Tetesi: Siri yafichuka juu ya kukamatwa kwa Tundu Lissu

Dikteta uchwara: Lissu akamatwe gawa rushwa Wabunge wote wa CCM kila mbunge ten million.
Kazi kwisha! Muswada wa dikteta uchwara umepita na mashetani wanashuka rasmi nchini kufunga mitandao yote na kuminya uhuru wa habari kwa nguvu zote kwa kutumia rungu la dikteta uchwara.
kwa hiyo wewe mkimbizi unataka kuniambia kuwa Rais na ikulu ndio walimshauri Lissu asiende mahakamani ili wamkamate?
hahahahahahaha
 
siku moja kabla ya kuwasilishwa kwa mswaada wa sheria ya habari, jana usiku hapa ikulu kumefanyika kikao maalumu kikiongozi na viongozi waandamizi wa serikali hii kuhusu namna ya kuhakikisha muswada unapitishwa pasipokuwa na upinzani uliopitiliza.

Moja ya watu waliokuwa wakiogopwa na serikali hii ni Tundu lissu kuwa yeye ni mbobezi kwenye maswala ya kisheria na kuwa kwa namna yoyote ile asingeweza kukubali muswada huu kuweza kupita kirahisi kwa kujenga hoja zenye kuumbua muswada husika.

kikao hicho kilichoongozwa na balozi kijazi kililenga kuongeza nguvu ya kuudhoofisha nguvu za upande wowote ule utakao kinzana serikali juu ya mswada huu.

kupitia hapo ndipo akaagizwa mwanasheria wa serikali kuwa anahakikisha kesi ya lissu na zuio la kutokutoka nje ya dar es salaam analiwasilisha mahakama ya kisutu ili kufanikisha mpango huo pia ikumbukwe kuwa kabla ya bunge lissu alikuwa mkoani mara kwa shuguli za kisheria na hakuna katazo wala wito uliotolewa kipindi hicho kwani walijua wakimuita kipindi hicho mpaka bunge lianze kujadili hoja hiyo yawezekana akawa amepatiwa dhamana na kumfanya kuomba kibali cha kwenda kushugulika na shuguli hio.

katika kikao hicho pia, wabunge wote wa ccm wenye mlengo wa kutaka kukwamishwa mswada huo wamepewa taharifa ya kujiweka kando ama kutoshiriki kukwamisha swala hilo.

Kwa mapenzi mema ya Taifa langu nimeamua kuwasilisha swala hili pasipo kuhofia maisha yangu kwani na mimi ni mjumbe wa kikao tulichokifanya jana.

ni mimi
****** mjanja wa magogoni
NO BETTER THAN HEARSAY !!
 
hahahaha hivi kweli hata kama wanachadema wengi hamnazo lakini sidhani kama watanunua uongo huu hahaha
Kwa hiyo Lissu hakujua kuwa alihitajika mahakamani?
 
Maswali ya kujiuliza

1. Je ! ni kweli anakesi ya jinai mahakamani? !! kama ndio

2. Je ! yupo nje kwa dhamana?!!!!!!!!!!!!!! kama ndio

3. Tarehe iliyopangwa kesi hakuuduria bila ruhusa ya mahakama????!!!!!!!kama ndio

4. Hiyo yaitoshi kuitwa " kuidharau nahakama kwa kukiuka kwa kuvunja kwa makusudi " MKATABA WA DHAMANA" ?? Kama ndio!!!!!!!!!!!!!!

5. Watuhumiwa wengine wanapovunja kwa makusudi mkataba wa dhamana nini ambacho mahakama hufanya!!!!!!!!!!!!??

6. Kama ni kutoa ARREST WARRANT na kufuta dhamana kwa nini kisifanyike kwake !!! ikiwa ni njia pekee ya mahakama inayoweza kuitumia ili aweze kupatikana kiurahisi kusikiliza kesi yake kwa kuletwa mahakamani na askari magereza kwa amri ya mahakama pale anaposhidwa kujileta mwenyewe?????

7. Tuache kuunganisha vitu ambavyo havipo tuheshimu sheria.
 
hahahaha hivi kweli hata kama wanachadema wengi hamnazo lakini sidhani kama watanunua uongo huu hahaha
Kwa hiyo Lissu hakujua kuwa alihitajika mahakamani?
Hivi Lissu ameanza kuhudhuria vikao vya Bunge?
 
Acheni Kick za Kitoto, kuna Miswaada mingi sana imepita Bungeni na Lissu akiwemo
 
Nchi za Africa hatujielewi kabisa.

Nasubiri Tz ianze mchakato wa kujitoa ICC kisha tuanze kuchinjana wenyewe kwa wenyewe
 
Laiti wanadamu wangesadiki Mamlaka hutoka kwa Mwenyezi Mungu na kwamba humnyanyua amtake na humshusha amtakae basi wangetenda haki!

Leo mtu uko madarakani kesho uko uraiani, sheria unazozitunga leo kesho zinakusweka wewe mwenyewe Jela

Yeyote mwenye kuchimba shimo, atadumbukia humo yeye mwenyewe!
 
siku moja kabla ya kuwasilishwa kwa mswaada wa sheria ya habari, jana usiku hapa ikulu kumefanyika kikao maalumu kikiongozi na viongozi waandamizi wa serikali hii kuhusu namna ya kuhakikisha muswada unapitishwa pasipokuwa na upinzani uliopitiliza.

Moja ya watu waliokuwa wakiogopwa na serikali hii ni Tundu lissu kuwa yeye ni mbobezi kwenye maswala ya kisheria na kuwa kwa namna yoyote ile asingeweza kukubali muswada huu kuweza kupita kirahisi kwa kujenga hoja zenye kuumbua muswada husika.

kikao hicho kilichoongozwa na balozi kijazi kililenga kuongeza nguvu ya kuudhoofisha nguvu za upande wowote ule utakao kinzana serikali juu ya mswada huu.

kupitia hapo ndipo akaagizwa mwanasheria wa serikali kuwa anahakikisha kesi ya lissu na zuio la kutokutoka nje ya dar es salaam analiwasilisha mahakama ya kisutu ili kufanikisha mpango huo pia ikumbukwe kuwa kabla ya bunge lissu alikuwa mkoani mara kwa shuguli za kisheria na hakuna katazo wala wito uliotolewa kipindi hicho kwani walijua wakimuita kipindi hicho mpaka bunge lianze kujadili hoja hiyo yawezekana akawa amepatiwa dhamana na kumfanya kuomba kibali cha kwenda kushugulika na shuguli hio.

katika kikao hicho pia, wabunge wote wa ccm wenye mlengo wa kutaka kukwamishwa mswada huo wamepewa taharifa ya kujiweka kando ama kutoshiriki kukwamisha swala hilo.

Kwa mapenzi mema ya Taifa langu nimeamua kuwasilisha swala hili pasipo kuhofia maisha yangu kwani na mimi ni mjumbe wa kikao tulichokifanya jana.

ni mimi
****** mjanja wa magogoni
Wewe tunakujua nani amekudanganya. Hakikuwepo Kikao Jana!! Lakini dawa ya msaliti inajulikana tu. Tutaheshimiana siku ukitoa taarifa za kweli. Leo tunakupuuza uwongo wako!!
 
Nasubiri pakuche huenda nikasikia lingine
 
siku moja kabla ya kuwasilishwa kwa mswaada wa sheria ya habari, jana usiku hapa ikulu kumefanyika kikao maalumu kikiongozi na viongozi waandamizi wa serikali hii kuhusu namna ya kuhakikisha muswada unapitishwa pasipokuwa na upinzani uliopitiliza.

Moja ya watu waliokuwa wakiogopwa na serikali hii ni Tundu lissu kuwa yeye ni mbobezi kwenye maswala ya kisheria na kuwa kwa namna yoyote ile asingeweza kukubali muswada huu kuweza kupita kirahisi kwa kujenga hoja zenye kuumbua muswada husika.

kikao hicho kilichoongozwa na balozi kijazi kililenga kuongeza nguvu ya kuudhoofisha nguvu za upande wowote ule utakao kinzana serikali juu ya mswada huu.

kupitia hapo ndipo akaagizwa mwanasheria wa serikali kuwa anahakikisha kesi ya lissu na zuio la kutokutoka nje ya dar es salaam analiwasilisha mahakama ya kisutu ili kufanikisha mpango huo pia ikumbukwe kuwa kabla ya bunge lissu alikuwa mkoani mara kwa shuguli za kisheria na hakuna katazo wala wito uliotolewa kipindi hicho kwani walijua wakimuita kipindi hicho mpaka bunge lianze kujadili hoja hiyo yawezekana akawa amepatiwa dhamana na kumfanya kuomba kibali cha kwenda kushugulika na shuguli hio.

katika kikao hicho pia, wabunge wote wa ccm wenye mlengo wa kutaka kukwamishwa mswada huo wamepewa taharifa ya kujiweka kando ama kutoshiriki kukwamisha swala hilo.

Kwa mapenzi mema ya Taifa langu nimeamua kuwasilisha swala hili pasipo kuhofia maisha yangu kwani na mimi ni mjumbe wa kikao tulichokifanya jana.

ni mimi
****** mjanja wa magogoni

Duh napita tu maana kama ni kweli sijajua where are we heading too 🙁🙁🙁🙁🙁
 
...waache walazamishe mswada upite...lakini wajue kesho hawatakua madarakani na mswada huo huo utakula kwao....wanasahau kuwa kuna kesho...na Mungu pia yupo....waache tu...haya mambo mara nyingine unayaacha tu...nature inachukua mkondo wake....
 
Tuna aminishwa kwamba Lissu ana kura ya VITO, inayomwezesha kuzuia muswada wowote ulipo bungeni.
 
siku moja kabla ya kuwasilishwa kwa mswaada wa sheria ya habari, jana usiku hapa ikulu kumefanyika kikao maalumu kikiongozi na viongozi waandamizi wa serikali hii kuhusu namna ya kuhakikisha muswada unapitishwa pasipokuwa na upinzani uliopitiliza.

Moja ya watu waliokuwa wakiogopwa na serikali hii ni Tundu lissu kuwa yeye ni mbobezi kwenye maswala ya kisheria na kuwa kwa namna yoyote ile asingeweza kukubali muswada huu kuweza kupita kirahisi kwa kujenga hoja zenye kuumbua muswada husika.

kikao hicho kilichoongozwa na balozi kijazi kililenga kuongeza nguvu ya kuudhoofisha nguvu za upande wowote ule utakao kinzana serikali juu ya mswada huu.

kupitia hapo ndipo akaagizwa mwanasheria wa serikali kuwa anahakikisha kesi ya lissu na zuio la kutokutoka nje ya dar es salaam analiwasilisha mahakama ya kisutu ili kufanikisha mpango huo pia ikumbukwe kuwa kabla ya bunge lissu alikuwa mkoani mara kwa shuguli za kisheria na hakuna katazo wala wito uliotolewa kipindi hicho kwani walijua wakimuita kipindi hicho mpaka bunge lianze kujadili hoja hiyo yawezekana akawa amepatiwa dhamana na kumfanya kuomba kibali cha kwenda kushugulika na shuguli hio.

katika kikao hicho pia, wabunge wote wa ccm wenye mlengo wa kutaka kukwamishwa mswada huo wamepewa taharifa ya kujiweka kando ama kutoshiriki kukwamisha swala hilo.

Kwa mapenzi mema ya Taifa langu nimeamua kuwasilisha swala hili pasipo kuhofia maisha yangu kwani na mimi ni mjumbe wa kikao tulichokifanya jana.

ni mimi
****** mjanja wa magogoni
Kwa hiyo ulikuwepo Ikulu, Mahakamani Kisutu, ofisi ya mwanasheria mkuu, bungeni!
Kote huko unafuatilia Lissu anavyopigwa pini!
Uwe mjanja namna ya kutunga riwaya.
 
Asante ksa taharifa mbona tulikuww pamoja mjengoni mwanangu kumbe ripota wewe
 
Back
Top Bottom