Lakini umaskini si kilema. Tajiia akifa pesa zake zinaisha na maskini akifa madeni yake yanaisha!Mleta mada ana unferiority complex tatizo hili huwapata hasa watu waliotoka familia na koo maskini na wenye maisha duni ambao hawajatoboa akienda hata msibani akatokea Mabeyo utasikia ahh tulihudhuria msiba mkubwa na Mabeyo!! Utafikiri walitoka naye nyumbani kwake!!! Au akipita Mabeyo na gari yeye akiwa muuza genge la Nyanya utasikia jana tulikuwa naye msibani huyo mimi nimekaa hapa yeye kakaa hapa jirani kabisa huku akijichekesha kibwege bwege kujionyesha super
Ni umaskini wa kuanzia mawazo ,maisha nk anakuwa anajiona kidogo kama ka steam out frustration zake za maisha akiongea hivyo kuwa ohh msinione nauza genge hili jana nililkaa na Mabeyo!!!! Ukimuuliza hilo lime add value gani kwenye maisha yake au kubadili status ya uchoka mbaya wa maisha yake ? Hamna kitu ni ujinga hewa tu uliojaa kichwani!!