Siri ya utajiri: Hizi ndio siri nne zitakazo kufanya uwe tajiri

Siri ya utajiri: Hizi ndio siri nne zitakazo kufanya uwe tajiri

Utajiri tena? Tajiri yupi unamjua alianza na hii mitaji ya nyanya akatoboa? yupo(wapo) taja.

Hakuna kanuni iko true kwa kila mtu au katika kila context.Najua lengo ni kukumbushana lakini hizi sababu zako haziko true in every context.

Nimezaliwa nakuona watu wakitia juhudi bado unaona mambo yanagoma,nimeona pia watu wakiweka juhudi kidogo lakini mafanikio debe(maana yangu ni kwamba maisha yetu hapa duniani ni ubatili mtupu)

Kikubwa tu kuomba Mungu(kwa wanao amini) na kuishi tu hii ndio siri ya utajiri
Unaweza Kuta hao uliowaona wakitumia juhudi hawakufanikiwa pengine walitumia juhudi pekeake wakasahau nidhamu na maarifa
 
Siri kubwa ya mafanikio katika maisha ni:
1. Kuwa na nidhamu na pesa,
pesa zipi na hauna hata ajira wala biashara
2. Kuwa na marafiki wa kukujenga,
labda marafiki wa kukupa pesa-hii ndo iwe namba 2
3. Kumuomba Mungu huku ukifanya kazi kwa bidii,
iwe namba moja ya 1
4. Tumia muda wako kufanya kazi; Kama ni biashara hakikisha unatumia muda wako katika biashara hiyo
Naomba tumalizie hapa hasa sisi vijana:
Kusema kwamba matajiri walianza na mtaji wa mamilioni kadhaa unajidanganya, ukweli ni kwamba wapambanaji hawakuanza na mtaji wa milioni, laki moja wala elfu 50, wengine walianza na elfu 30 pekee na wengine hata mtaji wa sifuri (0).
hizo ni siri kwa mwenye channel za kupata pesa
kama huna pesa, hiyo nidhamu uwe nayo ya kutunza mia
 
Maisha hayana formula,angalia hata hapa Tanzania,Mwijaku na Baba Lebo Wana maisha mazuri kuliko msomi w kawaidan hapa bongo
Utajiri tena? Tajiri yupi unamjua alianza na hii mitaji ya nyanya akatoboa? yupo(wapo) taja.

Hakuna kanuni iko true kwa kila mtu au katika kila context.Najua lengo ni kukumbushana lakini hizi sababu zako haziko true in every context.

Nimezaliwa nakuona watu wakitia juhudi bado unaona mambo yanagoma,nimeona pia watu wakiweka juhudi kidogo lakini mafanikio debe(maana yangu ni kwamba maisha yetu hapa duniani ni ubatili mtupu)

Kikubwa tu kuomba Mungu(kwa wanao amini) na kuishi tu hii ndio siri y
 
Unaweza Kuta hao uliowaona wakitumia juhudi hawakufanikiwa pengine walitumia juhudi pekeake wakasahau nidhamu na maarifa
Inawezekana lakini nani anajibu kwamba maarifa na nidhamu walikosa.Hii dunia ina mengi yasiyoelezeka kuwa tajiri au kuwa masikini sio shida kwa maana kama kuna tajiri basi kuna masikini.

Somo linatakiwa liwe hili,kila mtu atende kulingana na wakati unasemaje na vitu alivyonavyo wakati huo na mwisho kabisa tuishi tu
 
Utajiri ni nini ?

Kwa tafsiri yako na muktadha wa huu uzi ?
Utajiri ni hali ya kuwa na mali nyingi au rasilimali ambazo zinaweza kumruhusu mtu au kikundi cha watu kuishi maisha yenye ustawi na fursa nyingi. Utajiri unaweza kujumuisha mali kama vile pesa, ardhi, majengo, hisa, biashara, magari, na vitu vingine vyenye thamani.
 
Hiko vizuri tafsiri yako lakini mali ili ziwe nyingi zinahitajika kiasi gani ili tujue labda kila mtu ni tajiri(What I mean here,these things of poverty and wealth are complicated concepts) kikubwa tuishi na kumbuka,death favors no man
 
Utajiri ni hali ya kuwa na mali nyingi au rasilimali ambazo zinaweza kumruhusu mtu au kikundi cha watu kuishi maisha yenye ustawi na fursa nyingi.
Kwahio pesa sio necessarily yaani unaweza usiwe na pesa nyingi ila ni tajiri;

Je ustawi ni matamanio (yaani ukiacha basic needs) ustawi unafanana ? au wewe binafsi unaweza ukajiona umestawi au kumshangaa mwingine hajastawi ingawa anaweza aka-afford ustawi wako lakini hauhitaji ?

Je kabla haujaanza kuutafuta huo utajiri si ni bora kwanza ujue kwako binafsi utajiri unamaanisha nini ?
Utajiri unaweza kujumuisha mali kama vile pesa, ardhi, majengo, hisa, biashara, magari, na vitu vingine vyenye thamani.
Kwa dunia ya sasa kupata hivyo unahitaji connection; (unaweza ukazaliwa na surname fulani ukawa sorted maisha yako yote - au ukaoa the right family; au una good salesmanship skills (rubbing people the right way) au kama una kitu ambacho watu wanakitaka vyote hivyo vinaweza vikakufuata kama sumaku na vumbi la chuma...

Binafsi siongelei utajiri tu; chochote unachotaka ukiwa na Desire / Kiu ya hicho kitu itakufanya upambane kwa udi na uvumba ili ukipate bila kukata tamaa wala kuchoka by hooks or crooks (na since utatumia muda wako mwingi lazima utapata ujuzi wa kufanikisha ndoto yako).

Shida most people don't even know that they don't know what they really want.... Hence an infinitum race chasing an illusion...
 
Back
Top Bottom