Siri ya utajiri wa Majizzo

Siri ya utajiri wa Majizzo

Mange anamwekaga ktk ile list yake,hata mm naamini ,maana jamaa anachokifanya ni kama kutakatisha fedha,amekuja na radio haina hata miaka mitano na haina hata coverage nusu ya tz nzima analeta TV,bora hata redio tungeona imejiimarisha na matangszo ya kutosha,redio yenyewe matangazo ya kuokoteza,hii faida gani ndani ya muda mfupi imefanya azalishe TV?? Huyu naanza kuamini maneno ya Mange,kuuza ngada
Akiuza ngada ww unawashwa nn kwa mfano
 
*HAYA TENA KWA MARA NYINGINE TENA BAHATI HAIJI MARA MBILI* *JE, WAJUA BANDO NA SIMU YAKO NI MTAJI TOSHA?*Kama huna ajira na unataka kuongeza kipato chako *Furusa hiyo fungua link hii http://jamiiforums.com/?refcode=102945
ujipatie pesa haraka sana kuliko kupoteza bando bila faida yoyote jaribu sasa uwaambie na members wengine watumie furusa hii*
 
Tafuta Cha kwako....ukishajua siri za utajiri wake alafu utafanya nini?!

Role Model wako Mange Kimambi kishakwambia anauza Unga na wewe unavyomuamini Mange umeamua kukubauliana nae sasa unatuuliza maswali ya kutuchora ili iweje?!
Kwani Ni Uongo! vijana wetu wana puputika kisa wapuuzi wachache wenye tamaa ya ukwasi
 
Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari

Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution.

Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.

It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
Ungeanza kuja wwe utueleze asili ya umasikini wako ni nini na kwann wwe ni masikini ukishaeleza ndio atakuja yeye.
 
Boss nina ndugu angu ana radio nilimsaidia kununua vifaaa majuu. Hio million 60 ni bei ya vifaa vya studio tu hahahah. Radio weka million 150 hadi 300. Maana leseni yenyewe million 30 (5 years) mtambo million 75 na unahitaji bank statement yenye 1 Billion. sasa hiyo 60 ya kwako boss labda ufungue redio ya kata.
Acha kamba we jamaa! kufungua simple station ya radio haizidi mil 60
 
Hakuna mkuu, wenye kuyajua wamo humuhumu katika huu uzi.
Haaaaaaa Maana Umeunganisha Huyo Mama na Mr. Nice,Mara Huyo Mama ndio Mmiliki wa Maisha,E-Fm/Etv,mara Majizo ndio Boss wa Maisha/Efm/TV,Kuna uzi Humo Umu ukisema Huyo Mama alikuwa ana affairs na Mr. Nice ,Kisha Akaenda Kwa Majizo 4 Shizo.
 
Boss nina ndugu angu ana radio nilimsaidia kununua vifaaa majuu. Hio million 60 ni bei ya vifaa vya studio tu hahahah. Radio weka million 150 hadi 300. Maana leseni yenyewe million 30 (5 years) mtambo million 75 na unahitaji bank statement yenye 1 Billion. sasa hiyo 60 ya kwako boss labda ufungue redio ya kata.
Mil 60 unaweza kufungukwa radio za mjini tu za mikoani ila hizi za local kwa hela hiyo na zaid sawa
 
Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari

Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution.

Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.

It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
Hata Mbowe alikuwa DJ lakini now ni tajiri mkubwa
 
Si nilipata kusikia kuwa izo pesa aliwahi kuhongwa na bebi mama wake wa kizungu enzi hizo wkt anafanyia billicanas
 
Kama unamtaji wa kuwekeza kwa nn usubiri faida ya redio, ww hata barabara waliendelea huwa njia nne SIO LAZIMA uende then urudi NA ingine
 
Back
Top Bottom