMA wamepeleka maoni?
We ajuza ni muongo snWamepeleka waliomba lift ya CCM
Kama Selasini alivyoipindua Nccr Mageuzikuna watu katika jamii huezi ona wanafanya nini na unaweza wachukulia poa ila ndo wanapindua kila kitu mezani na usijue kama ni yeye.
Upo sahihi, kwanini asiwaingize watu kama Pro Assad na Jaji Warioba kama kweli ana nia ya dhati?Hiki kikosi kazi kinapoteza muda tu. Hitimisho limeshajulikana kabla hata kazi haijaisha, wanapoteza tu kodi zetu.
Uko sahihi kama ni hoja za katiba zinawaelemea Warioba alikuwa ni mtu sahihi kabisa.Kwanini asingeongezwa mzee Warioba?
Hawawezi kuwaweka watu ambao ni free thinkers. Makamu wa Kwanza wa Rais ZNZ alikuwa Attorney General wa SMZ wakati wa mchakato wa Katiba Mpya ya Warioba, aliwaumbua SMZ kwenye Bunge la Katiba mpaka akafukuzwa na kazi! Wanajua, ukiweka radicals utapata radical ideas.Upo sahihi, kwanini asiwaingize watu kama Pro Assad na Jaji Warioba kama kweli ana nia ya dhati?
Hahaaa, labda Kikosi Kazi kiliingia na majibu yake kimekuta paper imebadilishwa.Kazi ya kikosi kazi ni kukusanya maoni sasa wanaelemewa vipi na hoja wakati hakuna wa kuwauliza maswali.
Never serious on serious issues.Wamepeleka waliomba lift ya CCM
Kama hivyo basi mama kafanya vyema kabisa. Kapeleka ataekwamua walipokwama.Kazi kubwa ya Kikosi Kazi cha Rais ni kupata maoni kuhusu kudorora kwa Hali ya Demokrasia nchini lkn yenyewe imejikita zaidi kwenye upatikanaji wa Katiba Mpya.
Baada ya Kikosi Kazi kupendekeza katiba isubiri hadi 2025 wajumbe waligawanyika kuna wanaotaka mchakato uanze sasa na kuna wanaosema usubiri.
Pamoja na hayo maoni mengi ya wadau wanaohojiwa na Kikosi Kazi yanapendekeza kuanza mapema kwa mchakato wa Katiba, wanadai kama hoja ni muda au gharama waendelee ilipoishia Tume ya Warioba, hoja ambayo wanaotaka katiba isubiri wameshindwa kuijibu.
“Kuna wakati Kikosi Kazi huwa kinaelemewa na hoja za wanaokuja kutoka maoni hivyo wanaamini uwepo wake na uzoefu wake utasaidia kuongeza utulivu.” Profesa Rwekaza Mkandara.
Pinda alizima hoja ya Zanzibar ni nchi au siyo nchi, kaletwa kujaribu kuzima hoja ya Katiba mpya ni sasa au isubiri baada ya uchaguzi, je atafanikiwa? yetu macho na masikio.
Huyu ndiye aliyesema Zanzibar siyo nchi je alikwamua au aliongeza matatizo zaidi na je ulikubaliana naye kuwa Zanzibar siyo nchi?Kama hivyo basi mama kafanya vyema kabisa. Kapeleka ataekwamua walipokwama.
Tatizo ni nini kwa pinda kuongezwa kwa hekima zake?
Kwa wanaomjua vizuri wanajua yeye ni nani na ushawishi wake ni mkubwa Kwa kiwango gani.Ushawishi ni zaidi ya kuwashawishi tu watu.Sasa mtu kama Pinda anaushawishi gani huyu kwa jamii?
Suala la KATIBA MPYA hata Aje Rais Mstaafu haliepukiki PINDA hawezi kuzuia Matakwa ya Wananchi Pinda atake asitake Maoni yetu lazima YaheshimiweKazi kubwa ya Kikosi Kazi cha Rais ni kupata maoni kuhusu kudorora kwa Hali ya Demokrasia nchini lkn yenyewe imejikita zaidi kwenye upatikanaji wa Katiba Mpya.
Baada ya Kikosi Kazi kupendekeza katiba isubiri hadi 2025 wajumbe waligawanyika kuna wanaotaka mchakato uanze sasa na kuna wanaosema usubiri.
Pamoja na hayo maoni mengi ya wadau wanaohojiwa na Kikosi Kazi yanapendekeza kuanza mapema kwa mchakato wa Katiba, wanadai kama hoja ni muda au gharama waendelee ilipoishia Tume ya Warioba, hoja ambayo wanaotaka katiba isubiri wameshindwa kuijibu.
“Kuna wakati Kikosi Kazi huwa kinaelemewa na hoja za wanaokuja kutoka maoni hivyo wanaamini uwepo wake na uzoefu wake utasaidia kuongeza utulivu.” Profesa Rwekaza Mkandara.
Pinda alizima hoja ya Zanzibar ni nchi au siyo nchi, kaletwa kujaribu kuzima hoja ya Katiba mpya ni sasa au isubiri baada ya uchaguzi, je atafanikiwa? yetu macho na masikio.
Hoja nzito nzito muhimu ndiyo msingi mkuu ushawishi mkubwa sana hausaidii hapaSasa mtu kama Pinda anaushawishi gani huyu kwa jamii?
Hana Ubavu huo ALISHINDWA MAGUFULI itakuwa yeyeKwahiyo Pinda kaja kuwazima Chadema!
Wewe umeshahojiwa na hicho kikosi shikizi?Kazi kubwa ya Kikosi Kazi cha Rais ni kupata maoni kuhusu kudorora kwa Hali ya Demokrasia nchini lkn yenyewe imejikita zaidi kwenye upatikanaji wa Katiba Mpya.
Baada ya Kikosi Kazi kupendekeza katiba isubiri hadi 2025 wajumbe waligawanyika kuna wanaotaka mchakato uanze sasa na kuna wanaosema usubiri.
Pamoja na hayo maoni mengi ya wadau wanaohojiwa na Kikosi Kazi yanapendekeza kuanza mapema kwa mchakato wa Katiba, wanadai kama hoja ni muda au gharama waendelee ilipoishia Tume ya Warioba, hoja ambayo wanaotaka katiba isubiri wameshindwa kuijibu.
“Kuna wakati Kikosi Kazi huwa kinaelemewa na hoja za wanaokuja kutoka maoni hivyo wanaamini uwepo wake na uzoefu wake utasaidia kuongeza utulivu.” Profesa Rwekaza Mkandara.
Pinda alizima hoja ya Zanzibar ni nchi au siyo nchi, kaletwa kujaribu kuzima hoja ya Katiba mpya ni sasa au isubiri baada ya uchaguzi, je atafanikiwa? yetu macho na masikio.
We ajuza ni muongo sni
We ajuza ni muongo s
We ajuza ni muongo s
Jina la Magufuli linabamba sana hapa Jf
Asiposhawishi watu atakuwa anashawishi kitu gani.Kwa wanaomjua vizuri wanajua yeye ni nani na ushawishi wake ni mkubwa Kwa kiwango gani.Ushawishi ni zaidi ya kuwashawishi tu watu.
Anaenda kupindisha mambo kama jina lakeSasa mtu kama Pinda anaushawishi gani huyu kwa jamii?