Siri ya utajiri wa Majizzo

Mnajua redio inazalisha kiasi gani wakuu?is all about strategies aiseee
The guys have been in industry for more than a decade so he knows this business nje ndani
 
Acha uongo,wana tangazo moja tu la Lake oil ndio linasikika mara kwa mara. Haya matangazo ya Tigo,Voda,Airtel yanasikika mara chache sana na zaidi ya hapo hawana tangazo kutoka kampuni nyingine.
Utakua na efm radio yako mkuu sio hii tunayosikiliza sisi
 
U have a point but u r being so rude mkuu
 

kwani bosi wa clouds RUGE alianzia wap kama sio udj?kwann tusianze kuhoji kwa Ruge then kwa dj majizzo?ukipata jibu hapo bas post utadelete
 
Ongera kaka majizo piga kazi wanaokudiscuss wache wajiulize utajiri umeupataje maisha ni kuthubutu jaribuni na nyie
 
Kutoka kuwa mcheza shoo Kinyope na Rutamba Lindi vijijini mpaka uDJ mpaka kuwa mmiliki wa TV&Radio Station
 
I think wengi wetu tumepanic tu na tunatoka nje ya Mada, Mkuu hajauliza kwa maana mbaya basi tu wengi wetu tumeichukulia tofauti. Mmewah kusikia msemo huu "street news is also news?" Ishu hua hazianzi from now WHR hua zinaanza na tetesi iwe kazileta mange au whoever the hell is.

Mi personally I knw majizzo kwa hustle zake na uhusiano wake na mama sweya but unajua pia kuhusu maisha na dtv na sioni mbaya kama mange au yeyote akimhusisha na ngada sababu baadhi ya maisha ya MTU huwez jua

As long as efm unafanya biashara ya public ni haki ya kila MTU kuhoji anachojiskia
Kwangu mm nadhan maisha ya majizo yanatoa funzo kwa Vijana wengi so instead ya kufikiria sana negative t ungekua tunafikiria positive na sisi tutoke

MY CONCLUSION :Whatever the hell he did akawa hapo alipo "BIG UP MAJJIZO"
 
Vijana wa Tanzania TUBADILI FIKRA.. Tanzania bado ni nchi unayoweza kutoboa kirahisi kama ni mbunifu na unajituma. Hapa TZ ukiwa ma 5m na ukawa mbunifu zinatosha kabisa kukuanzishia safari ya kuwa milionea ndani ya muda mfupi kihalali kabisa. Kwa hiyo miaka 10 imetosha kabisa kumfanya Majizo kuwa milionea. Vijana tuache uvivu, uoga na fikra nyepesi tulizozizoea.
 
Learn to mind your own Business, unataka ujue source ya utajili wa mtu halafu iweje sasa. mbona hamna mtu anaetaka kujua source ya umaskin, fanya kazi ujikwamue acha mboyoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…