kilaza mjanja
JF-Expert Member
- Jun 2, 2016
- 654
- 1,144
siku moja kabla ya kuwasilishwa kwa mswaada wa sheria ya habari, jana usiku hapa ikulu kumefanyika kikao maalumu kikiongozi na viongozi waandamizi wa serikali hii kuhusu namna ya kuhakikisha muswada unapitishwa pasipokuwa na upinzani uliopitiliza.
Moja ya watu waliokuwa wakiogopwa na serikali hii ni Tundu lissu kuwa yeye ni mbobezi kwenye maswala ya kisheria na kuwa kwa namna yoyote ile asingeweza kukubali muswada huu kuweza kupita kirahisi kwa kujenga hoja zenye kuumbua muswada husika.
kikao hicho kilichoongozwa na balozi kijazi kililenga kuongeza nguvu ya kuudhoofisha nguvu za upande wowote ule utakao kinzana serikali juu ya mswada huu.
kupitia hapo ndipo akaagizwa mwanasheria wa serikali kuwa anahakikisha kesi ya lissu na zuio la kutokutoka nje ya dar es salaam analiwasilisha mahakama ya kisutu ili kufanikisha mpango huo pia ikumbukwe kuwa kabla ya bunge lissu alikuwa mkoani mara kwa shuguli za kisheria na hakuna katazo wala wito uliotolewa kipindi hicho kwani walijua wakimuita kipindi hicho mpaka bunge lianze kujadili hoja hiyo yawezekana akawa amepatiwa dhamana na kumfanya kuomba kibali cha kwenda kushugulika na shuguli hio.
katika kikao hicho pia, wabunge wote wa ccm wenye mlengo wa kutaka kukwamishwa mswada huo wamepewa taharifa ya kujiweka kando ama kutoshiriki kukwamisha swala hilo.
Kwa mapenzi mema ya Taifa langu nimeamua kuwasilisha swala hili pasipo kuhofia maisha yangu kwani na mimi ni mjumbe wa kikao tulichokifanya jana.
ni mimi
kilaza mjanja wa magogoni