jambo ambalo watu hawalijui ni kwamba majizo ametokea kwenye familia ya kishua baba yao alikua anajiweza na hata ukiangalia familia yao wako vizur na hii investment ya EFM ukiangalia wamiliki wake karibia wote ni ndugu,watu wamesahau kuwa wakina majizo ndo walikua wakimiliki ile club maarufu kule masaki ya maisha club,ndugu yke anayemfuata ndo alikua akiisimamia akishirikiana na mama mmoja nimemsahau jina kwahiyo ukwasi wake wa pesa sio wa u dj ni familia iko vizur