Tetesi: Siri yafichuka juu ya kukamatwa kwa Tundu Lissu

Tetesi: Siri yafichuka juu ya kukamatwa kwa Tundu Lissu

Nchi yetu haitakuwa salama kamwe
Katika siasa blackmail na sabotage ni vitendo vinavyowezekana kabisa. Na kama hali hii ya rushwa na hujuma ikiendelea; udhalimu wa jinsi hii ukiendelea kuachiwa ushamiri na hatimaye sheria kandamizi zipitishwe, hakika "nchi yetu haitakuwa salama...."
 
Mleta Mazda, Lissu anaweza kuzuia mswaada usipite peke yake? Wabunge wa upinzani ni asilimia ngapi ya wabunge wa CCM?
Kawadanganye wengine.
 
jk katubwagia zigo la nya halafu yeye kakimbilia kijijini msoga...the psycho is outta control!!!
 
Tunakoelekea wanajua hawa madereva wetu ila abiria tuna hofu na imani inazidi kuwa ndogo kama punje za haradali
 
Dikteta uchwara: Lissu akamatwe gawa rushwa Wabunge wote wa CCM kila mbunge ten million.
Kazi kwisha! Muswada wa dikteta uchwara umepita na mashetani wanashuka rasmi nchini kufunga mitandao yote na kuminya uhuru wa habari kwa nguvu zote kwa kutumia rungu la dikteta uchwara.
Ina wabunge wote wa upinzani wanamtegemea Lisu kujenga hoja zao?
 
Well let them proceed. What I know is God is supreme. God is over each and everyone. If they think they will never fall down one day, then let us wait and see
 
siku moja kabla ya kuwasilishwa kwa mswaada wa sheria ya habari, jana usiku hapa ikulu kumefanyika kikao maalumu kikiongozi na viongozi waandamizi wa serikali hii kuhusu namna ya kuhakikisha muswada unapitishwa pasipokuwa na upinzani uliopitiliza.

Moja ya watu waliokuwa wakiogopwa na serikali hii ni Tundu lissu kuwa yeye ni mbobezi kwenye maswala ya kisheria na kuwa kwa namna yoyote ile asingeweza kukubali muswada huu kuweza kupita kirahisi kwa kujenga hoja zenye kuumbua muswada husika.

kikao hicho kilichoongozwa na balozi kijazi kililenga kuongeza nguvu ya kuudhoofisha nguvu za upande wowote ule utakao kinzana serikali juu ya mswada huu.

kupitia hapo ndipo akaagizwa mwanasheria wa serikali kuwa anahakikisha kesi ya lissu na zuio la kutokutoka nje ya dar es salaam analiwasilisha mahakama ya kisutu ili kufanikisha mpango huo pia ikumbukwe kuwa kabla ya bunge lissu alikuwa mkoani mara kwa shuguli za kisheria na hakuna katazo wala wito uliotolewa kipindi hicho kwani walijua wakimuita kipindi hicho mpaka bunge lianze kujadili hoja hiyo yawezekana akawa amepatiwa dhamana na kumfanya kuomba kibali cha kwenda kushugulika na shuguli hio.

katika kikao hicho pia, wabunge wote wa ccm wenye mlengo wa kutaka kukwamishwa mswada huo wamepewa taharifa ya kujiweka kando ama kutoshiriki kukwamisha swala hilo.

Kwa mapenzi mema ya Taifa langu nimeamua kuwasilisha swala hili pasipo kuhofia maisha yangu kwani na mimi ni mjumbe wa kikao tulichokifanya jana.

ni mimi
****** mjanja wa magogoni
Ubarikiwe Sana ndugu, wasikutishe hao maiti watarajiwa, sote tutakufa na kila mmoja atahukumiwa kutokana na matendo yake yakiwemo Madikteta.
 
Pitisheni tu nyie kijani, Lakini mjiandae tu 2020
 
Bado tutaendelea kutawaliwa sana kwa mfumo huu unaendelea kuimarishwa na Chama tawala,kama Wananchi hatuto badilika na kujitambua..
 
Inashangaza sana kuona pamoja na uelewa wako wa sheria bado unapotosha tu!
 
Nanii ....yule aliitwa mahakamani akakataaa sasa ni .....
Haya buana tuendeleeee au tusiendeleee......
 
Spin masters at work uwongo mtupu CCM bungeni wengi kuliko upinzani kura bungeni hupigwa kivyama zaidi kama ulivyo uchaguzi wa meya dar es salaam.Tundu lissu na wapambe wenu acheni kujishebedua Hamna lolote muwepo msiwepo hampunguzi chochote kwendeni huko mkawadanganye wazungu wenu mliozoea kuwatapeli
Kwa hiyo wabunge wote wa CCM wanakubaliana kukimbiza huo muswada wa habari, siyo?
 
Mleta Mazda, Lissu anaweza kuzuia mswaada usipite peke yake? Wabunge wa upinzani ni asilimia ngapi ya wabunge wa CCM?
Kawadanganye wengine.
Mleta mada anasema waneona lisu anaweza kuivua nguo serikali kuhusu huo mswada ndo mana yaani kujenga hoja barabara kwani yeye ndo taaluma yake ya seria
 
Acha unafiki...hivi kwa akili ndogo tu LISSU alitambua kabisa ana kesi SIKU HUSIKA kwanini hakuuzulia bila taarifa????MAANA KAMA KUNGEKUWA NA UDHURU AMEISHA UTOA hiyo hati ya yeye kukamatwa isinge tolewa na kama ingetolewa tungeona huo ni MPANGO maalumu wa kumuonea LISSU.....sasa hapa ni TUKIO LISSU MWENYEWE AU CHAMA wameamua kulitengeneza ili hatua zikichukuliwa IONEKANE AMEONEWA....haya ni matukio ya kutengeneza tu ili HATUA SITAHIKI ZINAPOCHUKULIWA IONEKANE WAMEONEWA maana hawa wenzetu kwa sasa wanaishi kwa MATUKIO mara oooh WABUNGE wamepewa MILIONI 10 wapitishe muswaada SASA TUNAMUOMBA MBOWE ATOKE ADHARANI AITISHE PRESS Na awaonyeshe uo USHAIDI NA AKISHATOKA HAPO NI KWENDA MAHAKAMANI maana ushaidi anao ya hao wabunge kupokea RUSHWA....aache porojo za AJABU mumuambie HATUJASAHAU unafiki wake JUU YA LOWASSA HIVYO wanaanchi tuliuowengi HUJAWAI KUMWAMINI ANACHOKISIMAMIA NA KUSEMA
To aneno "tulio wengi" Fanya tafiti kwa watu watatu wa familia yako waulize mnakubali Lisu rejesha majibu hapa kila mmoja kakujibu vipi
 
Acha unafiki...hivi kwa akili ndogo tu LISSU alitambua kabisa ana kesi SIKU HUSIKA kwanini hakuuzulia bila taarifa????MAANA KAMA KUNGEKUWA NA UDHURU AMEISHA UTOA hiyo hati ya yeye kukamatwa isinge tolewa na kama ingetolewa tungeona huo ni MPANGO maalumu wa kumuonea LISSU.....sasa hapa ni TUKIO LISSU MWENYEWE AU CHAMA wameamua kulitengeneza ili hatua zikichukuliwa IONEKANE AMEONEWA....haya ni matukio ya kutengeneza tu ili HATUA SITAHIKI ZINAPOCHUKULIWA IONEKANE WAMEONEWA maana hawa wenzetu kwa sasa wanaishi kwa MATUKIO mara oooh WABUNGE wamepewa MILIONI 10 wapitishe muswaada SASA TUNAMUOMBA MBOWE ATOKE ADHARANI AITISHE PRESS Na awaonyeshe uo USHAIDI NA AKISHATOKA HAPO NI KWENDA MAHAKAMANI maana ushaidi anao ya hao wabunge kupokea RUSHWA....aache porojo za AJABU mumuambie HATUJASAHAU unafiki wake JUU YA LOWASSA HIVYO wanaanchi tuliuowengi HUJAWAI KUMWAMINI ANACHOKISIMAMIA NA KUSEMA
Kama umeshindwa kumuamini mwenzio wewe utatushawishi vipi tukuamini??huenda wote mnatumia hisia na hakuna mkweli kati yenu
 
Back
Top Bottom