Siridhishwi na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo

Vyanzo vya mapato Tanroads viko wazi mbona pesa hazipelekwi ipasavyo fatilia ujifunze
Waziri mhusika , Waziri wa Ujenzi Bashungwa, ambaye ana wajibu wa kufuatilia hii pesa naona hana ubavu wa kulisemea hili.
Huko ni kushindwa kutetea sekta yake.
Matokeo yake pesa inaliwa kwingine.
 
Hali ndio hiyo wako taabani Road fund imefanyiwa relocation na Mwigulu & Co wakandarasi wahajalipwa muda sasa na haijulikani lini wanalipwa. Kingine nafikiri CEO wa Tanroads na waziri wa ujenzi hawana maelewano yanayoeleweka au tuseme mmoja au wote hawatekelezi majukumu yao ipasavyo haijawahi kutokea ukame huu wakandarasi wanasita kuomba kazi kwa sasa maana hali sio nzuri kazi zinasusua sekta ya ujenzi wa barabara imesinyaa vibaya sana hizo kodi sijui zinapatikana wapi na hayo makampuni yanajiendesha vp
Waziri alaumiwe.
Na muheshimiwa sana Dr, Chifu Hangaya, Rais Samia atalipata tope kwenye nguo.
 
Tatizo kubwa walilonalo Tanroads ni kwamba Wamekosa Ubunifu na Maarifa mazuri. Bado Wana fikra mgando Kama za Watu wa enzi za Ujima au zama za mawe za kale wakati wapo kwenye Karne ya 21.
Yaani ni aibu tupu nchi hii, tumeshindwa kila kitu. Hakuna hata kitu kimoja au jambo moja lililo zuri ambalo tumefanya.

Tumeshindwa kila kitu kabisa!
Badala ya kulaumu tupe solution.
Tanroads wafanyaje according to you???
 
Badala ya kulaumu tupe solution.
Tanroads wafanyaje according to you???
Wanatakiwa wafanye kazi zao vizuri kama vile inavyopaswa, na uzuri wa kazi zao sisi Wananchi tunatakiwa tuuone kupitia matokeo ya kazi zao.
Aidha, wafanyakazi wa TA ROADS wanalipwa mishahara minono kwa kutakiwa kufanya kazi hizo.
 
Ndio hasara ya kuanzisha miradi Kwa pupa bila mkakati ,madeni tuu inayodaiwa ni balaa Bado fidia ni matrilioni.

Huwezi kuwa na taasisi ambayo haiwezi fanya ujenzi wake Kimkakati badala yake wanafanya Kisiasa.

Unaanzishaje ujenzi Kila mahala wa km 1,2,5,10 wakati ungejenga Barabara chache na hizo hela kupelekeshwa huko kiasi kwamba Tija ingeonekana.
Tatizo siyo kuanzisha miradi kwa pupa bali ni kukosekana kwa usimamizi wa pesa za serikali ili kukamilisha miradi hiyo. Miradi yote ya Tanroads siyo ya kibiashara bali ni ya serikali kama huduma ya jamii kimkakati. Mama alidanganywa kuwa Magufuli alikuwa mbaya sana na hivyo akaondoa mawaziri wote ambao Magufuli alikuwa anaamini kuwa wanajua usimamizi, akaleta wapigaji. Mradi uliokuwa ukamilike kwa Sh 10 ukakamilika kwa Sh 40 na kumalumu Magufuli.

Wakati JPM anaingia madarakani, mradi wa Terminalaliifufua na kuikamilisha; tatizo lake ni pale alipozuia mradi wa Bagamoyo
 
Miradi yote ya Tanroads siyo ya kibiashara bali ni ya serikali kama huduma ya jamii kimkakati.
Aisee
Nyinyi wanyonge wa mwendazake wengi mlikuwa wale vigwasa wa pumba za elimu ya ajira, lakini weupe wa akili ya mjini.
Kuna mteja mporipori nililetewa wa Mbinga zile enzi za yule mwehu, huyu mlugaluga alikula dili ya kutengeneza barabara huko maporini, akaniagiza hii mashine inaiitwa Bitumen kwenye picha.
Hii mashine ni yakupaka rangi ya lami kwenye barabara.
Kwahiyo walikuwa wanachonga barabara za vumbi halafu wanamwagia hii rangi ionekane amejenga ya lami.

1724110234505.png
 
View attachment 3074558
Pumba tupu; hakuna barabara ya lami iliyojengwa kwa kupanga rangi. Makosa yote ya ujenzi wa barabara za Tanzania ilikuwa ni foundation hafifu tu, jambo ambalo bado lipo hadi leo. Picha uliyoweka ya shutterstock.com ni ya kuokoteza wala hapo siyo Tanzania, kuonyesha kuwa unaandika pumba za kuokoteza tu.

1724111074032.png

Tanroads ilianza kipindi cha Mkapa na haikuwahi kukosa hela za miradi.
 
View attachment 3074559

Tanroads ilianza kipindi cha Mkapa na haikuwahi kukosa hela za miradi.
Nimekuonyesha mfano ujue nini ni bitumen unaenda kutafuta picha imetoka wapi
Kilaza unaonekana ndio leo umejua kuna kitu kinaiitwa bitumen truck
 
Majibu yako yanaonyesha ufinyu wako wa kujenga hoja.
Wewe ni aidha kilaza mnyonge au ndio wezi wapigaji, mnatetea upupu wa Tanroads, wakati sisi wa kitaa tumefanya kazi na wezi waliopewa hizi contracts

Na hii ni mifano tu iliyoshtukiwa na CAG

Hii miradi ya Maendeleo ni mzigo tu kwa wananchi kwa Sasa. Serikali ilitakiwa iisitishe kabisa kwa sasa badala yake ingeangalia maeneo kama kilimo ambao ndio uti wa mgongo (more than 70% Ya watz ni wakulima), kwa kutoa ruzuku kwenye pembejeo, kujenga scheme za umwagiliaji n. k.
Kipato cha mwanachi kikiongezeka, serikali inaweza kuendelea na hii miradi hapo baadae.
Kati ya mwaka jana na mwaka huu au tuseme kwa awamu hizi mbili(Jiwe na mama) kumekuwa na kushuka thamani kwa TZS kwa kiwango cha hatari. Huenda serikali inaPrint hela ili kulipia miradi hii.
Mytake :Tusipuuze maeneo mengine sababu tu ya kukamilisha hii miradi. Kama kufunga mikanda tumeshafunga sana🤔
 
Tatizo siyo kuanzisha miradi kwa pupa bali ni kukosekana kwa usimamizi wa pesa za serikali ili kukamilisha miradi hiyo. Miradi yote ya Tanroads siyo ya kibiashara bali ni ya serikali kama huduma ya jamii kimkakati. Mama alidanganywa kuwa Magufuli alikuwa mbaya sana na hivyo akaondoa mawaziri wote ambao Magufuli alikuwa anaamini kuwa wanajua usimamizi, akaleta wapigaji. Mradi uliokuwa ukamilike kwa Sh 10 ukakamilika kwa Sh 40 na kumalumu Magufuli.

Wakati JPM anaingia madarakani, mradi wa Terminalaliifufua na kuikamilisha; tatizo lake ni pale alipozuia mradi wa Bagamoyo
Pesa zipi hizo zilozokosa usimamizi? Kuna mradi unakwama kisa pesa ipo ila haisimamiwi?
 
MODS, MNAFANYA MKOSA MAKUBWA katika kumoderate mada.
Maudhui ya mada yangu TANROADS IKO HOI BIN TAABAN ni tofauti kabisa na madavya kutoridhishwa ambayo haina wachangiaji.
Mkumbuke JF vile vile tunaitumia kufikisha ujumbe kwa wahusiki kwa sisi tulio chini na hatumo serikalini.

Ukichunguza kwa makini utagundua kuna matumizi yasiyo sahihi kwa fedha za ROAD FUND,

Naomba muirudishe madavyangu ya TANROADS IKO HOI BIN TAABAN.
 
Aisee
Nyinyi wanyonge wa mwendazake wengi mlikuwa wale vigwasa wa pumba za elimu ya ajira, lakini weupe wa akili ya mjini.
Kuna mteja mporipori nililetewa wa Mbinga zile enzi za yule mwehu, huyu mlugaluga alikula dili ya kutengeneza barabara huko maporini, akaniagiza hii mashine inaiitwa Bitumen kwenye picha.
Hii mashine ni yakupaka rangi ya lami kwenye barabara.
Kwahiyo walikuwa wanachonga barabara za vumbi halafu wanamwagia hii rangi ionekane amejenga ya lami.

View attachment 3074558
Aisee......nafikiri hauna uelewa wa jinsi barabara zinavyotengenezwa hicho unachokisema hakipo kila hatua kwenye utengenezaji wa barabara lazima upitishwe kwa mujibu wa vipimo vya maabara na usimamizi unaongeq hadithi za vijiweni tu ww.
 
Waziri alaumiwe.
Na muheshimiwa sana Dr, Chifu Hangaya, Rais Samia atalipata tope kwenye nguo.
Hakika anaingia bungeni na kupitisha bajeti wakati mafungu ya mfuko wa barabara hakuna kama sio uzwazwa ni kitu gani tunamuona anafanya utalii wa ndani tu wakati hakuna kipindi wizara yake imekuwa hoi bin taabani kama hiki chake.
 
Waziri mhusika , Waziri wa Ujenzi Bashungwa, ambaye ana wajibu wa kufuatilia hii pesa naona hana ubavu wa kulisemea hili.
Huko ni kushindwa kutetea sekta yake.
Matokeo yake pesa inaliwa kwingine.
Yes Bashungwa wizara imemshinda toka amepata uteuzi iko wazi uliona wapi mfuko wa barabara ukakosa fedha haijawahi tokea wala haumsikii akipaza sauti bungeni juu ya hilo kingine CEO wa Tanroads nae tatizo anashindwa kufanya kazi kwa karibu na waziri wake kusukuma upatikanaji wa fedha ili miradi isikwame
 
Bashungwa hana what it takes kuwa waziri wa Ujenzi.
 
Aisee......nafikiri hauna uelewa wa jinsi barabara zinavyotengenezwa hicho unachokisema hakipo kila hatua kwenye utengenezaji wa barabara lazima upitishwe kwa mujibu wa vipimo vya maabara na usimamizi unaongeq hadithi za vijiweni tu ww.
Hizi hela zimeenda wapi?
Kenyata hahukosea alivyosema wa tz ni maiti

Yes Bashungwa wizara imemshinda toka amepata uteuzi iko wazi uliona wapi mfuko wa barabara ukakosa fedha haijawahi tokea wala haumsikii akipaza sauti bungeni juu ya hilo kingine CEO wa Tanroads nae tatizo anashindwa kufanya kazi kwa karibu na waziri wake kusukuma upatikanaji wa fedha ili miradi isikwame
Kwa kweli tatizo la wizara ya ujenzi linaanzia na waziri wake
 
Back
Top Bottom