GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #161
Non-senseUnawaona Walokole Wametekwa Na Muhubiri. Je hujuioni wewe Mwenyewe Umetekwa ila Kwa Njia za Upole. Mimi ni RC pia ila Kujivunia Bila RC ku affect maisha Yangu Moja Kwa Moja Sioni Umuhimu wake. Tumepotea Wote hakuna Mwenye uAfadhali wowote. RC wanamiliki maeneo kibao,Vyuo, Mahospitali n.k wakati Waumini wake pia ni Masikini wanarudi Nyumbani Bila Chochote
Utasema Bora hao wanatoa huduma. Ila Hizo huduma hazijalishi ww ni Muumini au si Muumini unatoa Kama Vile ni Mpagani tu wa Kawaida unatafuta Huduma
Kuna mantik fulan unaikosa..sasa sjui rarrni uelewa...?Toa Hoja acha Kujificha ficha.... Sema Tofauti iliyopo kati ya RC na Makanisa Mengine. Kote Mnatoa Michango kwenda kwenye Mifuko Ya Watu. Haijalishi hiyo mifuko ina Mfumo maalumu au Inakwenda kwa Mtu. Yote mnafaidisha Upande fulani
Mnachanga Kujenga makanisa. Mnachanga Kununua Magari ya Mapadri na Masista. Mnachanga Kujenga Nyumba za Mapadri. Michango kote ipo Na Inaenda Kwenye Account za Kanisa
Sasa Walokole wanafanya Hivyo hivyo Mnawaona Ni Tofauti na Nyie?
The power of faith n religionVice versa is true, yeye anakuona wewe huna akili kwa kuwa hauko kwa manabii, na wewe unamuona hana akili kwa kutekwa na manabii.
Hiv hizo sadaka unazoongea hapa unajua ni sh ngap?Utaratibu maalumu au Siyo!!. Huo Utaratibu ushakusaidia Kitu gani Kama Muumini!?
Ukiajiriwa Sehemu Mwajiri atleast anakuambia Atakupelekea Michango NSSF,NHIF n.k huko Kanisani Hizo Sadaka Zishakukatia Hata Bima Ya Afya ... bima za Moto. Bima za Maisha. Bima za Ajali n.k
Hakuna Sadaka inayoenda Kwa Mungu hata mara Moja maana Mungu hayupo hivyo. Hizo sadaka zinaenda Kwenye Account za Watu waliojiwekea Organization maalumu ya Kuzicontrol halafu ww unakuja Kutetea Humu wakati hizo sadaka hazikusaidii chochote kile katika Maisha Yako. Ukiugua Hakuna Kanisa wala Padri anachanga Kuugua Kwako zaidi ya Kuja Kukuombea. Wakat wao wakiugua Ww Unachanga Pesa Wakatibiwe
Huo Utaratibu maalumu ungekuwa ni wakuwawezesha Waumini wafaidike na Sadaka zao maana Tunajua Sadaka haziendi kwa Mungu zinaenda Kwenye Account za Kanisa. Mwisho wa siku Sadaka Hazileti matokeo kwa Muumini Husika na Hakuna Muumini Anayepata Faida ya Sadaka zake moja Kwa Moja Zaidi ya Kupigwa pigwa chenga ya Kusema UNAMTOLEA MUNGU
Sadaka umeacha bei ganiRejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.
Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.
Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )
Najivunia kuwa Roman Catholic 100%
Tatizo la inferiority company nchi hii lipo hadi kwa watu matijiri na ndio chanzo kikubwa cha siasa zetu za kujikomba na kujipendekeza kwa watawala kupitiliza (sycophancy)Mleta mada ana inferiority complex tatizo hili huwapata hasa watu waliotoka familia na koo maskini na wenye maisha duni ambao hawajatoboa akienda hata msibani akatokea Mabeyo utasikia ahh tulihudhuria msiba mkubwa na Mabeyo!! Utafikiri walitoka naye nyumbani kwake!!! Au akipita Mabeyo na gari yeye akiwa muuza genge la Nyanya utasikia jana tulikuwa naye msibani huyo mimi nimekaa hapa yeye kakaa hapa jirani kabisa huku akijichekesha kibwege bwege kujionyesha super
Ni umaskini wa kuanzia mawazo ,maisha nk anakuwa anajiona kidogo kama ka steam out frustration zake za maisha akiongea hivyo kuwa ohh msinione nauza genge hili jana nililkaa na Mabeyo!!!! Ukimuuliza hilo lime add value gani kwenye maisha yake au kubadili status ya uchoka mbaya wa maisha yake ? Hamna kitu ni ujinga hewa tu uliojaa kichwani!!
Kuna watu wakipata matatizo makubwa, wanakuwa wanatapa tapa, waganga, makanisani , mashekhe nk. Mfano magonjwa, hospital wameshindwa, unakuwa huna jinsi, lazima kutafuta alternativeRejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.
Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.
Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )
Najivunia kuwa Roman Catholic 100%
Nimetumbukiza Noti ya Tsh 1,000 ( Buku ) na nikaomba nirudishiwe Chenji yangu ya Tsh 500 ( ya Sarafu ) je, Kwako Wewe kuna tatizo?Sadaka umeacha bei gani
Mwenzako YEHODAYA ( ambaye ni Tajiri JamiiForums nzima ameshasema GENTAMYCINE natokea Koo ( Familia ) Masikini ndiyo maana nina hiyo inferiority complex ) sasa inakuwaje Wewe unapingana nae na sasa kusema kuwa hata wanaotoka Familia za Kitajiri pia wana huo Udhaifu?Tatizo la inferiority company nchi hii lipo hadi kwa watu matijiri na ndio chanzo kikubwa cha siasa zetu za kujikomba na kujipendekeza kwa watawala kupitiliza (sycophancy)
😅😅😅 usingeomba chenchi ungeweka 10K kabisa ili kumtolea MunguNimetumbukiza Noti ya Tsh 1,000 ( Buku ) na nikaomba nirudishiwe Chenji yangu ya Tsh 500 ( ya Sarafu ) je, Kwako Wewe kuna tatizo?
Mkuu ulipomtaja tu Rais wangu Paul Kagame ( African Genius ) umenifanya GENTAMYCINE nifurahi sana kwani ni Rais wa Maendeleo, Mikakati, Mipango na Ushujaa tofauti na Marais wengine duniani ( hasa barani Afrika ) ambao wamewekeza katika Uwongo, Ushirikina, Unafiki, Chuki na Kuzurula hovyo bila Vipaumbele huku 'ignorance level' ikiongezeka tu katika nchi zao ambazo ni Kubwa kuliko hata Rwanda.Wanawake ndio wahanga wa hizi takataka hapa wamewekwa Kati na huyu mshirikina, mamlaka za Ghana zingeingilia Kati huu ni udhalilishaji.
Kagame yupo SAwa huna degree ya dini kafungue bar sio kanisa.
Hii ni vodoo kabisa
Toa Hoja acha Kujificha ficha.... Sema Tofauti iliyopo kati ya RC na Makanisa Mengine. Kote Mnatoa Michango kwenda kwenye Mifuko Ya Watu. Haijalishi hiyo mifuko ina Mfumo maalumu au Inakwenda kwa Mtu. Yote mnafaidisha Upande fulani
Mnachanga Kujenga makanisa. Mnachanga Kununua Magari ya Mapadri na Masista. Mnachanga Kujenga Nyumba za Mapadri. Michango kote ipo Na Inaenda Kwenye Account za Kanisa
Sasa Walokole wanafanya Hivyo hivyo Mnawaona Ni Tofauti na Nyie?
Ningekuwa Tajiri na nina Volvo halafu natokea Mbezi Beach ningetoa Sadaka ya Tsh 1000/ halafu nikaomba Chenji ya Tsh 500/ kwa Shemasi?Hahahahah we popoma ni tajiri bana Maskini wako parokia ya Temeke huko🤣 we unatokea Mbezi beach na Volvo mayai kila jumapili halafu unajiita maskini?
Historia inasema Huko Mwanzoni ilikuwa ngumu sana Kuikosoa RC na Wengine walipata Taabu. Sasa Kipindi Hicho ndipo Kanisa Linajiwekea Mali na Mizizi na Misingi ya Kupata Pesa. Na Kumbuka Watu walikuwa Wanatoa Pesa Ili kupata Baadhi ya Baraka.Huo ni ule unafiki wa kutoa boriti kwenye jicho la mwingine kabla ya kutoa kwenye jicho lako kwanza.
What is your Sense Then. Toa Sense Zako ili zangu ziwe Non sense
Ndio ulivyo danganywa. Mambo kwa Ground ni Tofauti sana. Siku hizi Mapadri wana Wake na Watoto na Wana majukumu kama Uliyonayo kwa Kificho. Wanajenga Kwao na Kumilikisha Mali kwa Majina Ya NduguKuna mantik fulan unaikosa..sasa sjui rarrni uelewa...?
Kiongoz wa katolik.hana mke hana watoto hana nyumba binafsi yenye jina lake hana gar binafsi lenye jina lake..michango yote na sadaka havipit mikonon mwake ..hamilik mali yoyote..kaz yake ni kuongoza watu shugul za kiroho kwahyo anatunzwa na watu waliompa kaz hyo
Walokole wao..mtume na nabii..ana mke na watoto..ana nyumba binafsi..gar binafsi yote yana majina yake..wengi wana ukwasi uliotukuka...management nzima ya kanisa ni circle yake ya watu wake ambao hawahoji chochote sabab kanisa ni lake na ameanzisha yeye..wengne hadi wana brag mitandaon kuwa wanamillk helicopter..hammer ..shanging..wana nyumba 20...rejea mzee wa upako na shila...
Kwahyo kufananisha mfumo wa katolik na makanisa haya ya mitume na manabiii kwamba ni sawa naona kama mkuu kuna tatzo katika uelewa wako wa mambo..ni either ndo wale kondoo wasiosikia chochote wala kuambiwa chochote kuhusu hao manabii wao
Sent using Jamii Forums mobile app