Siri ya utajiri wa Majizzo

Siri ya utajiri wa Majizzo

Kila siku Mh Rais anasema fanyeni kazi vijana ila wewe Umekalia stori za vijiweni.
Mwenzio mjasilia mali Yule.. Hivi unazifahamu Maisha Club..? Investment ilianzia kule na Anaifahamu tasnia ya Media kwa uzuri ndomana Radio yake imepata listerners wengi. pia Anashirikiana na Ndg Yake.

Sasa ushauri. Fanya kazi kaka acha maneno
 
Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mm enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari... Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa...sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution... Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.

It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...

Ushasema kuwa alikuwa DJ maarufu na mchapa kazi...
Afu unashangaa kapiga pesa ndefu na investment safi katika fani hiyo hiyo.
Logic inakuumbua.
Utakuja kuitwa mwanga hivi hivi.
 
Matangazo yapi hayo mkuu,nitajie matangazo wanayotangaza zaidi ya mitandao ya simu (kwa uchache) na lake oil?
Mimi huwa naskiliza kipindi cha michezo

Mimi huwa naskiliza kipindi cha michezo tu makampuni ya simu karibu yote+DSTV huwa wanadhamini hicho kipindi .Kwa hiyo wamiliki wa Magic FM,Jembe FM,Radio 5,Times FM nao wanauza sembe?
 
Kutoka kuwa Dj,hadi kuwa mmiliki wa media. Kuna kitu cha ziada alikuwa anakifanya wakati wa U dj kinyume na hapo maswali magumu yanamuhusu.
Alifanya kazi kwa malengo.2007 nilikua dobi leo namiliki duka lenye thamani ya m.200 na ninamakazi na ninamashamba ya miti so ni malengo
 
Hivi ni lazima mtu kuweka wazi siri ya mafanikio yake?
Huyo Mange aliripoti kituo gani cha polisi? Vijana huwa wanajidai wana uchungu na maendeleo na wanapenda maendeleo lakini kijana mwenzao akiendelea basi watampiga vita hadi....huyo Mange huwa ana ugomvi na kila aliyefanikiwa...
Kwanini vijana wote msiungane na nyinyi mfanye hizo biashara ili mfanikiwe kama majizzo kama mnafikiri ni rahisi kiasi hicho?

Mimi ninachofurahi kutoka kwa Majjizo ni kutupa burudani na kutuhabarisha na pia kuleta ushindani.
kungekuwa na like mbili ningekupa ndio shida yetu watanzania! anayehoji siajabu bado yupo kwa shemeji yake
 
Fanyeni kazi mambo ya utajiri wa MTU haukusaidii kitu tafuta chako
kama unaona vipi na wewe kajaribu hiyo biashara yake labda unaweza ukatoka
 
Mange anamwekaga ktk ile list yake,hata mm naamini ,maana jamaa anachokifanya ni kama kutakatisha fedha,amekuja na radio haina hata miaka mitano na haina hata coverage nusu ya tz nzima analeta TV,bora hata redio tungeona imejiimarisha na matangszo ya kutosha,redio yenyewe matangazo ya kuokoteza,hii faida gani ndani ya muda mfupi imefanya azalishe TV?? Huyu naanza kuamini maneno ya Mange,kuuza ngada
Wabongo banaaa...sasa ukijua itakusaidia nini..wacha tabia hizo Dada Mange .
 
Ahaaa Ahaaa mimi Mzaramo wa Msanga Ngongele
Wa ukae leo utazitaja zote kama ni visiga au msanga sokoni itajulikana . Kuna yale mambo umekaa na wife kibarazani anapita jirani wife anakwambia "jirani yetu baba marium mchapa kazi kweli kanunua gari na nasikia anajenga nyumba nyingine kule mbagala "wewe unatoa jibu jepesi tu "achana nae hayo ndio majizi ya mjini hapa "so tuna safari ndefu ukiwa masikini shida ukiwa tajiri shida ila bora uwe tajiri wapate kukuongelea kama hivi .
 
Mil 50-60 unafungua kituo cha redio! Hata diamond alikuwa anasafirisha unga
Boss nina ndugu angu ana radio nilimsaidia kununua vifaaa majuu. Hio million 60 ni bei ya vifaa vya studio tu hahahah. Radio weka million 150 hadi 300. Maana leseni yenyewe million 30 (5 years) mtambo million 75 na unahitaji bank statement yenye 1 Billion. sasa hiyo 60 ya kwako boss labda ufungue redio ya kata.
 
Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari

Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution.

Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.

It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
Ni biashara za watu hizo yeye kawekwa front kama msimamizi mkuu
 
less than 10 yearsinatosha sana kua tajir bro,kama ukifanya investment ya maana. Kwa mfano ukiinvest kwenye kilimo cha MITI ya mbao,karatasi na mikingot, in 10 years tayar ni tajir. So usishangae na kuanza kufikir v2 ambavyo n negatives....
 
Tafuta pesa wewe, vyahalali anavijua Mungu mengine hayo unayoleta ni majungu, wanawake tunataka pesa hatutaki kujua umezitoa wapi
 
Back
Top Bottom