essaugervas
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 580
- 280
wewe uajishugulisha na nini kwanza tuanzie hapo???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiuza ngada ww unawashwa nn kwa mfanoMange anamwekaga ktk ile list yake,hata mm naamini ,maana jamaa anachokifanya ni kama kutakatisha fedha,amekuja na radio haina hata miaka mitano na haina hata coverage nusu ya tz nzima analeta TV,bora hata redio tungeona imejiimarisha na matangszo ya kutosha,redio yenyewe matangazo ya kuokoteza,hii faida gani ndani ya muda mfupi imefanya azalishe TV?? Huyu naanza kuamini maneno ya Mange,kuuza ngada
Unaongea ivyo kwavile hakuna Ndugu yako yoyote aliyeathirika na hayo madawaAkiuza ngada ww unawashwa nn kwa mfano
Mkuu Kama Kuna Kitu unataka Kusema ila kama Unapinda Pinda hivi hautaki Kunyooka.Huyo Mama Sweya ndio yule aliyempa kiburi Mr. Nice enzi zake akiwa TBL?
Kwani Ni Uongo! vijana wetu wana puputika kisa wapuuzi wachache wenye tamaa ya ukwasiTafuta Cha kwako....ukishajua siri za utajiri wake alafu utafanya nini?!
Role Model wako Mange Kimambi kishakwambia anauza Unga na wewe unavyomuamini Mange umeamua kukubauliana nae sasa unatuuliza maswali ya kutuchora ili iweje?!
Mkuu kuna watu wanajua kuchangamkia fursa, wakiwa oysterbay kuna wakati iliungua moto...itakuwa waliipiga kibiriti ili waclaim hela ya bima.Yaa, na ndo mmiliki wa disco maisha basement, na maisha club mtwara na Dodoma.
Ungeanza kuja wwe utueleze asili ya umasikini wako ni nini na kwann wwe ni masikini ukishaeleza ndio atakuja yeye.Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari
Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution.
Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.
It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
Hakuna mkuu, wenye kuyajua wamo humuhumu katika huu uzi.Mkuu Kama Kuna Kitu unataka Kusema ila kama Unapinda Pinda hivi hautaki Kunyooka.
Acha kamba we jamaa! kufungua simple station ya radio haizidi mil 60Boss nina ndugu angu ana radio nilimsaidia kununua vifaaa majuu. Hio million 60 ni bei ya vifaa vya studio tu hahahah. Radio weka million 150 hadi 300. Maana leseni yenyewe million 30 (5 years) mtambo million 75 na unahitaji bank statement yenye 1 Billion. sasa hiyo 60 ya kwako boss labda ufungue redio ya kata.
Kiongozi umetisha,umepita humo humoE-FM ni ya mama Sweya mmiliki wa maisha club... Majizzo wapambe tu... Kama clouds mpambe rugemalira ila mmiliki joe kusaga (kusaga family)
Haaaaaaa Maana Umeunganisha Huyo Mama na Mr. Nice,Mara Huyo Mama ndio Mmiliki wa Maisha,E-Fm/Etv,mara Majizo ndio Boss wa Maisha/Efm/TV,Kuna uzi Humo Umu ukisema Huyo Mama alikuwa ana affairs na Mr. Nice ,Kisha Akaenda Kwa Majizo 4 Shizo.Hakuna mkuu, wenye kuyajua wamo humuhumu katika huu uzi.
Mil 60 unaweza kufungukwa radio za mjini tu za mikoani ila hizi za local kwa hela hiyo na zaid sawaBoss nina ndugu angu ana radio nilimsaidia kununua vifaaa majuu. Hio million 60 ni bei ya vifaa vya studio tu hahahah. Radio weka million 150 hadi 300. Maana leseni yenyewe million 30 (5 years) mtambo million 75 na unahitaji bank statement yenye 1 Billion. sasa hiyo 60 ya kwako boss labda ufungue redio ya kata.
Hata Mbowe alikuwa DJ lakini now ni tajiri mkubwaMajee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari
Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution.
Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.
It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
Familia yake ilikuaje?Hata Mbowe alikuwa DJ lakini now ni tajiri mkubwa