Tetesi: Siri yafichuka juu ya kukamatwa kwa Tundu Lissu

lisu hakuwepo mahakamani kwa sabab alikuwa kwenye kesi nyingine mahali pengine, sasa angewezaje kuhudhuria kesi mbili siku moja mahakama tofauti? hizo ni hila tu,hilo liko wazi hatakama zitatengenezwa hoja za uongo kuhallisha hila hizo ipo siku wahusika wataangukia pua tu
 
Nini
Nini sasa hii?
 
Nini
Nini sasa hii?
 
Mahakama inayotumika kisiasa hupoteza credibility yake mbele ya jamii na mwisho hata heshima ya mahakama katika jamii hupotea.
Kimsingi mahakama sio iliyomshtaki, yenyewe imeletewa mtuhumiwa tu ili kuona kama metenda kosa ama hajatenda. Mpaka sasa hivi haijatoa hukumu tuone inapendelea ama haipendelei , kama angeheshimu masharti ya dhamana ambayo anayafahamu vizuri asingalikamatwa. Sasa hivi tunailaumu mahakama kwa kosa la LISU mwenyewe. Mahakama haijatenda kitu kigeni tofauti na wengine wanaokwenda kinyume na masharti ya dhamana.
 
Time will tell

Sent from mTalk
 
Naona leo una ndoto nyiiingi za mchana. Kamanda unaota bila kulala. Duuu
 

Kwa kweli wewe ni "kilaza mjanja" punguza hoja za hisia kuliko hualisia. Na hata kama unawakilisha waliokutuma basi pawepo ni chembe ndogo ya ukweli.

LISSU alijua kuna kesi yake, kama Wakili nguri hapaswi kutokuhudhuria/ kuitikia mwito wa Mahakama.

Iwapo hilo unalosema ni kweli, Mh Lissu atakuwa analijua pia, hivyo angehudhuria mahakamani kuwaumbua waliofanya kikao hicho.
 
Jina lako LITUKUZWE Ewe Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kutuwekea ile siku maalum ambayo siri zote zitafichuka na waheshimiwa wa leo siku hiyo watakua madhalili.Acha tu wacheke kidogo hapa duniani lakini watalia sana kilio kisichokoma kwa dhulma wanazofanya.
 
Lissu sheria za nchi anazijua vizuri sana. Hakuna uthibitisho mpaka sasa hivi kama kweli katenda kosa. Ngoja tusubiri tisikie kulikoni.

 
Mleta Mazda, Lissu anaweza kuzuia mswaada usipite peke yake? Wabunge wa upinzani ni asilimia ngapi ya wabunge wa CCM?
Kawadanganye wengine.
Mswada lazima upite. Ila uwepo wa Lisu utawafungua watu macho!
 
Hamnaga ƙingine tofauti na Lowassa,pole vijana na ƙwa hili nɗo maana ccm inatunƴima elimu ɓora,maana mtaji waƙe ni ujinga na umasiƙini........usiƙu huu mlimani ƙimenuƙa wanafunzi wamegoma. Hizo hongo wangewapa mƙopo. Nƴ.....mɓ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…