Walipigwa risasi gari ikiwa kwenye mwendoAsili ya kupigwa risasi kwa mkupuo ilikuwa ninini?
Ina maana wote tisa walikuwa off guard?
Waliowaua hao askari nao walikufaje wote?
Maswali ni mengi
Kilichowaua ni ajali ama ni risasi?Walipigwa risasi gari ikiwa kwenye mwendo
Kilichowaua ni ajali ama ni risasi?
Tuliwapata Wahusika na bahati mbaya na wao walishatangulia mbele ya hakiKwamba "bahati mbaya majambazi wote walisha tangulia mbele za haki" Mbona kama kaongeza maswali zaidi...[emoji848]
Walipigwa risasi gari ikiwa kwenye mwendo
Askari walikuwa wanaenda/wanatoka kwenye lindo walikuwa kwenye difenda la polisi ndipo mdunguaji akampiga risasi dereva wakati gari lipo kwenye mwendo likapinduka askari wakajeruhiwa ndipo walipovamiwa pale na kuanza kupigwa risasi kwa ukaribu zaidi ila kuna askari mmoja alipona baada ya kujifanya amefariki baada ya wale wadunguaji kuwafikia pale chini, hii ilikuwa kibiti miaka ya nyuma kidogo.Asili ya kupigwa risasi kwa mkupuo ilikuwa ninini?
Ina maana wote tisa walikuwa off guard?
Waliowaua hao askari nao walikufaje wote?
Maswali ni mengi
Ukifatilia utajua kilichowaua na sababu ya wao kufa wengiKilichowaua ni ajali ama ni risasi?
Hujui kibiti palikua na nini 2016-18!?..wale jamaa walikua na shabaha usipime,akinyoosha mkono umekula ya kichwaAsili ya kupigwa risasi kwa mkupuo ilikuwa ninini?
Ina maana wote tisa walikuwa off guard?
Waliowaua hao askari nao walikufaje wote?
Maswali ni mengi
Hakuna swali hapo kwa polisi ya bongo...Kwamba "bahati mbaya majambazi wote walisha tangulia mbele za haki" Mbona kama kaongeza maswali zaidi...🤔
Lisu ni zaidi ya yesu, risasi 16 mwilini na anadunda,yesu misumari mitatu tu anamlilia dingi yake na akadediYani askari 9, wakiwa kwenye mwendo, na silaha zao wauwawe wote, wakati Lisu, mwenyewe askari wa kutosha, wataalam, risasi 40 akiwa kwenye mwendo, yupo hai.
Lisu ni zaidi ya yesu, risasi 16 mwilini na anadunda,yesu misumari mitatu tu anamlilia dingi yake na akadedi
Huyohuyo mnazareth anayedaiwa kusulubiwa na kufufuka baada ya kifo,misumari mitatu mguuni,na mikono akamlilia baba yake 'mbona umeniacha' wakati lisu risasi 16 mwilini na bado anagonga madem wa kibelgiji"Lisu ni zaidi ya yesu"
Hii kauli Hapana, sio sahihi, hata kusoma inasisimua, ila sababu umeandika yesu kwa herufi ndogo naamini haumaanishi Yesu ninayemfaham mimi.
Asante sana kwa ufafanuziAskari walikuwa wanaenda/wanatoka kwenye lindo walikuwa kwenye difenda la polisi ndipo mdunguaji akampiga risasi dereva wakati gari lipo kwenye mwendo likapinduka askari wakajeruhiwa ndipo walipovamiwa pale na kuanza kupigwa risasi kwa ukaribu zaidi ila kuna askari mmoja alipona baada ya kujifanya amefariki baada ya wale wadunguaji kuwafikia pale chini, hii ilikuwa kibiti miaka ya nyuma kidogo.
Ok sawa asanteUkifatilia utajua kilichowaua na sababu ya wao kufa wengi
Kwa kweli hili lilikuwa ni tukio baya, ila niliuliza Mauaji ya Polisi wetu ni Ujambazi, Ugaidi au Retaliation? Nini kifanyike kukomesha hali hii? , jeshi la polisi lilijibu mapigo with full force na kuproduce bad karma nyingine!.
IGP Mstaafu Balozi Simon Sirro baada ya kuagwa rasmi na Jeshi la Polisi leo Dar es salaam amesimulia tukio ambalo hatolisahau akiwa kazini ambalo amesema ni la Askari Polisi kupigwa risasi na Majambazi baada ya kushambulia kwa risasi gari la Polisi katika Kijiji cha Uchembe, Kata ya Mjawa Wilayani Kibiti, Mkoa wa Pwani.
Sirro amesema “Tuliwapata Wahusika na bahati mbaya na wao walishatangulia mbele ya haki, hili ni tukio ambalo sitolisahau, ukienda ukakuta Askari tisa wote wamepigwa risasi wamelala sio jambo dogo”
Swali zuri sana hili! Labda wale wataalam wa 'Ukatili' wataweza kutoa ufafanuzi na mlinganisho vizuri-Wakiacha mungu wao!Yani askari 9, wakiwa kwenye mwendo, na silaha zao wauwawe wote, wakati Lisu, mwenyewe askari wa kutosha, wataalam, risasi 40 akiwa kwenye mwendo, yupo hai.