Tetesi: Siri yafichuka juu ya kukamatwa kwa Tundu Lissu

Tetesi: Siri yafichuka juu ya kukamatwa kwa Tundu Lissu

Heri warabu wanaeleweka kuliko wafrika
 
Wapitishe tu huo muswada kama walifuta uchaguzi huru wa Zanzibar,

kwa kumtumia M/kiti wa tume Jecha ,hatuwezi washangaa kwa hili la muswada,

Utawaamini CCM kwa lipi yaliyotokea Kinondoni kila mtu anajua hila walizofanya.
 
Mkuu unadhani Lissu ana makosa makubwa sana ya kustahili kukamatwa kuliko Lugumi, Chenge, Tibaijuka, Rugemarila na mafisadi wote wa Escrow!?

Maswali ya kujiuliza

1. Je ! ni kweli anakesi ya jinai mahakamani? !! kama ndio

2. Je ! yupo nje kwa dhamana?!!!!!!!!!!!!!! kama ndio

3. Tarehe iliyopangwa kesi hakuuduria bila ruhusa ya mahakama????!!!!!!!kama ndio

4. Hiyo yaitoshi kuitwa " kuidharau nahakama kwa kukiuka kwa kuvunja kwa makusudi " MKATABA WA DHAMANA" ?? Kama ndio!!!!!!!!!!!!!!

5. Watuhumiwa wengine wanapovunja kwa makusudi mkataba wa dhamana nini ambacho mahakama hufanya!!!!!!!!!!!!??

6. Kama ni kutoa ARREST WARRANT na kufuta dhamana kwa nini kisifanyike kwake !!! ikiwa ni njia pekee ya mahakama inayoweza kuitumia ili aweze kupatikana kiurahisi kusikiliza kesi yake kwa kuletwa mahakamani na askari magereza kwa amri ya mahakama pale anaposhidwa kujileta mwenyewe?????

7. Tuache kuunganisha vitu ambavyo havipo tuheshimu sheria.
 
Nawaambieni enyi watawala wa nchi hii,kamwe Tanzania haitokuwa North Korea.
Hilo sahauni.
 
Yaani bavichaa kweli mmegeuka waenda wa kule wazimu. Unamtetea mtu muongo kama lisu. Wala lisu siyo mbobezi wa sheria bali ni mtu fulani mropokaji tu wala hajui chochote
 
Tumesha wazoea na "paka chongo zenu zilizopitwa na wakati"....
Kila msumeno wa sheria ukifanyakazi upande wenu, mnazua!....Mbowe vs NHC, mlisema hujuma ya serikali....Sumayi vs sheria ya mkataba wa kuendeleza mashamba..mkadai hivyo hivyo...uzembe wa kutohudhuria mahakama pasi na taarifa, ukishugjulikiwa...oh! Hujuma....
 
siku moja kabla ya kuwasilishwa kwa mswaada wa sheria ya habari, jana usiku hapa ikulu kumefanyika kikao maalumu kikiongozi na viongozi waandamizi wa serikali hii kuhusu namna ya kuhakikisha muswada unapitishwa pasipokuwa na upinzani uliopitiliza.

Moja ya watu waliokuwa wakiogopwa na serikali hii ni Tundu lissu kuwa yeye ni mbobezi kwenye maswala ya kisheria na kuwa kwa namna yoyote ile asingeweza kukubali muswada huu kuweza kupita kirahisi kwa kujenga hoja zenye kuumbua muswada husika.

kikao hicho kilichoongozwa na balozi kijazi kililenga kuongeza nguvu ya kuudhoofisha nguvu za upande wowote ule utakao kinzana serikali juu ya mswada huu.

kupitia hapo ndipo akaagizwa mwanasheria wa serikali kuwa anahakikisha kesi ya lissu na zuio la kutokutoka nje ya dar es salaam analiwasilisha mahakama ya kisutu ili kufanikisha mpango huo pia ikumbukwe kuwa kabla ya bunge lissu alikuwa mkoani mara kwa shuguli za kisheria na hakuna katazo wala wito uliotolewa kipindi hicho kwani walijua wakimuita kipindi hicho mpaka bunge lianze kujadili hoja hiyo yawezekana akawa amepatiwa dhamana na kumfanya kuomba kibali cha kwenda kushugulika na shuguli hio.

katika kikao hicho pia, wabunge wote wa ccm wenye mlengo wa kutaka kukwamishwa mswada huo wamepewa taharifa ya kujiweka kando ama kutoshiriki kukwamisha swala hilo.

Kwa mapenzi mema ya Taifa langu nimeamua kuwasilisha swala hili pasipo kuhofia maisha yangu kwani na mimi ni mjumbe wa kikao tulichokifanya jana.

ni mimi
****** mjanja wa magogoni
Kwa nini alikiuka masharti ya dhamana?alishindwa kutoa udhuru?kwa hyo kwa akili yako angeachwa tu asifanywe kitu kwa sababu ni ukawa?yule ni mwanasheria anajua sheria nyingi kama sio zote,kwa nini atoe mwanya wa kukamatwa kipindi hiki muhimu cha muswada?au naye kapewa milioni 10 asiwepo?Wakati yote haya ya hii mipango je ulikuwepo?usipende kutunga vitu,mtu mmbaya kati ya waongo wote ni muongo anaye hisi anasema ukweli,huyo ni hatari,me naweza kusema uwongo na kila mtu vivyo hivyo,lakini namchukia mtu ambaye anatunga vitu kama wewe,kwa faida gani?nani kakutuma?
 
Spin masters at work uwongo mtupu CCM bungeni wengi kuliko upinzani kura bungeni hupigwa kivyama zaidi kama ulivyo uchaguzi wa meya dar es salaam.Tundu lissu na wapambe wenu acheni kujishebedua Hamna lolote muwepo msiwepo hampunguzi chochote kwendeni huko mkawadanganye wazungu wenu mliozoea kuwatapeli
Kabla ya kura kuna mjadala na hapo ndio Lissu hatakiwi kwani ukweli mchungu kuusikia hata kama kura wanazo nyingi.
 
Mkuu unadhani Lissu ana makosa makubwa sana ya kustahili kukamatwa kuliko Lugumi, Chenge, Tibaijuka, Rugemarila na mafisadi wote wa Escrow!?
Unapokuwa na kesi iwe ndogo au kubwa uhuru wako unanyimwa kisheria, na ukidharau kwa kuwa ni kosa dogo na kutokutii mahakama , utashangaa unaweza kupatikana na hatia ya makosa ambayo awali hukushtakiwa nayo kama " contempt of the court"
 
Kwani Lissu si anatumikia adhabu ya kutohudhuria vikao vya bunge?
 
Duuh hii nchi sasa haikaliki
Huwa najiwaziaga kwa sauti hivi ethiopia hamna vita lakini kwanini vijana kila uchwao wanajirizki uhai wao kukimbilia mataifa mengine kumbe jamaa kinachowakimbiza kule kibano cha maisha tutashaaa
 
Mkuu mahakama zinatumiwa kisiasa dhidi ya wapinzani. Lissu hana kesi ya kujibu.

Unapokuwa na kesi iwe ndogo au kubwa uhuru wako unanyimwa kisheria, na ukidharau kwa kuwa ni kosa dogo na kutokutii mahakama , utashangaa unaweza kupatikana na hatia ya makosa ambayo awali hukushtakiwa nayo kama " contempt of the court"
 
Mahakama inayotumika kisiasa hupoteza credibility yake mbele ya jamii na mwisho hata heshima ya mahakama katika jamii hupotea.

Lakina ana wajibu wa kuitii mahakama
 
mimi kila siku nasema ..
nabii feki na chaguo feki la mungu, aweza kuwa mchafu kuliko shetani.
 
Back
Top Bottom