Siridhishwi na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo

Kusanya Kodi Wewe ulipe madeni 🐼
 
Toka kuundwa kwake TANROADS haijawahi kuwa katika hali kama hii.
Hela inayokusanywa na Road Fund inaelekea hsifikishwi inakostahili.
 
Toka kuundwa kwake TANROADS haijawahi kuwa katika hali kama hii.
Hela inayokusanywa na Road Fund inaelekea hsifikishwi inakostahili.
Haifikishwi matumizi ya mafuta Tz kwa mwaka ni zaidi ya lita Bilioni 1 sasa kama ile 100 inayotozwa ingeelekezwa kwenye TANROAD maana yake tingekuwa na uhakika wa 50km kila mwaka
 
Hao uliokutana nao siyo kwamba hawaungi mkono ununuzi wa helicopter ya Mama na ndiyo maana hawalipwi!!
 
Zinaingia kwenye kapu moja halafu zinatumika kwingine (naamini hivyo)
 
Haifikishwi matumizi ya mafuta Tz kwa mwaka ni zaidi ya lita Bilioni 1 sasa kama ile 100 inayotozwa ingeelekezwa kwenye TANROAD maana yake tingekuwa na uhakika wa 50km kila mwaka
Mkuu inaelekea huyu waziri wa Ujenzi Mh Bashungwa pale wizarani na kanyaboya tu!
Hana impact kwenye kutetea maslahi ya Taasisi kubwa kama TANROADS.
Hela ya Road Fund ipo, tunashangaa inaenda wapi?
 
Hata barabara hakuna tena mpya zinazojengwa.
 
Madhara ya kuwa ra rais dhifu ambaye Kila siku anasafiri kwenda ulaya Kwa pesa za umma na msururu wa wasaidizi zaidi ya elfumoja kwenda kupiga umbeya.
 
Wakandarasi wa china wanalipwa haraka, wazawa hawalipwi
Huna unalolijua kwenye hili. Wachina waliolipwa ni mradi gani? Kinachofanyika ni kwamba miradi mikubwa ipo subjected na interest na wachina kampuni zao zinapata mikopo toka china yenye single digit interest.
Wanachofanya ni kutekeleza mradi regardless ya financial status na faida wanaipata kwenye interest za kimkataba

Sasa ukiona mradi wa wachina unaendelea na local contractor unasuasua usifikiri jamaa wamelipwa ni madeni ya kutisha
Na vile tunaelekea kwenye uchaguzi sijui watawala hapa wanachomokaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…