Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mpaka leo files zake zimekuwa classified. Hawataki kusema ukweli hasa nini kilitokea na ikawaje wakayafungulia yale majini yakaanza kuwa yana waingilia wanaume kinyume na maumbile.
Al maarufu Popo Bawa. Ulikuwa ni Uganga ilio fail sehemu. Yaliletwa toka huko Arabuni kwa minajiri flani. Yakawashinda waliopewa dhamana ya kuyatunza. Yakatoka.
Wanaume walikuwa hawalali....maeneo mengi watu walipasuliwa mayai. Mwanaume anaamka asubuhi nyuma amepasuliwa yai. Na sharti lilikuwa moja tu. Lazima uwaambie watu. Yaani lazima utangaze. Usipotangaza usiku tena unalo.
Watu walilazimika kulala na mifupa au nyama ya nguruwe. Hali ilikuwa mbaya sana. Nadhani ndio matokeo ya kizazi hiki kuwa na mashoga wengi sana maana wanatokana na Uzao wa Popo Bawa.