FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
Tumedanganywa kwa Muda Mrefu sana. Kama Mungu angekuwa Ana Dini Pasingekuwa na Dini Tofauti tofauti zinazotofautianaFuatilia chimbuko la dini zote utajua
Naweza kusali kanisa lolote lkn sio Roman yaani ni full ushetani kwenye ibada zao
Wewe una matatizo yako binafsi, viongozi wakubwa wote wa Tanganyika wamelelewa na kukuzwa na KANISA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME.Naweza kusali kanisa lolote lkn sio Roman yaani ni full ushetani kwenye ibada zao
Labda nikuulize swali haya uendelee kutafakariRejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.
Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.
Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )
Najivunia kuwa Roman Catholic 100%.
Mbele za Mungu hakuna kitu kinachoitwa eti kiongozi mkubwa yeye anataka tumuabudu ktk roho na kweli sio hayo masanamu na marozali ya kipepo hayoWewe una matatizo yako binafsi, viongozi wakubwa wote wa Tanganyika wamelelewa na kukuzwa na KANISA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME.
Sio haya makanisa ya mifukoni mwa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.
Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.
Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )
Najivunia kuwa Roman Catholic 100%.
Asiyejua maana haambiwi maanaMbele za Mungu hakuna kitu kinachoitwa eti kiongozi mkubwa yeye anataka tumuabudu ktk roho na kweli sio hayo masanamu na marozali ya kipepo hayo
Unafanya vyema. Kanisani kwenu mna raslimali zozote za kanisa labda? Kanisani kwenu pia kuna wajane na yatima? Huwa mnawahudumiaje?Naamini katika kusaidia yatima,wajane na wahitaji( maskini na wagonjwa). Sadaka zangu ninaenda huko sio Kanisani.
Mkuu, andika neno: 2Timotheo 3:1-5 halafu search.Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.
Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.
Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )
Najivunia kuwa Roman Catholic 100%.
Naomba unijibu swali langu mjomba.. Hadithi hizi kila mtu anaweza kuwaza atakavyo. Kama wewe unamwamini Yesu Kristo, jibu swali langu.Unatakiwa kujiuliza Kwanza Kabla Ya Biblia Mungu alikuwa anaongea nini!? Wewe umemjua Mungu baada ya Biblia Kuja Je wakati Huo alikuwa Si Mungu
Umejua Kulikuwa na Sodoma na Gomora baada ya Biblia kuandikwa Je Kabla Ya Hapo Kulikuwa Hakuna Mungu.
Ndio unatakiwa Kujua Mungu hayupo Hivyo ... Na hajawahi kusemea Mambo ua Sadaka wala Nini ..Haya Mambo Yametengenezwa nq Binadamu Kuwaadaa Binadamu.
Waliotekwa na dini hawana akili timamu.
Waliotuletea dini(Wazungu na Waarabu) hawajatekwa na dini kuliko tulioletewa hio dini.
Dini nyingi waanzilishi wazungu na waarabu jamii ambayo iliwatesa sana zetu mababu walichanganya hatari nyingi hawakuwa na adabu, walinyang'anya mali nyingi ikiwemo dhahabu, Je watu hawahawa hawakukanywa na hivyo vitabu hapo sielewi?Fuatilia chimbuko la dini zote utajua
Anaongea akiwa wapi na nani ,Unaweza kuniambia Mungu anaongea nini katika suala la sadaka na dhabihu?
Nani alikwambia kuwa sadaka siyo mali ya padri? Kama si mali yake zimewahi kurudi kwa waumini ? Unajua padri analipwa ngapi kwa mwezi,hizo siminary ninyi wakatoliki munasoma bure? Je hizo hospitali munatibiwa bure kwa kuwa ni sadaka zenu haziingii kwenye mfuko wa mtu?Sadaka siyo mali ya padri inakwenda jimboni na kutolewa kwa utaratibu maalum tofaut na walokole sadaka anachukua mchungaji anafanya anavotaka
Wewe una akili Timamu. Binadamu tusaidiane wenyewe kwa wenyewe. Mungu haitaji sadaka yako wala Dhabihu yako. Maana Yeye si Kiumbe Kama Wewe.Naamini katika kusaidia yatima,wajane na wahitaji( maskini na wagonjwa). Sadaka zangu ninaenda huko sio Kanisani.
[emoji817][emoji817]Naamini katika kusaidia yatima,wajane na wahitaji( maskini na wagonjwa). Sadaka zangu ninaenda huko sio Kanisani.
Nimeshakujibu. Mungu hayupo HivyoNaomba unijibu swali langu mjomba.. Hadithi hizi kila mtu anaweza kuwaza atakavyo. Kama wewe unamwamini Yesu Kristo, jibu swali langu.
Ukiwa kanisani kama unasali, huwa mnatumia kitabu gani au mnautaratibu gani ambao hauhusishi mwanadamu yeyote?
Habari za Sodoma na Gomora wewe umezijuaje?
I wish Ulimwengu mzima ungekuwa na mtazamo huu. Dunia pangekuwa sehemu salama sana. Lakini walio wengi ambao hawajitambui ndio wameshatekwa na makanjanja wachache. Mtu anaamini amnyime msaada jirani yake ambae ni maskini ila ampelekee kanjanja fulani huko kanisani huku akimuaminisha ataingia uzima wa milele na huyo anaekwambia hivyo hataki kujishughulisha anakutegemea wewe uende ndio ale na kubadilisha magari. Ujinga hautoisha daimaNaamini katika kusaidia yatima,wajane na wahitaji( maskini na wagonjwa). Sadaka zangu ninaenda huko sio Kanisani.