kwa hiyo wewe mkimbizi unataka kuniambia kuwa Rais na ikulu ndio walimshauri Lissu asiende mahakamani ili wamkamate?Dikteta uchwara: Lissu akamatwe gawa rushwa Wabunge wote wa CCM kila mbunge ten million.
Kazi kwisha! Muswada wa dikteta uchwara umepita na mashetani wanashuka rasmi nchini kufunga mitandao yote na kuminya uhuru wa habari kwa nguvu zote kwa kutumia rungu la dikteta uchwara.
NO BETTER THAN HEARSAY !!siku moja kabla ya kuwasilishwa kwa mswaada wa sheria ya habari, jana usiku hapa ikulu kumefanyika kikao maalumu kikiongozi na viongozi waandamizi wa serikali hii kuhusu namna ya kuhakikisha muswada unapitishwa pasipokuwa na upinzani uliopitiliza.
Moja ya watu waliokuwa wakiogopwa na serikali hii ni Tundu lissu kuwa yeye ni mbobezi kwenye maswala ya kisheria na kuwa kwa namna yoyote ile asingeweza kukubali muswada huu kuweza kupita kirahisi kwa kujenga hoja zenye kuumbua muswada husika.
kikao hicho kilichoongozwa na balozi kijazi kililenga kuongeza nguvu ya kuudhoofisha nguvu za upande wowote ule utakao kinzana serikali juu ya mswada huu.
kupitia hapo ndipo akaagizwa mwanasheria wa serikali kuwa anahakikisha kesi ya lissu na zuio la kutokutoka nje ya dar es salaam analiwasilisha mahakama ya kisutu ili kufanikisha mpango huo pia ikumbukwe kuwa kabla ya bunge lissu alikuwa mkoani mara kwa shuguli za kisheria na hakuna katazo wala wito uliotolewa kipindi hicho kwani walijua wakimuita kipindi hicho mpaka bunge lianze kujadili hoja hiyo yawezekana akawa amepatiwa dhamana na kumfanya kuomba kibali cha kwenda kushugulika na shuguli hio.
katika kikao hicho pia, wabunge wote wa ccm wenye mlengo wa kutaka kukwamishwa mswada huo wamepewa taharifa ya kujiweka kando ama kutoshiriki kukwamisha swala hilo.
Kwa mapenzi mema ya Taifa langu nimeamua kuwasilisha swala hili pasipo kuhofia maisha yangu kwani na mimi ni mjumbe wa kikao tulichokifanya jana.
ni mimi
****** mjanja wa magogoni
hahahaha hivi kweli hata kama wanachadema wengi hamnazo lakini sidhani kama watanunua uongo huu hahahasiku moja kabla ya kuwasilishwa kwa mswaada wa sheria ya habari, jana usiku hapa ikulu kumefanyika kikao maalumu kikiongozi na viongozi waandamizi wa serikali hii kuhusu namna ya kuhakikisha muswada unapitishwa pasipokuwa na upinzani uliopitiliza.
Moja ya watu waliokuwa wakiogopwa na serikali hii ni Tundu lissu kuwa yeye ni mbobezi kwenye maswala ya kisheria na kuwa kwa namna yoyote ile asingeweza kukubali muswada huu kuweza kupita kirahisi kwa kujenga hoja zenye kuumbua muswada husika.
kikao hicho kilichoongozwa na balozi kijazi kililenga kuongeza nguvu ya kuudhoofisha nguvu za upande wowote ule utakao kinzana serikali juu ya mswada huu.
kupitia hapo ndipo akaagizwa mwanasheria wa serikali kuwa anahakikisha kesi ya lissu na zuio la kutokutoka nje ya dar es salaam analiwasilisha mahakama ya kisutu ili kufanikisha mpango huo pia ikumbukwe kuwa kabla ya bunge lissu alikuwa mkoani mara kwa shuguli za kisheria na hakuna katazo wala wito uliotolewa kipindi hicho kwani walijua wakimuita kipindi hicho mpaka bunge lianze kujadili hoja hiyo yawezekana akawa amepatiwa dhamana na kumfanya kuomba kibali cha kwenda kushugulika na shuguli hio.
katika kikao hicho pia, wabunge wote wa ccm wenye mlengo wa kutaka kukwamishwa mswada huo wamepewa taharifa ya kujiweka kando ama kutoshiriki kukwamisha swala hilo.
Kwa mapenzi mema ya Taifa langu nimeamua kuwasilisha swala hili pasipo kuhofia maisha yangu kwani na mimi ni mjumbe wa kikao tulichokifanya jana.
ni mimi
****** mjanja wa magogoni
Hivi Lissu ameanza kuhudhuria vikao vya Bunge?hahahaha hivi kweli hata kama wanachadema wengi hamnazo lakini sidhani kama watanunua uongo huu hahaha
Kwa hiyo Lissu hakujua kuwa alihitajika mahakamani?
Wewe tunakujua nani amekudanganya. Hakikuwepo Kikao Jana!! Lakini dawa ya msaliti inajulikana tu. Tutaheshimiana siku ukitoa taarifa za kweli. Leo tunakupuuza uwongo wako!!siku moja kabla ya kuwasilishwa kwa mswaada wa sheria ya habari, jana usiku hapa ikulu kumefanyika kikao maalumu kikiongozi na viongozi waandamizi wa serikali hii kuhusu namna ya kuhakikisha muswada unapitishwa pasipokuwa na upinzani uliopitiliza.
Moja ya watu waliokuwa wakiogopwa na serikali hii ni Tundu lissu kuwa yeye ni mbobezi kwenye maswala ya kisheria na kuwa kwa namna yoyote ile asingeweza kukubali muswada huu kuweza kupita kirahisi kwa kujenga hoja zenye kuumbua muswada husika.
kikao hicho kilichoongozwa na balozi kijazi kililenga kuongeza nguvu ya kuudhoofisha nguvu za upande wowote ule utakao kinzana serikali juu ya mswada huu.
kupitia hapo ndipo akaagizwa mwanasheria wa serikali kuwa anahakikisha kesi ya lissu na zuio la kutokutoka nje ya dar es salaam analiwasilisha mahakama ya kisutu ili kufanikisha mpango huo pia ikumbukwe kuwa kabla ya bunge lissu alikuwa mkoani mara kwa shuguli za kisheria na hakuna katazo wala wito uliotolewa kipindi hicho kwani walijua wakimuita kipindi hicho mpaka bunge lianze kujadili hoja hiyo yawezekana akawa amepatiwa dhamana na kumfanya kuomba kibali cha kwenda kushugulika na shuguli hio.
katika kikao hicho pia, wabunge wote wa ccm wenye mlengo wa kutaka kukwamishwa mswada huo wamepewa taharifa ya kujiweka kando ama kutoshiriki kukwamisha swala hilo.
Kwa mapenzi mema ya Taifa langu nimeamua kuwasilisha swala hili pasipo kuhofia maisha yangu kwani na mimi ni mjumbe wa kikao tulichokifanya jana.
ni mimi
****** mjanja wa magogoni
siku moja kabla ya kuwasilishwa kwa mswaada wa sheria ya habari, jana usiku hapa ikulu kumefanyika kikao maalumu kikiongozi na viongozi waandamizi wa serikali hii kuhusu namna ya kuhakikisha muswada unapitishwa pasipokuwa na upinzani uliopitiliza.
Moja ya watu waliokuwa wakiogopwa na serikali hii ni Tundu lissu kuwa yeye ni mbobezi kwenye maswala ya kisheria na kuwa kwa namna yoyote ile asingeweza kukubali muswada huu kuweza kupita kirahisi kwa kujenga hoja zenye kuumbua muswada husika.
kikao hicho kilichoongozwa na balozi kijazi kililenga kuongeza nguvu ya kuudhoofisha nguvu za upande wowote ule utakao kinzana serikali juu ya mswada huu.
kupitia hapo ndipo akaagizwa mwanasheria wa serikali kuwa anahakikisha kesi ya lissu na zuio la kutokutoka nje ya dar es salaam analiwasilisha mahakama ya kisutu ili kufanikisha mpango huo pia ikumbukwe kuwa kabla ya bunge lissu alikuwa mkoani mara kwa shuguli za kisheria na hakuna katazo wala wito uliotolewa kipindi hicho kwani walijua wakimuita kipindi hicho mpaka bunge lianze kujadili hoja hiyo yawezekana akawa amepatiwa dhamana na kumfanya kuomba kibali cha kwenda kushugulika na shuguli hio.
katika kikao hicho pia, wabunge wote wa ccm wenye mlengo wa kutaka kukwamishwa mswada huo wamepewa taharifa ya kujiweka kando ama kutoshiriki kukwamisha swala hilo.
Kwa mapenzi mema ya Taifa langu nimeamua kuwasilisha swala hili pasipo kuhofia maisha yangu kwani na mimi ni mjumbe wa kikao tulichokifanya jana.
ni mimi
****** mjanja wa magogoni
Lowasa ni mbunge?Bado lowasa
Kwa hiyo ulikuwepo Ikulu, Mahakamani Kisutu, ofisi ya mwanasheria mkuu, bungeni!siku moja kabla ya kuwasilishwa kwa mswaada wa sheria ya habari, jana usiku hapa ikulu kumefanyika kikao maalumu kikiongozi na viongozi waandamizi wa serikali hii kuhusu namna ya kuhakikisha muswada unapitishwa pasipokuwa na upinzani uliopitiliza.
Moja ya watu waliokuwa wakiogopwa na serikali hii ni Tundu lissu kuwa yeye ni mbobezi kwenye maswala ya kisheria na kuwa kwa namna yoyote ile asingeweza kukubali muswada huu kuweza kupita kirahisi kwa kujenga hoja zenye kuumbua muswada husika.
kikao hicho kilichoongozwa na balozi kijazi kililenga kuongeza nguvu ya kuudhoofisha nguvu za upande wowote ule utakao kinzana serikali juu ya mswada huu.
kupitia hapo ndipo akaagizwa mwanasheria wa serikali kuwa anahakikisha kesi ya lissu na zuio la kutokutoka nje ya dar es salaam analiwasilisha mahakama ya kisutu ili kufanikisha mpango huo pia ikumbukwe kuwa kabla ya bunge lissu alikuwa mkoani mara kwa shuguli za kisheria na hakuna katazo wala wito uliotolewa kipindi hicho kwani walijua wakimuita kipindi hicho mpaka bunge lianze kujadili hoja hiyo yawezekana akawa amepatiwa dhamana na kumfanya kuomba kibali cha kwenda kushugulika na shuguli hio.
katika kikao hicho pia, wabunge wote wa ccm wenye mlengo wa kutaka kukwamishwa mswada huo wamepewa taharifa ya kujiweka kando ama kutoshiriki kukwamisha swala hilo.
Kwa mapenzi mema ya Taifa langu nimeamua kuwasilisha swala hili pasipo kuhofia maisha yangu kwani na mimi ni mjumbe wa kikao tulichokifanya jana.
ni mimi
****** mjanja wa magogoni
Nakumbuka ..ktabu ...kimoja kinaitwa ..man of the people. .Samalu na chief nanga ......We call it politics, is just a game.