Siri ya utajiri wa Majizzo

Siri ya utajiri wa Majizzo

Mange anamwekaga ktk ile list yake,hata mm naamini ,maana jamaa anachokifanya ni kama kutakatisha fedha,amekuja na radio haina hata miaka mitano na haina hata coverage nusu ya tz nzima analeta TV,bora hata redio tungeona imejiimarisha na matangszo ya kutosha,redio yenyewe matangazo ya kuokoteza,hii faida gani ndani ya muda mfupi imefanya azalishe TV?? Huyu naanza kuamini maneno ya Mange,kuuza ngada
Mnajua redio inazalisha kiasi gani wakuu?is all about strategies aiseee
The guys have been in industry for more than a decade so he knows this business nje ndani
 
Acha uongo,wana tangazo moja tu la Lake oil ndio linasikika mara kwa mara. Haya matangazo ya Tigo,Voda,Airtel yanasikika mara chache sana na zaidi ya hapo hawana tangazo kutoka kampuni nyingine.
Utakua na efm radio yako mkuu sio hii tunayosikiliza sisi
 
Kama unayo evidence ya wrong doing then you have the right to question lakini kama huna kinachokusumbua ni majungu na roho ya umaskini. KWamba kwanini mimi sina wao wanacho. F.u.c.k Dude change that stupid mindset sababu ni ya kilofa. You don't need 10 years to be a millionaire even five years is enough to hit a 1 million dollar mark..Kwa hiyo jaribu kuhangaika na maisha yako unless kama unao ushahidi kwamba anafanya kitu ambacho siyo lakini kama huna just shut up anfd focus on looking for money to feed your family. Mnalia lia hali ngumu wakati badala kuzidirect akiliu katika utafutaji wa pesa mnazi direct katika utafutaji wa majungu..
U have a point but u r being so rude mkuu
 
Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mm enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari... Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa...sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution... Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.

It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...

kwani bosi wa clouds RUGE alianzia wap kama sio udj?kwann tusianze kuhoji kwa Ruge then kwa dj majizzo?ukipata jibu hapo bas post utadelete
 
Ongera kaka majizo piga kazi wanaokudiscuss wache wajiulize utajiri umeupataje maisha ni kuthubutu jaribuni na nyie
 
Kutoka kuwa mcheza shoo Kinyope na Rutamba Lindi vijijini mpaka uDJ mpaka kuwa mmiliki wa TV&Radio Station
 
I think wengi wetu tumepanic tu na tunatoka nje ya Mada, Mkuu hajauliza kwa maana mbaya basi tu wengi wetu tumeichukulia tofauti. Mmewah kusikia msemo huu "street news is also news?" Ishu hua hazianzi from now WHR hua zinaanza na tetesi iwe kazileta mange au whoever the hell is.

Mi personally I knw majizzo kwa hustle zake na uhusiano wake na mama sweya but unajua pia kuhusu maisha na dtv na sioni mbaya kama mange au yeyote akimhusisha na ngada sababu baadhi ya maisha ya MTU huwez jua

As long as efm unafanya biashara ya public ni haki ya kila MTU kuhoji anachojiskia
Kwangu mm nadhan maisha ya majizo yanatoa funzo kwa Vijana wengi so instead ya kufikiria sana negative t ungekua tunafikiria positive na sisi tutoke

MY CONCLUSION :Whatever the hell he did akawa hapo alipo "BIG UP MAJJIZO"
 
Vijana wa Tanzania TUBADILI FIKRA.. Tanzania bado ni nchi unayoweza kutoboa kirahisi kama ni mbunifu na unajituma. Hapa TZ ukiwa ma 5m na ukawa mbunifu zinatosha kabisa kukuanzishia safari ya kuwa milionea ndani ya muda mfupi kihalali kabisa. Kwa hiyo miaka 10 imetosha kabisa kumfanya Majizo kuwa milionea. Vijana tuache uvivu, uoga na fikra nyepesi tulizozizoea.
 
Learn to mind your own Business, unataka ujue source ya utajili wa mtu halafu iweje sasa. mbona hamna mtu anaetaka kujua source ya umaskin, fanya kazi ujikwamue acha mboyoyo
 
Back
Top Bottom