gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,610
Mnajua redio inazalisha kiasi gani wakuu?is all about strategies aiseeeMange anamwekaga ktk ile list yake,hata mm naamini ,maana jamaa anachokifanya ni kama kutakatisha fedha,amekuja na radio haina hata miaka mitano na haina hata coverage nusu ya tz nzima analeta TV,bora hata redio tungeona imejiimarisha na matangszo ya kutosha,redio yenyewe matangazo ya kuokoteza,hii faida gani ndani ya muda mfupi imefanya azalishe TV?? Huyu naanza kuamini maneno ya Mange,kuuza ngada
The guys have been in industry for more than a decade so he knows this business nje ndani