Tetesi: Siri yafichuka juu ya kukamatwa kwa Tundu Lissu

Heri warabu wanaeleweka kuliko wafrika
 
Wapitishe tu huo muswada kama walifuta uchaguzi huru wa Zanzibar,

kwa kumtumia M/kiti wa tume Jecha ,hatuwezi washangaa kwa hili la muswada,

Utawaamini CCM kwa lipi yaliyotokea Kinondoni kila mtu anajua hila walizofanya.
 
Mkuu unadhani Lissu ana makosa makubwa sana ya kustahili kukamatwa kuliko Lugumi, Chenge, Tibaijuka, Rugemarila na mafisadi wote wa Escrow!?

 
Nawaambieni enyi watawala wa nchi hii,kamwe Tanzania haitokuwa North Korea.
Hilo sahauni.
 
Yaani bavichaa kweli mmegeuka waenda wa kule wazimu. Unamtetea mtu muongo kama lisu. Wala lisu siyo mbobezi wa sheria bali ni mtu fulani mropokaji tu wala hajui chochote
 
Tumesha wazoea na "paka chongo zenu zilizopitwa na wakati"....
Kila msumeno wa sheria ukifanyakazi upande wenu, mnazua!....Mbowe vs NHC, mlisema hujuma ya serikali....Sumayi vs sheria ya mkataba wa kuendeleza mashamba..mkadai hivyo hivyo...uzembe wa kutohudhuria mahakama pasi na taarifa, ukishugjulikiwa...oh! Hujuma....
 
Kwa nini alikiuka masharti ya dhamana?alishindwa kutoa udhuru?kwa hyo kwa akili yako angeachwa tu asifanywe kitu kwa sababu ni ukawa?yule ni mwanasheria anajua sheria nyingi kama sio zote,kwa nini atoe mwanya wa kukamatwa kipindi hiki muhimu cha muswada?au naye kapewa milioni 10 asiwepo?Wakati yote haya ya hii mipango je ulikuwepo?usipende kutunga vitu,mtu mmbaya kati ya waongo wote ni muongo anaye hisi anasema ukweli,huyo ni hatari,me naweza kusema uwongo na kila mtu vivyo hivyo,lakini namchukia mtu ambaye anatunga vitu kama wewe,kwa faida gani?nani kakutuma?
 
Kabla ya kura kuna mjadala na hapo ndio Lissu hatakiwi kwani ukweli mchungu kuusikia hata kama kura wanazo nyingi.
 
Mkuu unadhani Lissu ana makosa makubwa sana ya kustahili kukamatwa kuliko Lugumi, Chenge, Tibaijuka, Rugemarila na mafisadi wote wa Escrow!?
Unapokuwa na kesi iwe ndogo au kubwa uhuru wako unanyimwa kisheria, na ukidharau kwa kuwa ni kosa dogo na kutokutii mahakama , utashangaa unaweza kupatikana na hatia ya makosa ambayo awali hukushtakiwa nayo kama " contempt of the court"
 
Kwani Lissu si anatumikia adhabu ya kutohudhuria vikao vya bunge?
 
Duuh hii nchi sasa haikaliki
Huwa najiwaziaga kwa sauti hivi ethiopia hamna vita lakini kwanini vijana kila uchwao wanajirizki uhai wao kukimbilia mataifa mengine kumbe jamaa kinachowakimbiza kule kibano cha maisha tutashaaa
 
Mkuu mahakama zinatumiwa kisiasa dhidi ya wapinzani. Lissu hana kesi ya kujibu.

Unapokuwa na kesi iwe ndogo au kubwa uhuru wako unanyimwa kisheria, na ukidharau kwa kuwa ni kosa dogo na kutokutii mahakama , utashangaa unaweza kupatikana na hatia ya makosa ambayo awali hukushtakiwa nayo kama " contempt of the court"
 
Mahakama inayotumika kisiasa hupoteza credibility yake mbele ya jamii na mwisho hata heshima ya mahakama katika jamii hupotea.

Lakina ana wajibu wa kuitii mahakama
 
mimi kila siku nasema ..
nabii feki na chaguo feki la mungu, aweza kuwa mchafu kuliko shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…