masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Waziri mhusika , Waziri wa Ujenzi Bashungwa, ambaye ana wajibu wa kufuatilia hii pesa naona hana ubavu wa kulisemea hili.Vyanzo vya mapato Tanroads viko wazi mbona pesa hazipelekwi ipasavyo fatilia ujifunze
Waziri alaumiwe.Hali ndio hiyo wako taabani Road fund imefanyiwa relocation na Mwigulu & Co wakandarasi wahajalipwa muda sasa na haijulikani lini wanalipwa. Kingine nafikiri CEO wa Tanroads na waziri wa ujenzi hawana maelewano yanayoeleweka au tuseme mmoja au wote hawatekelezi majukumu yao ipasavyo haijawahi kutokea ukame huu wakandarasi wanasita kuomba kazi kwa sasa maana hali sio nzuri kazi zinasusua sekta ya ujenzi wa barabara imesinyaa vibaya sana hizo kodi sijui zinapatikana wapi na hayo makampuni yanajiendesha vp
Badala ya kulaumu tupe solution.Tatizo kubwa walilonalo Tanroads ni kwamba Wamekosa Ubunifu na Maarifa mazuri. Bado Wana fikra mgando Kama za Watu wa enzi za Ujima au zama za mawe za kale wakati wapo kwenye Karne ya 21.
Yaani ni aibu tupu nchi hii, tumeshindwa kila kitu. Hakuna hata kitu kimoja au jambo moja lililo zuri ambalo tumefanya.
Tumeshindwa kila kitu kabisa!
Wanatakiwa wafanye kazi zao vizuri kama vile inavyopaswa, na uzuri wa kazi zao sisi Wananchi tunatakiwa tuuone kupitia matokeo ya kazi zao.Badala ya kulaumu tupe solution.
Tanroads wafanyaje according to you???
Tatizo siyo kuanzisha miradi kwa pupa bali ni kukosekana kwa usimamizi wa pesa za serikali ili kukamilisha miradi hiyo. Miradi yote ya Tanroads siyo ya kibiashara bali ni ya serikali kama huduma ya jamii kimkakati. Mama alidanganywa kuwa Magufuli alikuwa mbaya sana na hivyo akaondoa mawaziri wote ambao Magufuli alikuwa anaamini kuwa wanajua usimamizi, akaleta wapigaji. Mradi uliokuwa ukamilike kwa Sh 10 ukakamilika kwa Sh 40 na kumalumu Magufuli.Ndio hasara ya kuanzisha miradi Kwa pupa bila mkakati ,madeni tuu inayodaiwa ni balaa Bado fidia ni matrilioni.
Huwezi kuwa na taasisi ambayo haiwezi fanya ujenzi wake Kimkakati badala yake wanafanya Kisiasa.
Unaanzishaje ujenzi Kila mahala wa km 1,2,5,10 wakati ungejenga Barabara chache na hizo hela kupelekeshwa huko kiasi kwamba Tija ingeonekana.
AiseeMiradi yote ya Tanroads siyo ya kibiashara bali ni ya serikali kama huduma ya jamii kimkakati.
Pumba tupu; hakuna barabara ya lami iliyojengwa kwa kupanga rangi. Makosa yote ya ujenzi wa barabara za Tanzania ilikuwa ni foundation hafifu tu, jambo ambalo bado lipo hadi leo. Picha uliyoweka ya shutterstock.com ni ya kuokoteza wala hapo siyo Tanzania, kuonyesha kuwa unaandika pumba za kuokoteza tu.Aisee
Nyinyi wanyonge wa mwendazake wengi mlikuwa wale vigwasa wa pumba za elimu ya ajira, lakini weupe wa akili ya mjini.
Kuna mteja mporipori nililetewa wa Mbinga zile enzi za yule mwehu, huyu mlugaluga alikula dili ya kutengeneza barabara huko maporini, akaniagiza hii mashine inaiitwa Bitumen kwenye picha.
Hii mashine ni yakupaka rangi ya lami kwenye barabara.
Kwahiyo walikuwa wanachonga barabara za vumbi halafu wanamwagia hii rangi ionekane amejenga ya lami.
View attachment 3074558
Nimekuonyesha mfano ujue nini ni bitumen unaenda kutafuta picha imetoka wapiPumba tupu; hakuna barabara ya lami iliyojengwa kwa kupanga rangi. Makosa yote ya ujenzi wa barabara za Tanzania ilikuwa ni foundation hafifu tu, jambo ambalo bado lipo hadi leo. Picha uliyoweka ya shutterstock.com ni ya kuokoteza wala hapo siyo Tanzania, kuonyesha kuwa unaandika pumba za kuokoteza tu.
View attachment 3074559
Tanroads ilianza kipindi cha Mkapa na haikuwahi kukosa hela za miradi.
Majibu yako yanaonyesha ufinyu wako wa kujenga hoja.Nimekuonyesha mfano ujue nini ni bitumen unaenda kutafuta picha imetoka wapi
Kilaza unaonekana ndio leo umejua kuna kitu kinaiitwa bitumen truck
Wewe ni aidha kilaza mnyonge au ndio wezi wapigaji, mnatetea upupu wa Tanroads, wakati sisi wa kitaa tumefanya kazi na wezi waliopewa hizi contractsMajibu yako yanaonyesha ufinyu wako wa kujenga hoja.
Pesa zipi hizo zilozokosa usimamizi? Kuna mradi unakwama kisa pesa ipo ila haisimamiwi?Tatizo siyo kuanzisha miradi kwa pupa bali ni kukosekana kwa usimamizi wa pesa za serikali ili kukamilisha miradi hiyo. Miradi yote ya Tanroads siyo ya kibiashara bali ni ya serikali kama huduma ya jamii kimkakati. Mama alidanganywa kuwa Magufuli alikuwa mbaya sana na hivyo akaondoa mawaziri wote ambao Magufuli alikuwa anaamini kuwa wanajua usimamizi, akaleta wapigaji. Mradi uliokuwa ukamilike kwa Sh 10 ukakamilika kwa Sh 40 na kumalumu Magufuli.
Wakati JPM anaingia madarakani, mradi wa Terminalaliifufua na kuikamilisha; tatizo lake ni pale alipozuia mradi wa Bagamoyo
Mkuu napigilia msumari hapašNdio hasara ya kuanzisha miradi Kwa pupa bila mkakati ,madeni tuu inayodaiwa ni balaa Bado fidia ni matrilioni.
Aisee......nafikiri hauna uelewa wa jinsi barabara zinavyotengenezwa hicho unachokisema hakipo kila hatua kwenye utengenezaji wa barabara lazima upitishwe kwa mujibu wa vipimo vya maabara na usimamizi unaongeq hadithi za vijiweni tu ww.Aisee
Nyinyi wanyonge wa mwendazake wengi mlikuwa wale vigwasa wa pumba za elimu ya ajira, lakini weupe wa akili ya mjini.
Kuna mteja mporipori nililetewa wa Mbinga zile enzi za yule mwehu, huyu mlugaluga alikula dili ya kutengeneza barabara huko maporini, akaniagiza hii mashine inaiitwa Bitumen kwenye picha.
Hii mashine ni yakupaka rangi ya lami kwenye barabara.
Kwahiyo walikuwa wanachonga barabara za vumbi halafu wanamwagia hii rangi ionekane amejenga ya lami.
View attachment 3074558
Hakika anaingia bungeni na kupitisha bajeti wakati mafungu ya mfuko wa barabara hakuna kama sio uzwazwa ni kitu gani tunamuona anafanya utalii wa ndani tu wakati hakuna kipindi wizara yake imekuwa hoi bin taabani kama hiki chake.Waziri alaumiwe.
Na muheshimiwa sana Dr, Chifu Hangaya, Rais Samia atalipata tope kwenye nguo.
Yes Bashungwa wizara imemshinda toka amepata uteuzi iko wazi uliona wapi mfuko wa barabara ukakosa fedha haijawahi tokea wala haumsikii akipaza sauti bungeni juu ya hilo kingine CEO wa Tanroads nae tatizo anashindwa kufanya kazi kwa karibu na waziri wake kusukuma upatikanaji wa fedha ili miradi isikwameWaziri mhusika , Waziri wa Ujenzi Bashungwa, ambaye ana wajibu wa kufuatilia hii pesa naona hana ubavu wa kulisemea hili.
Huko ni kushindwa kutetea sekta yake.
Matokeo yake pesa inaliwa kwingine.
Bashungwa hana what it takes kuwa waziri wa Ujenzi.Yes Bashungwa wizara imemshinda toka amepata uteuzi iko wazi uliona wapi mfuko wa barabara ukakosa fedha haijawahi tokea wala haumsikii akipaza sauti bungeni juu ya hilo kingine CEO wa Tanroads nae tatizo anashindwa kufanya kazi kwa karibu na waziri wake kusukuma upatikanaji wa fedha ili miradi isikwame
Hizi hela zimeenda wapi?Aisee......nafikiri hauna uelewa wa jinsi barabara zinavyotengenezwa hicho unachokisema hakipo kila hatua kwenye utengenezaji wa barabara lazima upitishwe kwa mujibu wa vipimo vya maabara na usimamizi unaongeq hadithi za vijiweni tu ww.
Kwa kweli tatizo la wizara ya ujenzi linaanzia na waziri wakeYes Bashungwa wizara imemshinda toka amepata uteuzi iko wazi uliona wapi mfuko wa barabara ukakosa fedha haijawahi tokea wala haumsikii akipaza sauti bungeni juu ya hilo kingine CEO wa Tanroads nae tatizo anashindwa kufanya kazi kwa karibu na waziri wake kusukuma upatikanaji wa fedha ili miradi isikwame