Kwa hiyo unataka akwambie alichokuwa anakifanya nje ya U-Dj?!Kutoka kuwa Dj,hadi kuwa mmiliki wa media. Kuna kitu cha ziada alikuwa anakifanya wakati wa U dj kinyume na hapo maswali magumu yanamuhusu.
Sikuwahi kutegemea kama na wewe Mange ni Role Model wako.kwakweli hata Mimi kwa kiasi nakubaliana na Mange.
huyu jamaa kuna kitu cha ziada.
Ila Radio station na TV ni mahala pa kusafishia hela.
simpendi vibaya vibaya..Sikuwahi kutegemea kama na wewe Mange ni Role Model wako.
Kweli akili yako ndio imeishia hapo,no wonder hii vita ya madawa ya kulevya hatuwezi toboa!Hivi ni lazima mtu kuweka wazi siri ya mafanikio yake?
Huyo Mange aliripoti kituo gani cha polisi? Vijana huwa wanajidai wana uchungu na maendeleo na wanapenda maendeleo lakini kijana mwenzao akiendelea basi watampiga vita hadi....huyo Mange huwa ana ugomvi na kila aliyefanikiwa...
Kwanini vijana wote msiungane na nyinyi mfanye hizo biashara ili mfanikiwe kama majizzo kama mnafikiri ni rahisi kiasi hicho?
Mimi ninachofurahi kutoka kwa Majjizo ni kutupa burudani na kutuhabarisha na pia kuleta ushindani.
Mil 50-60 unafungua kituo cha redio! Hata diamond alikuwa anasafirisha ungaKutoka kuwa Dj,hadi kuwa mmiliki wa media. Kuna kitu cha ziada alikuwa anakifanya wakati wa U dj kinyume na hapo maswali magumu yanamuhusu.
Inaitwa ufukunyuku general trading.Mtoa mada ofisi yako inaitwaje?
Fasta fasta kama Mil 50 au 60Kwani kusajili kituo cha redio na mitambo yote bei gani mpaka umfikirie hivyo?
Ok.... kumbe ni handsome money ee?Fasta fasta kama Mil 50 au 60
Labda kauza nyumba ya Urithi? Wazazi wake unawajua??kwakweli hata Mimi kwa kiasi nakubaliana na Mange.
huyu jamaa kuna kitu cha ziada.
Ila Radio station na TV ni mahala pa kusafishia hela.
kea nyumba ganiLabda kauza nyumba ya Urithi? Wazazi wake unawajua??
Unampenda ndio maana unamsoma na kukubaliana na Hoja zake.simpendi vibaya vibaya..
Ila nmesema kwa hii hoja nakubaliana nae..
nakubaliana na hoja sio mange kimambi.
Kama unayo evidence ya wrong doing then you have the right to question lakini kama huna kinachokusumbua ni majungu na roho ya umaskini. KWamba kwanini mimi sina wao wanacho. F.u.c.k Dude change that stupid mindset sababu ni ya kilofa. You don't need 10 years to be a millionaire even five years is enough to hit a 1 million dollar mark..Kwa hiyo jaribu kuhangaika na maisha yako unless kama unao ushahidi kwamba anafanya kitu ambacho siyo lakini kama huna just shut up anfd focus on looking for money to feed your family. Mnalia lia hali ngumu wakati badala kuzidirect akiliu katika utafutaji wa pesa mnazi direct katika utafutaji wa majungu..
Utachelewa kufanya yako.mbona haujauliz utajiri wa ridhiwanMajee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mm enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari... Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa...sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution... Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.
It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...