Sisi ambao hatutekwi na Wahubiri Waongo wa Miujiza ndiyo hatuna Akili au waliotekwa nao ndiyo hawana kabisa Akili?

Lakini umaskini si kilema. Tajiia akifa pesa zake zinaisha na maskini akifa madeni yake yanaisha!
 
Lakini umaskini si kilema. Tajiia akifa pesa zake zinaisha na maskini akifa madeni yake yanaisha!
Umaskini sio kilema ? Si afadhali kilema aweza kuwa omba omba walau watu wakampa chakula

.Maskini chamoto anachokipata kupitia umaskini wake ni zaidi ya mlemavu

Maskini hakopesheki hata siku moja nani amkopeshe? wengi hufa hawana chochote wala deni lollote .Nenda makaburini Maskini akifa hazikwi huwa anafukiwa matajiri ndio huzikwa !!!
 
Wakati mwingine kutekwa ni kuamua. Mfano, kama ukiamua kuwa unapoteza muda wako kuwasikiliza akina 'Nabii Tito' au akina askofu Gwajima wanaodai 'wanafufua wafu' au wale wanaohubiri kuwa 'ukiwa tajiri Mwenyezi Mungu amesikia sala zako na ukiwa maskini bado hujasali au kuomba kiasi cha kutosha' utatekwa mara kwa mara (mara nyingi).
 
Kwani matajiri wakizikwa vizuri hawaozi?
 
Soma heading ya uzi halafu urudi tena hapa.
Mimi naamini sipigwi kabisa, ninachokipata na ninachokitoa ni tofauti kabisa, yaani napata zaid ya ninachokitoa.

Hao wanaotekwa kwa miujiza ndo kuna tatizo na ndo hao hitoa misadaka mikubwa mikubwa kwa kuamini aliewaponya ni uyo masihi wao.
 
Ngoja Nikuambie Kitu Kimoja. Makanisa Makubwa ya Sasa Walichofanya Ni kupata Wafuasi tu kama sasa Hivi unavyoona Facebook na Instagram inavyotafuta Wafuasi hii Siri Wameijua Juzi wakati RC na KKKT wameijua Miaka Mingi sana.

Usione Unatoa Pesa Ndogo aikuumizi. Ila Kumbuka Mpo Wengi zaidi ya Bilioni 2 duniani. Kila Mmoja Akitoa Sh 100 tu kwenye Mfuko wake na Akaacha Hata Kwenda Kanisani mwaka Mzima. Kanisa bado ni Tajiri mkubwa sana na Linaloingiza Bil 200 kwa Mwaka na Bila Wewr Muumini Kupata Chochote kutoka Katika Hizo Bil 200 kwa 100 yako unayoitoa Kila Mwaka

So Tumia Tu akili. Hao wanaoenda Huko kwa Manabii kumbuka na hao manabii wameshajua Hii siri ya Wafuasi Wengi aka Followers kwa Sasa. Wanataka Wakiwapata Wengi wanapumzika Kama Papa Alivyo Roma Sasa Hivi.

Facebook Twitter Instagram nao wametumia Hui Siri pata Wafuasi wengi Pesa Itakuja Yenyewe tu.
 
Em labda nikuulize kitu mkuu, wewe unatoa sadaka ili iweje?? Au labda kwako sadaka ni nini??

Kanisa lina majengo, lina hao mapadre na masista wanaohudumu hapo kila siku. Na labda tunachotofautiana na ww ni kitu kimoja, kwamba wewe unataka ukitoa sadaka unatala ikurudie eidha kwa mfumo wa pesa/kitu.

Ndio maana mwanzo kabisa nikakwambia sadaka sio kodi, unaweza usitoe kanisani ukaenda kuwapa watoto yatima japo pia baadhi ya sadaka hutumika kupeleka kwa haohao watt yatima walio kwenye vituo vya kulelea watoto yatima.

Unatoa sadaka, majengo yanajengwa, kanisa lina wafanyakzai wengi nnje ya wa mapadre na masista.

Au labda wewe ulitaka upate nini baada ya kutoa sadaka?? Ukijibu hapa tutamaliza mjadala mapema.
 
Hakika mkuu. Umetoa uchambuzi maridhawa kabisa. Sina cha kupunguza wala cha kuongeza. Umeelewa nilichokimaanisha.
 
Ulimwengu wa leo madhehebu mengi ni biashara. Na wanakuteka kiakili, kifedha, muda wako, nguvu zako nk.. manake wanatajirika sana. Watu wanajitolea sio jumapili tu, hata siku za wiki kufanya kazi za kanisa na familia zinalala njaa. Inasikitisha
Sio ulimwengu wa leo tu, hata wa zamani pia.
 
Sasa iweje hao viongozi wa hayo madhehebu mengine wawe wanatembelea magari ya milioni 400 wakati waumini ni maskini? Hawaweze kutembekea IST au Vitz ili wapunguze kuwakamua waumini?
Madhehebu yote yana watu maskini.
 
Nakumbuka 2013 nilichaguliwa chuo ngazi ya diploma, sikuwa na kitu, mimi ni Rc na baba angu ni mwenyekiti wa jumuiya tangu 1990 mpk leo nilimfuata ba paroko anipe msaada niliambulia laki moja tu kati ya gharama mil 1.5 zinazohitajika, nikaenda chuo na laki na nusu nikatimuliwa nikaja saidiwa na mama wa kiislam mppk nikamaliza chuo tangu hapo swez kushabikia udini maana najua ni tamaduni tu tumeletewa ila hakuna uMungu wala nn. Kilichoniuma parokia yng ni tajiri nadhani kwa mkoa hkn inayofikia
 
Kwahiyo kunyimwa Kwako hiyo Ada ndiyo ulichukie Kanisa Katoliki? Hoja yako imekaa Kipumbavu na Kimajungu sana.
 
Kwa jinsi ulivyoandika hapa bas huna tofauti na wafuata miujiza na wanaotekwaa jomba! Umetekwaa vizur sana.
Sasa mpaka kuja kutaja sijui mabeyo na mke wake wanasali hapo! Huu ni uzwawaa kabisaa!! Pole sana jomba.
 
Huyo jamaa hovyo kabsa.Wazazi wake walikula loss🤣🤣🤣🤣
Wenzako wapo hapa JamiiForums Kuchangia Mada mbalimbali na Kuonyesha Uwezo wao wa Akili Wewe Kutwa upo Kunishambulia tu GENTAMYCINE ambaye una Hasira Kali na Mimi baada ya Kukataa KUKUINGILIA KINYUME NA MAUMBILE baada ya Kunihitaji kwa muda mrefu.

Unajitahidi mno kuja na Multiple ID's zako hapa JamiiForums na Kunishambulia kwa kila namna ukidhani utanichafua au Kuushusha Umaarufu wangu ila kuna Kitu umesahau kuwa GENTAMYCINE ni Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer halafu Wakongo ( zamani Wazaire ) wameniongezea Jina lingine na sasa naitwa Le Ange Adorable ( Malaika Muabudiwa )

Na namalizia kwa Kusisitiza tena Kwako kuwa Mimi Michezo hiyo ya KUWAINGILIA KINYUME NA MAUMBILE WANAUME WENZANGU kama UTAKAVYO na UNISUMBUAVYO sina hivyo endelea Kuwashobokea Wanaume wengine hapa ili WAKUKANDE vizuri na uache Kunisumbua Mimi sawa?
 
Wewe ungetokea Koo ya Kitajiri ungekuwa Mshamba kama hivi ulivyo?

Huwa natamani sana Siku moja nje ya JF Members kutumia hizi anonymous ID's basi itokee tuweze Kujuana ana kwa ana ili Uhalisia wa nyie mnaojiita ( mnaojifanya ) Matajiri hapa JamiiForums na Sisi akina GENTAMYCINE mnaosema tunatoka Koo za Kimasikini ujulikane ili tuone mwisho wa Siku nani ataumbuka.

Nilichofurahi tu hapa ni kwamba uliposema natoka Koo ( Familia ) ya Kimasikini kwa Members Watatu ( tena maarufu sana hapa JamiiForums ) na ambao wanaijua hii ID na wananijua 'Physically' Mimi GENTAMYCINE na 'Family Background' yangu si tu watakuwa wanakushangaa bali pia watakuwa wanakuona ni Hayawani na huenda unaugua Uwendaawazimu.

Kumbe nikiwa nawadharau huwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…