Siri ya popobawa Miaka ya 90 na Ushoga miaka yetu hii

sasa lilikuwa likitokea linahusishwa na nini au lilikuwa linafanya matukio gani mpaka liwe maarufu kwa media
 
Ni nani aliwaleta hao viumbe? Na nani ameficha hizo files?

Unfortunately mwaka huo nilikua under 5 natamani kuelewa what happened
 
Popo bawa alikuwa hatari, breaking news zake tulikuwa tunazipata toka kwenye magazeti yaliyokuwa yanatoka mchana/alasiri; Dar Leo na Alasiri, utasikia tu jana usiku wametembekewa..... watatu Buguruni, Temeke 4, Mbagala 6, Kinondoni 4, Magomeni:7, Tandika 3 nk nk.
 
Popo bawa alikuwa hatari, breaking news zake tulikuwa tunazipata toka kwenye magazeti yaliyokuwa yanatoka mchana/alasiri; Dar Leo na Alasiri, utasikia tu jana usiku watatu Buguruni, Temeke 4, Mbagala 6, Kinondoni 4, Magomeni:7, Tandika 3 nk nk.
Mimi nimekulia Sinza.... Watu waliliwa sinza. Nikaanza kulala na mfupa wa kitimoto japo sikuwa natumia.
 
Usingizi Gani huo au madawa ,mambo ya akina teleza
 
Sinza, Kijitonyama ,posta waliliwa na Popobawa na Mh. Rais aliondolewa kwa muda Ikulu. Wewe bado mtoto huyajui mengi.
Hivi waliokuwa wakiingiliwa walikuwa wakipata madhara? au ilikuwa anakuja kiroho na anakuingilia kiroho madhara hayakuwa yakionekana kimwili na ndiomaana alikuwa anataka ujiseme kwa watu!.
 
Mimi nimekulia Sinza.... Watu waliliwa sinza. Nikaanza kulala na mfupa wa kitimoto japo sikuwa natumia.
Unadhani ni kwann alikuwa anawatafuna wanaume? Alikuwa na Ajenda gani?
Sisi wengine hakuna tunachojua na hatuwezi kukataa uwepo wake.
japo kwa wanaodai kuwa popo bawa alikuwa mhuni tu na janja janja ya watu waliokuzunguka inamake sense sana kuliko ambayo umejarbu kutueleza .
 
Mimi nilishuhudia mitaa ya mbagala jamaa kapigwa miti na popo bawa watu wanambeba anavuja damu wanampeleka hospiatal akawa anasema inaingia kama ya mtoto ikitoka inaharibu mkund* hatari yaan usiombe upigwe bao na popo bawa linakuwa la moto sana
Unaongea kwa experience ya hali ya juu hadi unajua kwamba ni lamoto sana
 
Mashoga wa enzi hizo kama kina Aunt Muddy wa Magomeni ilikua wakiingiliwa hawasemi makusudi, ili waendelee kupitiwa tena kwa mara ingine
 
sasa lilikuwa likitokea linahusishwa na nini au lilikuwa linafanya matukio gani mpaka liwe maarufu kwa media
Enzi hizo ikisemekana lilikuwa linavamia wanawake, lakini ukiuliza ni nani hasa utaambiwa nyumba ya jirani (hakuna jina) au mtaa mwingine wa mbali kidogo. Ndiyo maana nikasema ni uzushi. Na hakuna aliyewahi kusema ameliona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…