Siri ya utajiri wa Majizzo

Siri ya utajiri wa Majizzo

Kutoka kuwa Dj,hadi kuwa mmiliki wa media. Kuna kitu cha ziada alikuwa anakifanya wakati wa U dj kinyume na hapo maswali magumu yanamuhusu.
Kwa hiyo unataka akwambie alichokuwa anakifanya nje ya U-Dj?!

We unatuambiaga unachokifanya nje ya Jamii Forum?!

Hapo hakuna Maswali magumu wala Maswali mepesi bali kuna Maswali ya kimbea na kinafiki kisa jamaa anapiga bao
 
Hivi ni lazima mtu kuweka wazi siri ya mafanikio yake?
Huyo Mange aliripoti kituo gani cha polisi? Vijana huwa wanajidai wana uchungu na maendeleo na wanapenda maendeleo lakini kijana mwenzao akiendelea basi watampiga vita hadi....huyo Mange huwa ana ugomvi na kila aliyefanikiwa...
Kwanini vijana wote msiungane na nyinyi mfanye hizo biashara ili mfanikiwe kama majizzo kama mnafikiri ni rahisi kiasi hicho?

Mimi ninachofurahi kutoka kwa Majjizo ni kutupa burudani na kutuhabarisha na pia kuleta ushindani.
Kweli akili yako ndio imeishia hapo,no wonder hii vita ya madawa ya kulevya hatuwezi toboa!
 
Una protea Nafasi kubwa ya kufikiri vyema maswala Yako Binafsi kwa kufikiria maswala ya watu Wengine...
People are earning people are saving and invest they target and win let them roll dude
 
Kwa hiyo mleta mada unashauri afunge hicho kituo cha radio na tv?
 
Kama unayo evidence ya wrong doing then you have the right to question lakini kama huna kinachokusumbua ni majungu na roho ya umaskini. KWamba kwanini mimi sina wao wanacho. F.u.c.k Dude change that stupid mindset sababu ni ya kilofa. You don't need 10 years to be a millionaire even five years is enough to hit a 1 million dollar mark..Kwa hiyo jaribu kuhangaika na maisha yako unless kama unao ushahidi kwamba anafanya kitu ambacho siyo lakini kama huna just shut up anfd focus on looking for money to feed your family. Mnalia lia hali ngumu wakati badala kuzidirect akiliu katika utafutaji wa pesa mnazi direct katika utafutaji wa majungu..

It's you to change your mind-set. If your peers blow up right in front of your eyes, it's only natural to wanna know how they did it, to see what you can learn from their moves.
 
Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mm enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari... Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa...sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution... Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.

It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
Utachelewa kufanya yako.mbona haujauliz utajiri wa ridhiwan
 
Back
Top Bottom