johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kusanya Kodi Wewe ulipe madeni 🐼Ndio hasara ya kuanzisha miradi Kwa pupa bila mkakati ,madeni tuu inayodaiwa ni balaa Bado fidia ni matrilioni.
Huwezi kuwa na taasisi ambayo haiwezi fanya ujenzi wake Kimkakati badala yake wanafanya Kisiasa.
Unaanzishaje ujenzi Kila mahala wa km 1,2,5,10 wakati ungejenga Barabara chache na hizo hela kupelekeshwa huko kiasi kwamba Tija ingeonekana.