Siri ya popobawa Miaka ya 90 na Ushoga miaka yetu hii

Siri ya popobawa Miaka ya 90 na Ushoga miaka yetu hii

Nishakuta kesi sehemu Kuna Mzee wa watu miaka kama 60 hivi,,
Ni mgeni amekuja kutembea kwa ndugu,, akalala na vijana chumba kimoja,,
Mzee alipoona nii vijana wa miaka kama 22 akajiamini akalala na msuli..

Mzee asubuhi anashtuka anajikuta msuli upo kichwani halafu ameingiliwa ,,
Na wale vijana hawapo wameshatoka asubuhi Sana,

Mzee akaomba wale vijana waitwe aongee Nao,,vijana hawapokek simu.,.

Kila akiulizwa na wenyeji zake haelezi tatizo analia tu...yeye shida yake wale vijana 2 aliolala nao usiku.,
Mwishowe akaamua kufunguka yaliyomkuta,

Sometimes hawa Popobawa wanakuwa wachonganishi Sana,,
Sasa haikueleweka Mzee alitafunwa na nani? Popo Bawa au Popo nundu..Au wale vijana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapo nazn kulikuw n kikund cha wahun tuu huko USWAHILI maan popobawa alivum mitaa ya USWAHILI
Mbagala
Kigogo
Tabata

Ila ikija kimar , ubungo kinondoni mwenge teget hatukusikia hayo mabo inawezekan walikuw wanatumia daw za kulevvya au ushirikina tuu
 
Labda umesahau,
Visanga vya PopoBawa vilivuma zaidi Zanzibar nadhan, huku Bara ilikua sio sana.
 
I Was Popo Bawa in those years. Kapime Damu.
uzushi mtupu ati popobawa aliletwa kutoka uarabuni. Uzushi wa popobawa huwa unawaka moto pale panapokuwa na political tension visiwani.

Anza na mwaka 1971 ndipo hilo jini popobawa lilipoanza kutokea katika kisiwa cha Pemba. Hicho ni kipindi cha Karume 1 ambacho njaa ilikuwa nyingi na watu wasiojulikana walifanya kazi ya kupoteza baadhi ya watu hapo. Katika kipindi hichi popobawa wala hakuhusishwa na vijana wa kiume.

Popobawa lilizuka tena enzi za Salimini Amour na hapo lilihamia Zanzibar (hii ni enzi ya kipigo cha wapinzani) lakini bado lilikuwa halijaanza kuhusishwa na ushoga.

Sasa naona limehamia mpaka huku bara na linahusishwa na ushoga.

Uzushi mtupu
 
Wewe mtoto hujui kitu hata hujui popobawa ni nani. Na hujui alikuwepo miaka gani....uwe unauliza wakubwa wako dogo. Usiwe unadandia train kwa mbele. Unaweza kuwa pia na wewe ni matunda ya popo bawa 😁
 
Mpaka leo files zake zimekuwa classified. Hawataki kusema ukweli hasa nini kilitokea na ikawaje wakayafungulia yale majini yakaanza kuwa yana waingilia wanaume kinyume na maumbile.

Al maarufu Popo Bawa. Ulikuwa ni Uganga ilio fail sehemu. Yaliletwa toka huko Arabuni kwa minajiri flani. Yakawashinda waliopewa dhamana ya kuyatunza. Yakatoka.

Wanaume walikuwa hawalali....maeneo mengi watu walipasuliwa mayai. Mwanaume anaamka asubuhi nyuma amepasuliwa yai. Na sharti lilikuwa moja tu. Lazima uwaambie watu. Yaani lazima utangaze. Usipotangaza usiku tena unalo.

Watu walilazimika kulala na mifupa au nyama ya nguruwe. Hali ilikuwa mbaya sana. Nadhani ndo matokeo ya kizazi hiki kuwa na mashoga wengi sana maana wanatokana na Uzao wa Popo Bawa.
Source? : Trust me bro
 
Wewe mtoto hujui kitu hata hujui popobawa ni nani. Na hujui alikuwepo miaka gani....uwe unauliza wakubwa wako dogo. Usiwe unadandia train kwa mbele.
Tafadhali tuheshimiane, wewe ndiyo hujui historia ya popobawa.

Mwaka 1971 wakati popobawa alipokuwa ameshika kasi alikuwa na ngoma yake kabisa ikiitwa popobawa na mishono ya magauni ikiitwa popobawa.

Bora unyamaze tu kama huyajui subiri uelimishwe.

Unajua alikuweko mzungu Pemba aliyefanya utafiti kuhusu popobawa? Ameandika mpaka paper kabisa.
 
Umezaliwa mwaka gani? Maana watoto na wajukuu wa Popobawa wamo humu na wanaonekana tu.
 
Back
Top Bottom